Sisi ni Wadau wa JamiiForums natokea Manispaa ya Ubungo Kada ya Elimu Kero yetu ni Juu ya Pesa za Likizo tangu nihamie Manispaa ya Ubungo ni Mwaka wa tano lakini mpaka leo hatujawahi kupewa hela ya likizo tunaishia tu kujaza fomu hatujui hizo hela anapokea nani kama kweli zinatoka.
Tunaomba Mkurugenzi atusaidie kutatua kero hii maana wanatuchosha sana kila siku kujaza fomu lakini hakuna tunachopewa.
Tunaomba Mkurugenzi atusaidie kutatua kero hii maana wanatuchosha sana kila siku kujaza fomu lakini hakuna tunachopewa.