hilo jina lako balaa.
Zomba na Ritz wanapendwa sana pale Lumumba.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Matumizi ya ugoro ni hatari kwa maisha ya binadamu.
Matumizi ya ugoro ni hatari kwa maisha ya binadamu.
Ninayempenda hajaja hapa bado
pia vibahasha vya lumumba kutoka kwa mwenezi nep vinaliangamiza taifa
pono = usingizi???
TWAPENDANA SOTE ILA HATUPANDANI don't get me wrong! FYI hakuna wanaochukiwa na wanaopendwa zaidi ila ukipost utumbo hapa wanakupa kubwa. Ukipost za kusisimua wanakupa haki yako! Umeelewa? Kama ndiyo ondoa ubaguzi humu fasta.