Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,316
- 10,782
pono = usingizi???
Pono ni species ya viumbe wa bahari mwenye sifa inayorandana na usingizi.
pono = usingizi???
Angel Namnani HavaeNinayempenda hajaja hapa bado
waoo! Mambo vip mpendwawakati unamsubili mwenzio nakupenda. mia
hahahaaaAngel Namnani Havae Umenikumbusha Wimbo wa Sikinde Jana pale Break Point.... Iba vituko madhara ooh dada na mengi nimejitahidi kukurekebisha...''Usiponipenda mimi Wenzio wanitafuta''
hahahaaa,chedi avae, mira nekukundie munoAngel Namnani Havae Umenikumbusha Wimbo wa Sikinde Jana pale Break Point.... Iba vituko madhara ooh dada na mengi nimejitahidi kukurekebisha...''Usiponipenda mimi Wenzio wanitafuta''
najipenda . . . .
hilo jina lako balaa.
mambo poa. niaje wangu?. miawaoo! Mambo vip mpendwa
hahahaaa,chedi avae, mira nekukundie muno
lukundo lubaha, lol
nikudendereja.
TWAPENDANA SOTE ILA HATUPANDANI don't get me wrong! FYI hakuna wanaochukiwa na wanaopendwa zaidi ila ukipost utumbo hapa wanakupa kubwa. Ukipost za kusisimua wanakupa haki yako! Umeelewa? Kama ndiyo ondoa ubaguzi humu fasta.
mi napenda Ndovuu ya baridi