Haha Husninyo....flexibility ni muhimi sana kama.haupo flexible italeta shida..kuna misimamo mingine mtu anakuwa nayo just foe his/her pride lakini inamlostisha mazima mbeleni..kuna uzia lara 1 aliwekaga hapa majuzi kati kuhusu hii makitu..so ukiwa flexible mahusiano hayakuzingui...ukitaka.mahusiano perfect then u r in for dissapointment...dunia yenyewe sio perfect
Upendo wa hivyo ni kipaji kwa kweli na ni wachache sana walipewa!
Ukimpenda akajua haachi kujishaua!!!!!
Kweli kabisa...na hakuna kurudi tena egypt...Wakati naishi Egypt kila kitu kilikuwa sawa........na zaidi.......kwa sasa nipo Canaan........wacha nisikilize wengine.......
Ni mfano tu ule:yield:
Dunia ipo perferct kabisa ni jinsi tu watu wamei mess up. If u want a perfect relationship pia ipo. "Ombeni nanyi mtapewa"
Upo lakini old friend
Ukiwa Misri au siku ukikutana na Goliath utaelewa tu.
Ukiona huna amani mahali, jua ni Misri, anza kumtafuta Musa akuvushe fasta.
Karibu Canaan.........huku ni maziwa na asali.......
hayaepukiki kabisa ndugu yangu
mm nilishawahi kumpenda mtu kupita maelezo
mpaka akajua kuwa nam-admire kivile
si ndo akaanza kunitesa kimapenzi na
kunifanyia kitu mbaya, yaani bora uwe
mbali na hawa wanaume ni matapeli kabisa
hayaepukiki kabisa ndugu yangu
mm nilishawahi kumpenda mtu kupita maelezo
mpaka akajua kuwa nam-admire kivile
si ndo akaanza kunitesa kimapenzi na
kunifanyia kitu mbaya, yaani bora uwe
mbali na hawa wanaume ni matapeli kabisa
mkaanani na nitaendela kuwa mkanani. Najua hila za shetani anataka nirudi Misri, sirudi ng'o.
aziwa na asali nimwachie nani? Hata misri tulipopata tabu alitukumbuka kwa mana, lakini our destiny sio mana tu, ni maziwa na asali.
Offcourse kuna kipindi cha dhoruba kitakuwepo, najua yupo wa kuinyamaziha dhoruba hiyo kwa neno moja tu.
Hhahhaa i am stil new Elizabeth Dominic....njoo parokiani Nyakahoja..
Mwanaume huwa hapwendi anaheshimiwa.ukimpenda ,mwanaume itakula kwako.mwanaume huwa hakumbuki upendo uliomonyesha ila anakumbuka heshima uliyompa.woman is in relationship for relationship while man is in relationship for bargain.Man respond to honor,woman respond to love
Wakati naishi Egypt kila kitu kilikuwa sawa........na zaidi.......kwa sasa nipo Canaan........wacha nisikilize wengine.......