Husninyo
Platinum Member
- Oct 24, 2010
- 24,342
- 10,688
Kwa mtazamo wangu watu wasiokuwa na misimamo au wasiosimamia misimamo yao huwa hawababaishwi na mahusiano.
Mtu asiye na msimamo yupo tayari kwa lolote na wakati wowote.
Sometimes nahisi kama ni vizuri kujifunza kutokuwa na msimamo.
yaani kuwa flexible upepo ukivuma kusi wavuma nao, ukiacha na wewe waishia hapo bila kulazimisha.
Kwa dunia hii iliyojaa usaliti si vizuri kujiaminisha kwa mtu.
Nani anajua ya mbele?
Au wenzangu mnaonaje?
cc Excel, Katavi charming lady Kaizer Kongosho AshaDii miss nedy lara 1 watu8 measkron BADILI TABIA Preta King'asti Nyani Ngabu Himidini Karucee Chachu Ombara Bazazi mzabzab Mtambuzi