Watu wasiobabaishwa na mahusiano

Watu wasiobabaishwa na mahusiano

mshua, ila ujue na hiyo totoz nayo inaweza kukupa ukimwi ambao huwezi tupa kule. umeandika na will kabisa, manake mi nataka kusoma bwana.

shkamoo kwanza

Huyu Mzee mwenzangu ana kitu anatafuta. Huwezi kujifunza kukengeuka ukubwani aisee!!
 
kwa mtazamo wangu watu wasiokuwa na misimamo au wasiosimamia misimamo yao huwa hawababaishwi na mahusiano. mtu asiye na msimamo yupo tayari kwa lolote na wakati wowote. sometimes nahisi kama ni vizuri kujifunza kutokuwa na msimamo. yaani kuwa flexible upepo ukivuma kusi wavuma nao, ukiacha na wewe waishia hapo bila kulazimisha.
kwa dunia hii iliyojaa usaliti si vizuri kujiaminisha kwa mtu. nani anajua ya mbele?
au wenzangu mnaonaje?

cc Excel, Katavi charming lady Kaizer Kongosho AshaDii miss nedy lara 1 watu8 measkron BADILI TABIA Preta King'asti Nyani Ngabu Himidini Karucee Chachu Ombara Bazazi mzabzab Mtambuzi

Ntakujibu PM
 
mapenzi ni kusoma picha yenyewe usijiachie kwa vyovyote kwa maana MOYO WA MTU NI KIZA KINENE....anytime lolote laweza kutokea na jitahid usimwonyeshe mtu kuwa unampenda saana walllah utakuumiza hadi ujutie mwenywe....
 
ina maana nyie hampaswi kupendwa hii ni kali jamani
eti mnataka heshima!! WAPI
hata siku moja kwangu haitatokea hivyo eti nimheshimu mwanaume
anayestahili kuheshimiwa ni Mungu peke yake na sio mwadamu kwani
utampa bichwa bure na atakudharau ni bora kumwacha hivyo hivyo alivyo

Cha kufanya nitamtii tu kwani ni kichwa cha familia

Mwanaume huwa hapwendi anaheshimiwa.ukimpenda ,mwanaume itakula kwako.mwanaume huwa hakumbuki upendo uliomonyesha ila anakumbuka heshima uliyompa.woman is in relationship for relationship while man is in relationship for bargain.Man respond to honor,woman respond to love
 
mshua, ila ujue na hiyo totoz nayo inaweza kukupa ukimwi ambao huwezi tupa kule. umeandika na will kabisa, manake mi nataka kusoma bwana.

shkamoo kwanza
Ha ha ha ha ha haaaaaaaaaaa.........
Mwanangu King'asti nani kakuambia usome hii makitu yangu hapa
Umeniudhi ujue!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom