Watu wasiobabaishwa na mahusiano

Watu wasiobabaishwa na mahusiano

Bila misimamo si unaweza kutana na mtu leo kesho mkafunga ndoa?!
Mi naamini unatakiwa uwe ni mipangilio/taratibu (principles) ambazo ni realistic katika haya maisha.

Bila hivyo chochote kinaweza kukufaa.

ndoa mbona ni jambo la heri. kutokuwa na msimamo sidhani kama na mipangilio yako inapotea.
 
unajua nini@heaven on earth tatizo unajikuta unampenda mtu zaidi ya sana yani Hadi kujicontrol unashindwa mbaya zaidi na yeye anajua hilo we unafikiri maumivu yanaepukika hapo?

hapo ndio pabaya.... akishajua atachukulia for granted

wewe unampenda mtu hadi unashindwa kuji control
 
Kwa jino la blue (blutusi)

Kama uko kwenye mahusiano ambayo huyafurahii, hujaridhika nayo ana ya muda mfupi, bora uwe flexible. Kama unayafurahia au ya muda mrefu kama ndoa, kuna haya ya kuwa kubabaishwa?

Ain ya mahusiano inadetermine kama ubabaishwe ama usibabaishwe.

wasikiliza kwa yutyubu eeeh?
 
Kwa jino la blue (blutusi)

Kama uko kwenye mahusiano ambayo huyafurahii, hujaridhika nayo ana ya muda mfupi, bora uwe flexible. Kama unayafurahia au ya muda mrefu kama ndoa, kuna haya ya kuwa kubabaishwa?

Ain ya mahusiano inadetermine kama ubabaishwe ama usibabaishwe.

unamaanisha walio kwenye ndoa hawababaishwi na mahusiano yao?
 
kuna usemi lakimi Husninyo if you dont trust nobody you will end up worthless kuna mtu unatakiwa u deposit hata kidogo mapenzi yako huo ndo ubinadamu ndo maana hata commando wa vita akitendwa atalia
 
Last edited by a moderator:

Zombie yuko juu kama muashoki Kongosho. Hivi snowhite aliendaga wapi?
 
Last edited by a moderator:
ndoa mbona ni jambo la heri. kutokuwa na msimamo sidhani kama na mipangilio yako inapotea.

Nakubaliana na wewe kuwa ndoa ni jambo la heri kabisa. lakini sio ya pupa hivyo.
Naamini mipangilio/principles zako ndo zinasababisha wewe kiwa na misimamo.

Mfano mi niliamua kwa kipindi nikiwa nasotea elimu yangu mahusiano ya kimapenzi hapana, huo ulikuwa utaratibu/principle ambayo ilizaa msimamo wa no sexual relationships at the time.
 
kuna usemi lakimi Husninyo if you dont trust nobody you will end up worthless kuna mtu unatakiwa u deposit hata kidogo mapenzi yako huo ndo ubinadamu ndo maana hata commando wa vita akitendwa atalia

nashindwa kuelewa mtu anaeingia kwenye mahusiano halafu aseme bado hamtrust mtu. trust yangu inaanza nikishavua kufuli, outcome ikiwa mbaya huko mbeleni basi.
 
Wanaweza kuwa wanababaishwa, ila sababu za kubabaishwa ziwe kweli zisizovumilika, na mtu yuko tayari kuachana.

Sio unababaishwa afu bado uko ndoani, sioni kama ni suluhisho.

unamaanisha walio kwenye ndoa hawababaishwi na mahusiano yao?
 
Ishi maisha yako ukibalance kila kona usiwe mkali sana wala mpole kupitiliza practice middle way fanya ukali panapohitajika ukali kemea inapobidi onya panapokwenda kombo rekebisha panapoyumba but mostof all baki na msimamo usioyumba kwenye kila uamuzi utakaouchukua stick firmly to yours decision no matter how wrong you may be...!!!
 
nashindwa kuelewa mtu anaeingia kwenye mahusiano halafu aseme bado hamtrust mtu. trust yangu inaanza nikishavua kufuli, outcome ikiwa mbaya huko mbeleni basi.

how do you separate LOVE and TRUST mwenzetu
 
Back
Top Bottom