Himidini
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 5,534
- 4,193
^^
Binafsi nina misimamo yangu, pia naheshimu sana misimamo ya wenzangu. Nikiamua kushikilia jambo hata liwe baya kiasi gani, huwa sirudi nyuma.
Sasa, nikikutana na asiye na msimamo nitaishia kumdharau.
Katika mahusiano nipo flexible bila kuathiri nachosimamia. Am different but its ok to be different Husninyo

Last edited by a moderator: