Watu wafupi mnanini lakini?

Watu wafupi mnanini lakini?

Nani kakwambia kua mimi ni mfupi?

Ukifika futi ngapi ndio unahesabika kua ni mrefu? Na hiyo fact iliwekwa na nani?
Nafikiri ni Kwa namna ulivyobishana kule juu.
Screenshot_20231017-165352.jpg

Ufupi sio kilema
 
Wanawake wafupi wanene wana kina kifupi ila wanaume wafupi urefu wao umehamia chini ni wana midude mirefu mikubwa AlooooooohhšŸ™ŒšŸš¶šŸ»ā€ā™€ļøšŸš¶šŸ»ā€ā™€ļøšŸš¶šŸ»ā€ā™€ļøšŸš¶šŸ»ā€ā™€ļøšŸš¶šŸ»ā€ā™€ļøšŸš¶šŸ»ā€ā™€ļøšŸš¶šŸ»ā€ā™€ļøšŸš¶šŸ»ā€ā™€ļø
We Antonnia wewe..!!! Kwa malalamiko yako ya wafupi mnaonewa, basi we una kina kifupi..!!
 
We Antonnia wewe..!!! Kwa malalamiko yako ya wafupi mnaonewa, basi we una kina kifupi..!!
Eendiwooooo mkuu tunaonewa balaa si unaona hapo mnavyotuchambua na kutunanga Sijapentaaa kwakweli!🤠
Kina kifupi mbo inaingia nusu afu akiwa anasokomeza ke unaumia !šŸš¶šŸ»ā€ā™€ļøšŸš¶šŸ»ā€ā™€ļøšŸš¶šŸ»ā€ā™€ļøšŸš¶šŸ»ā€ā™€ļøšŸš¶šŸ»ā€ā™€ļøšŸš¶šŸ»ā€ā™€ļøšŸš¶šŸ»ā€ā™€ļøšŸš¶šŸ»ā€ā™€ļøšŸš¶šŸ»ā€ā™€ļøšŸš¶šŸ»ā€ā™€ļø
 
Kwa huu uzi ninazidi kupata uhakika wa CCM kuendelea kuwepo madarakani kwa miaka mingi sana ijayo. Yaani mleta uzi ni mpuuzi pamoja na wengi hapa wanaosapoti upuuzi. Yaani imefikia hatua mnakufuru kwa kuita watu wafupi walemavu. Tabia za mtu hazipimwi kwa kimo cha mtu.
 
Sa si umwambie aishie kwa mujibu wa kina chako..!!?? Anasokomeza kuelekea wapi, kama si kusogezana vizazi..!!?
 
Sasa mbona kama huyu jamaa anajikontradikti mwenyewe..!!?? Anasema hakuna mfupi, tatizo ni lishe, sawa, sasa ukila lishe mbovu si ndo unakuwa mfupi? Hivyo kufanya mfupi awepo..!!??

Wewe tu umeamua usimuelewe,ila anaeleweka

Halafu hiyo ni meme tu...sio serious sana
 
Mpango wa kuzaa ninao Antonnia
Lishe bora inaanzia malezi ya mimba hadi kiumbe kikija kwa dunia

Ishu ya genetics haipingiki asee šŸ˜…
Wabheja sana dr ngoja tuzingatie lishe hata kama sie nyadundoz walau watoto warefuke sasa🤠!
 
Kwa huu uzi ninazidi kupata uhakika wa CCM kuendelea kuwepo madarakani kwa miaka mingi sana ijayo. Yaani mleta uzi ni mpuuzi pamoja na wengi hapa wanaosapoti upuuzi. Yaani imefikia hatua mnakufuru kwa kuita watu wafupi walemavu. Tabia za mtu hazipimwi kwa kimo cha mtu.
Wewe, jukwaa la teknolojia lipo, jukwaa la lugha lipo, jukwaa la lishe lipo na hata la wachawi ukiwataka unawapata (CC Mshana Jr ), kuja kutuharibia uzi huu kimekupata nini? WE KUWAITA WENZIO WAPUUZI UNAONA HUJAKUFURU ILA UMEMSIFIA HUYO TULIYEMKUFURU?
 
Back
Top Bottom