Husninyo
Platinum Member
- Oct 24, 2010
- 24,342
- 10,688
- Thread starter
- #41
Nakubaliana na wewe kuwa ndoa ni jambo la heri kabisa. lakini sio ya pupa hivyo.
Naamini mipangilio/principles zako ndo zinasababisha wewe kiwa na misimamo.
Mfano mi niliamua kwa kipindi nikiwa nasotea elimu yangu mahusiano ya kimapenzi hapana, huo ulikuwa utaratibu/principle ambayo ilizaa msimamo wa no sexual relationships at the time.
inamaana hata angetokea mdada ambaye unaona anakufaa na amekamilika kila idara, ungeendelea kuwa na msimamo wako wa kutokuwa na sexual relationship kwa wakati huo.? huoni msimamo wako ungeweza kukupeperushia binti ambaye pengine mngeweza kuwa na mahusiano mazuri tu.