Watu wafupi mnanini lakini?

marehem x

JF-Expert Member
Dec 28, 2022
515
786
Nina watu fulani wafupi ofisi Mate. Kitu kidogo tu kesi. Wana tabia ya kupenda uspesho fulani hivi. Yaani hakuna kilema kizuri ila ukisikia ulemavu, acha kabisa ulemavu ni maumivu makubwa sana.

Ukitaka uprove hili utaonaka kwa shortsized people. Utaona kasoro kibao. Ukiwa kiongozi hakikisha unawapa short people special care. Hawa ni special group

Dah acheni nyie ufupi ni kilema kibaya sana.

Yaani emerging anatafuta kisingizio tu.

Aku let down. Nionavyo mie sisi sote tumeumbwa na Mungu mmoja, ni marehemu watarajiwa. Tuwape speciality

Pana dada mmoja nina kawaida ya kumpa ukarimu upendo, kwa kweli ananipenda na tunaheshimiana, ila ufupi unamtesa sana.

Jamaa weusi wafupi Mungu wangu, yaan balaa, lkn naona tuwapende ni wenzetu tusijifanye tumewapita urefu.

Tukiongea nao tupindishe goti tupungue urefu kiasi. Mimi marehemu x najua sitaishi milele.

Screenshot_20231017-160400.jpg
Screenshot_20231017-160434.jpg
 
Sio mbya Moja ya sifa ya wafupi wanakosoa sana. Kila kitu ni kosa, na ni ishu ndio walivyo.

Kimombo kitakatifu tunasema. "You've got to make a conscious choice every day to shed the old"
 
Nina watu flan wafupi ofsi Mate. Kitu kidg tu kesi. Wanatabia ya kupenda upesho flan hivi. Yaani hakuna kilema kizur ila ukisikia ulemavu, acha kabisa ulemavi ni maumivu makunwa sana. Ukitaka uprove hili utaonaka Kwa shortsized people. Utaona kasoro kibao. Ukiwa kiongoz hakikisha unawapa short people special care. Hawa ni special group

Dah acheni nyie ufupi ni kilema kibaya sana.
View attachment 2784563View attachment 2784565
Yaani emerging anatafuta kisingizio tu.

Aku let down. Nionavyo mie sisi sote tumeumbwa na mungu mmoja , ni marehem wataraniwa. Tuwape speciality, Pana dada mmoja ninakawaida ya kumpa ukarimu upendo, Kwa kweli ananipenda na tunaheshimiana, ila ufupi unamtesa sana. Jamaa weusi wafupi mungu wangu, yaan balaa, lkn naona tuwapende ni wenzetu tusijifanye tumewapita urefu..
Tukiongea nao tupindishe goti tupungue urefu kias. Mimi marehem x najua sitaishi milele
Kwa huu mwandiko sidhani kama haufanyi kazi ofisi ya kuuza dagaa basi upo ofisi ya makuwadi hapo Sudan ya Temeke

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
la

Watu wafupi ni shidaaa...
ila huwa wanaopoa wanawake wenu warefu na wazuri kwasababu ya mpunga. wengi wao wana mpunga kuliko warefu. unakikuta kimenunaaa kibahiliii na kina bonge la duka. wakati mrefu unambwelambwela na wanawake wanakula pesa zako za mtaji, wao wanatafuta, ukifulia tu wanapora mwanamke...though hata wakioa mrefu atakuwa anakuja kutia timu.
 
Kweli kabisa, utakuta anamke mzuri hatare...

Pesa za kutosha anazo...
 
ila huwa wanaopoa wanawake wenu warefu na wazuri kwasababu ya mpunga. wengi wao wana mpunga kuliko warefu. unakikuta kimenunaaa kibahiliii na kina bonge la duka. wakati mrefu unambwelambwela na wanawake wanakula pesa zako za mtaji, wao wanatafuta, ukifulia tu wanapora mwanamke...though hata wakioa mrefu atakuwa anakuja kutia timu.
Usikute hata Donatila naye yumo kwenye hili kundi..!! Lakini anawachamba hatari
 
Back
Top Bottom