Watu wafupi mnanini lakini?

Watu wafupi mnanini lakini?

Mnaobishana Hebu tupieni tuwaone ndo tutajua na kupata soln kuwa u mrefu ama nyadundo ka mie hapa! 🤠
 
😂😂😂 Sa itakuwaje na ufupi wetu afu tuna viguu vifupi vimekomaa kweli watuache
Yaniiii! Sio kwa michambo hii gubuu letu kisirani chetu hasira zetu makasiriko yetu nyieee!
Sasa mmehamia kwenye vigimbi vyetu jamaneee🙌🤭!
 
Nina watu flan wafupi ofsi Mate. Kitu kidg tu kesi. Wanatabia ya kupenda upesho flan hivi. Yaani hakuna kilema kizur ila ukisikia ulemavu, acha kabisa ulemavi ni maumivu makunwa sana.

Ukitaka uprove hili utaonaka Kwa shortsized people. Utaona kasoro kibao. Ukiwa kiongoz hakikisha unawapa short people special care. Hawa ni special group

Dah acheni nyie ufupi ni kilema kibaya sana.

Yaani emerging anatafuta kisingizio tu.

Aku let down. Nionavyo mie sisi sote tumeumbwa na mungu mmoja , ni marehem wataraniwa. Tuwape speciality, Pana dada mmoja ninakawaida ya kumpa ukarimu upendo, Kwa kweli ananipenda na tunaheshimiana, ila ufupi unamtesa sana. Jamaa weusi wafupi mungu wangu, yaan balaa, lkn naona tuwapende ni wenzetu tusijifanye tumewapita urefu.

Tukiongea nao tupindishe goti tupungue urefu kias. Mimi marehem x najua sitaishi milele.

View attachment 2784563View attachment 2784565
Kwahiyo mkuu umeamua kumdiss ZAKAYO?
 
Yaniiii! Sio kwa michambo hii gubuu letu kisirani chetu hasira zetu makasiriko yetu nyieee!
Sasa mmehamia kwenye vigimbi vyetu jamaneee🙌🤭!
Niliona mmoja alivaa zile raba za 20,000 nyeupe Air force ya mchongo nikaona kigimbi, kiguu kifupi km cha mtoto wa 3yrs
Na muda wote ana makasiriko nikajua tyr kimo kinamsumbua 🤣🤣🤣🤣🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
 
Niliona mmoja alivaa zile raba za 20,000 nyeupe Air force ya mchongo nikaona kigimbi, kiguu kifupi km cha mtoto wa 3yrs
Na muda wote ana makasiriko nikajua tyr kimo kinamsumbua 🤣🤣🤣🤣🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
Hii imeenda uduguu nakugawa ujueee 🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️😁!
 
Mbona huwa ninahisi una akili??
Naona kama wewe una uelewa mkubwa sana.

Ukiuzingatia huu Uzi, mwandishi amesemea watu hao(sinahaja kiwataja) kwamba n muhim kiwazimgatia, sio kibaguz, kqa maana kwamba hawapaswi kuwa neglected. Nadhan hapa amesaidia . So badala ya kumtimba ni vema kumuelewa.
 
Kaa kimya wewe. Kila mtu ni mfupi au mrefu kutegemea kasimama na kina nani.
 
Back
Top Bottom