KimpaGhasha
JF-Expert Member
- Jun 21, 2020
- 327
- 463
Nawe ofisin kwako wanakazi kweli,Nina watu fulani wafupi ofisi Mate. Kitu kidog tu kesi. Wanatabia ya kupenda uspesho fulani hivi. Yaani hakuna kilema kizuri ila ukisikia ulemavu, acha kabisa ulemavu ni maumivu makubwa sana.
Ukitaka uprove hili utaonaka Kwa shortsized people. Utaona kasoro kibao. Ukiwa kiongozi hakikisha unawapa short people special care. Hawa ni special group
Dah acheni nyie ufupi ni kilema kibaya sana.
Yaani emerging anatafuta kisingizio tu.
Aku let down. Nionavyo mie sisi sote tumeumbwa na mungu mmoja, ni marehem watarajiwa. Tuwape speciality, Pana dada mmoja ninakawaida ya kumpa ukarimu upendo, Kwa kweli ananipenda na tunaheshimiana, ila ufupi unamtesa sana. Jamaa weusi wafupi mungu wangu, yaan balaa, lkn naona tuwapende ni wenzetu tusijifanye tumewapita urefu.
Tukiongea nao tupindishe goti tupungue urefu kiasi. Mimi marehem x najua sitaishi milele.
View attachment 2784563View attachment 2784565
Maan naona hap ni zero IQ kabisa hakun cha maana ulichoandika.. yaan ukae unawaza kimo ama weakness ya mtu hasa maumbile.. inaonekan huko ofisin kwenu we ndo kilaza that why unatafuta physical weakness za watu..
Sent using Jamii Forums mobile app

