EMT
Platinum Member
- Jan 13, 2010
- 14,477
- 15,357
kwa mtazamo wangu watu wasiokuwa na misimamo au wasiosimamia misimamo yao huwa hawababaishwi na mahusiano. mtu asiye na msimamo yupo tayari kwa lolote na wakati wowote. sometimes nahisi kama ni vizuri kujifunza kutokuwa na msimamo. yaani kuwa flexible upepo ukivuma kusi wavuma nao, ukiacha na wewe waishia hapo bila kulazimisha. kwa dunia hii iliyojaa usaliti si vizuri kujiaminisha kwa mtu. nani anajua ya mbele? au wenzangu mnaonaje?
Sidhani kama hao watu wanakuwa hawana misimamo au wanakuwa na misimamo lakini hawaisimamii.
Bali nadhani watu hao wanakuwa confident in themselves. Wanakuwa confident not only in their own skin, but also in their relationships, including their sexual relationships.
Kama uko confident in yourself, hautakuwa obsessive. Hautakuwa attached too emotionally kwa mtu wako.
Confidence inaweza kuwa na maana nyingi ikiwemo kujitambua how special you are as a person.
No body is perfect lakini jikubali mwenyewe. Perfection ni illusion, so take your imperfections at easy.
Most people have qualities and have accomplished a lot of things in their lives. These should mean a lot to you.
Pia acha kabisa kujilinganisha na wengine hasa wale ambao una wasiwasi kuwa wanaweza kuvunja uhusiano wako. Otherwise, utaji-feel very insecure.
Ukianza kujilinganisha na watu wengine utaua kabisa your self-esteem na kudhani kuwa kila unayekutana naye yuko shapu, stronger na mwenye akili zaidi yako.
So, badala ya ku-compete na wengine, ji-compete mwenyewe. Set your own goals you want to achieve. Help others and they will help you wakati wa shida na raha. They will always have you in their minds.
Pia kujua kuwa bado ungeweza ku-survive vizuri tuu hata kama usingekuwa kwenye mahusiano na mtu uliye nae sasa hutababaishwa na mahusiano. You will be free and independent.
Hata kama uko kwenye mahusiano bado ni muhimu sana ku-maintain your own identity. Continue to pursue your own interests, badala ya kufunga mlango, continue to maintain your personal friends. They were there before before you meet him/her. Mahuhusiano ya kimapenzi ni compromise; it doesn't mean that once you enter into a relationship you should extinguish your identity.
Kwa, kuongezea feel free to speak your own public opinion hata kama uko mbele ya umpendaye. You don't always have to agree on everything na mtu wako. Don't be afraid of him/her. Of course, kuna mambo ambayo ni private, so you may not want to disagree with him/her in public.
Lakini kama yeye ni shabiki kipenzi wa Arsenal halafu anaendelea kuwaunga mkono wachezaji wanaopigwa bao 6 kila mara mwambie bluntly kuwa "Arsenal players lack leadership, discipline and characters" and unless they change you wouldn't let any of them in your house in case he invites them. Kama anamzimikia sana Jack Wilshere, mwambie live I beg to differ with you, "Jack Wilshire busted into the scene and looked a top young player, but he has never really gone on". Mwambie wazi kuwa you don't entertain those who "specialize in failure". Hapo mtu mzima anaweza kujiuliza kimoyo moyo, is she talking about me or what?
Oh nimesahau; always kumbuka ku-smile. I mean Smile ya ukweli kama ya mtoto mdogo, siyo ile ya kifekifeki.
Damn hell, nimesahau tena; build your personality. Sina maana kuwa uwe comedian. La hasha! Just have a way of making people to like being around you, hear you talk, write, complain, etc (ila usijifanye, just be you). Never ever rely on your beauty as it can be crushed in seconds. Your beauty should compliment your personality and not the other way round.
Hayo yote na mengineyo yatakufanya ujisikie very confident in yourself na hutababaishwa na mtu yoyote whether kwenye mahusiano au kwenye maisha yako ya kawaida.