Watu wafupi mnanini lakini?

Watu wafupi mnanini lakini?

ila huwa wanaopoa wanawake wenu warefu na wazuri kwasababu ya mpunga. wengi wao wana mpunga kuliko warefu. unakikuta kimenunaaa kibahiliii na kina bonge la duka. wakati mrefu unambwelambwela na wanawake wanakula pesa zako za mtaji, wao wanatafuta, ukifulia tu wanapora mwanamke...though hata wakioa mrefu atakuwa anakuja kutia timu.
Yap wanapenda vita kwenye wanawake na wengi wao hufumaniwa nakupakwa mafuta kwenye 0713 au 0714 au 0652 au 0715
 
Yap wanapenda vita kwenye wanawake na wengi wao hufumaniwa nakupakwa mafuta kwenye 0713 au 0714 au 0652 au 0715
washawahi kukuibia mke nini mwana, mbona una hasira nao sana? ngoja waje.
 
Mtu mfupi akikwambiaa mkuu tupo pamojaaaaa......Kimbiaaaaaaaaa mitaaa buku..
 
Nishawah kuwa na dem short mashine inagusa mwisho mwa ukuta. Yaani inaishia nusu
 
Nina watu flan wafupi ofsi Mate. Kitu kidg tu kesi. Wanatabia ya kupenda upesho flan hivi. Yaani hakuna kilema kizur ila ukisikia ulemavu, acha kabisa ulemavi ni maumivu makunwa sana. Ukitaka uprove hili utaonaka Kwa shortsized people. Utaona kasoro kibao. Ukiwa kiongoz hakikisha unawapa short people special care. Hawa ni special group

Dah acheni nyie ufupi ni kilema kibaya sana.
View attachment 2784563View attachment 2784565
Yaani emerging anatafuta kisingizio tu.

Aku let down. Nionavyo mie sisi sote tumeumbwa na mungu mmoja , ni marehem wataraniwa. Tuwape speciality, Pana dada mmoja ninakawaida ya kumpa ukarimu upendo, Kwa kweli ananipenda na tunaheshimiana, ila ufupi unamtesa sana. Jamaa weusi wafupi mungu wangu, yaan balaa, lkn naona tuwapende ni wenzetu tusijifanye tumewapita urefu..
Tukiongea nao tupindishe goti tupungue urefu kias. Mimi marehem x najua sitaishi milele
Kweli wewe ni marehem x maana hata uandishi wako una makosa mengi sana ya kiuandishi,au ndio unaandikia thd kutoka Kaburini?
 
Back
Top Bottom