Watu wafupi mnanini lakini?

Watu wafupi mnanini lakini?

Sa si umwambie aishie kwa mujibu wa kina chako..!!?? Anasokomeza kuelekea wapi, kama si kusogezana vizazi..!!?
😁!
Kuna ile ya robo nusu robo nusu yotreeee! Lazima upige yowe😁! 🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️
 
Kwa huu uzi ninazidi kupata uhakika wa CCM kuendelea kuwepo madarakani kwa miaka mingi sana ijayo. Yaani mleta uzi ni mpuuzi pamoja na wengi hapa wanaosapoti upuuzi. Yaani imefikia hatua mnakufuru kwa kuita watu wafupi walemavu. Tabia za mtu hazipimwi kwa kimo cha mtu.
Umenichanganya sana, kwamba wewe ni MamaSamia2025 iweje uwe na hofu ya MCC Kuendelea??
 
😁!
Kuna ile ya robo nusu robo nusu yotreeee! Lazima upige yowe😁! 🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️
Unapiga yote utadhani huji tena..!!!malalamiko ya NAKUFA utadhani kesho hutaiulizia tena..!! Nyie wafupi malalamiko hadi vitandani kisa vina..!!
 
Nina watu flan wafupi ofsi Mate. Kitu kidg tu kesi. Wanatabia ya kupenda upesho flan hivi. Yaani hakuna kilema kizur ila ukisikia ulemavu, acha kabisa ulemavi ni maumivu makunwa sana.

Ukitaka uprove hili utaonaka Kwa shortsized people. Utaona kasoro kibao. Ukiwa kiongoz hakikisha unawapa short people special care. Hawa ni special group

Dah acheni nyie ufupi ni kilema kibaya sana.

Yaani emerging anatafuta kisingizio tu.

Aku let down. Nionavyo mie sisi sote tumeumbwa na mungu mmoja , ni marehem wataraniwa. Tuwape speciality, Pana dada mmoja ninakawaida ya kumpa ukarimu upendo, Kwa kweli ananipenda na tunaheshimiana, ila ufupi unamtesa sana. Jamaa weusi wafupi mungu wangu, yaan balaa, lkn naona tuwapende ni wenzetu tusijifanye tumewapita urefu.

Tukiongea nao tupindishe goti tupungue urefu kias. Mimi marehem x najua sitaishi milele.

View attachment 2784563View attachment 2784565
Upumbavu ni Kilema kibaya sana, tafuta tiba ndugu yangu ulichobakisha wewe ni Uchawi tu maana Umbeya tayari Umeuweza.
 
Back
Top Bottom