Watu wote mliojiua nikawasema vibaya naomba mnisamehe sana

Watu wote mliojiua nikawasema vibaya naomba mnisamehe sana

Kuna wapumbavu watakuja kukubeza hawaelewi unachopitia. Depression is real. Mi kuna mtu kila nikitaka kufanya maamuzi magumu yuko nyuma yangu kuniokoa nawaza siku akifa nafkiri ndo utakua mwisho wangu hapa duniani kwenu nyinyi wenye furaha.
 
Sasa wewe onaomba maiti/marehemu msamaha? Mbona hueleweki?
 
Tafadhali sana nakusihi, usikate tamaa. Penye nia pana njia. Mwambie Mungu ya kwamba unamuhitaji nayeye ukimuita atakuitikia. Magumu yako yatakuwa historia itakayowatia moyo wengine. Tafadhali sana usiweke historia ya kukatisha tamaa. Usifanye jambo lolote ili kuutoa uhai wako. Mungu bado ana mpango na maisha yako hapa duniani.
 
Mkuu ni kama ushafanya maamuzi maana hata Mungu humuamini tena, Go ahead!!!!
 
Ndugu yangu sinywi pombe sivuti sigara sina mademu , ni mimi na upole mimi na ucha Mungu lakin hakuna kitu

Bora ningekuwa na maisha na wastan au maisha ya kimaskini

Mimi nina maisha ya mateso na Mahangaiko

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ndipo kosa lako linapoanzia. Hutumii pombe wala kilevi chochote hakuna ajabu ukifa kwa stress. "Mpe masikini kileo asahau shida zake' Muhubiri 9:7
 
Pole sana mkuu, ni kipindi cha kumkimbilia Mungu, mtegemee yeye peke yake hata kama sisi wanadam tumekuangusha!
Upo mlango wa kutokea hapo ulipo, tazama
Bado kuna tumaini hata giza liwe totoro kiasi gani!
Kama wewe ndo Mungu mwelekeze ulipo akukimbilie... ila sipo serious sana
 
Mkuu jipe moyo wiki ijayo muda kama huu hautakuwa kwenye hali hii uliyonayo sasa, kwa namna yoyote ile

Sent using Jamii Forums mobile app
mpeni mchongo mazee hata wa kusaidia fundi ujenzi au kubeba mizigo warehouse au kijibiashara au ukondakta wa daladala ili akishindwa hapo iwe ruksa kujinyonga
 
Kwangu Mimi nakufananisha na mwanajeshi ambaye tuko kati kati ya vita vikali halafu amesha give up kupambana wakati si tumejitolea kumbeba.siwezi kukupiga risasi ntakuchia bastola si tusonge mbele.kwahiyo mkuu n wakat wako sis wanajesh wenzio wa jamii forum tushirikishe shida zako tukubebe tusonge mbele au tekeleza mipango yako si tu comment R.i.p
 
Mayala B kwanza nakuuliza maswali yafuatayo ukiyajibu unaweza kukuta utatuzi wa shida yako hauko mbali

1. Unaishi wapi?
2. Una ujuzi gani au umesomea nini kama umesoma
3. Una mke na watoto au familia inayokutegemea?

Jibu kuna mtu atapata pa kuanzia katika kukushauri au kukupa mchongo.
 
Back
Top Bottom