Hawajaichoka ccm ila ni watu wanaopenda sana ushabiki wa kishamba. Yani wana akili za kushikiwa.
Watu wa mji wa Mbeya wamekuwa ni watu wa ajabu sana. Wanafanya siasa za kitoto sana zisizo za kistaarabu.
Kwa sasa ukizungumzia Mbeya ni kama unazungumzia mji wa 'masela ma..' awa watu walimzomea mpaka rais wa nchi na sababu hawana.
Mji sasa unaongozwa na mawazo ya Sugu na mnamuita rais wenu.. Just imagine?
Nyie siasa za vyama vingi mnachukulia ni ugomvi na fujo kwenu huko sasa kila kitu mmechukulia siasa ata timu yenu inakufa sababu ya siasa za kipuuzi.
Sasa nimeshanga mpaka hizi kampeni kazi yenu ni kuzomea zomea wagombea msiowunga mkono. Sasa sielewi ukishazomea ndio utapata nini na fujo tangu mzianze mmepata nini.
Mbeya inasikitisha imekuwa inawaiga watu wa arusha. Watu wa arusha wanajulikana hao hatuna tatizo nao cha arusha ndio tatizo. Sasa nyie mtaishi hivyo mpaka lini.
Sasa naomba mchukue ushauri wangu mbadilike, msijifanye nyie mnauchungu na chama kuliko watu wa Kilimanjaro.
Msipobadilika mwaka huu mtailaumu serikali maana Mzee Jakaya kawalea sana. Badilisheni siasa zenu ziwe za kijanja or else.
Unaijua siasa wewe! wacha kuropoka upuzi, nanialikuambua kutokumkubari mgombea nikuzomea? najua akili zenu mme zitoa kwa viongozi wenuKazi gani? Mnalazimisha kukubalika? Acheni zenu, kila mtu anauhuru wakusupport mtu ampendae. The big problem for Tanzanians ni unafiki mkubwa, kujifanya unapenda kitu kumbe hata hukipendi. Watu wambeya wameeleza hadharani hisia zao mnawaona wabaya.
Usitake kufananisha siasa na vitu vingine,, huo ni ujinga uliopitiliza,, kama wewe huipendi CCM na unania ya kuzomea sasa kwa nini uende??? na CCM wakiamua kuzomea unafikiri nini kitatokea?? siasa sio huo umburula unaouwaza, kwa mtu aliepevuka na mwenye akili timamu hawezi kushabikia huu ujinga na upumbavu.. Binafsi nimewadharau sana kiukweli kuna msukumo na ushawishi katika hili,, siamini kama mtu na akili yake anaweza kufanya hili..
Watu wa mji wa Mbeya wamekuwa ni watu wa ajabu sana. Wanafanya siasa za kitoto sana zisizo za kistaarabu.
Kwa sasa ukizungumzia Mbeya ni kama unazungumzia mji wa 'masela ma..' awa watu walimzomea mpaka rais wa nchi na sababu hawana.
Mji sasa unaongozwa na mawazo ya Sugu na mnamuita rais wenu.. Just imagine?
Nyie siasa za vyama vingi mnachukulia ni ugomvi na fujo kwenu huko sasa kila kitu mmechukulia siasa ata timu yenu inakufa sababu ya siasa za kipuuzi.
Sasa nimeshanga mpaka hizi kampeni kazi yenu ni kuzomea zomea wagombea msiowunga mkono. Sasa sielewi ukishazomea ndio utapata nini na fujo tangu mzianze mmepata nini.
Mbeya inasikitisha imekuwa inawaiga watu wa arusha. Watu wa arusha wanajulikana hao hatuna tatizo nao cha arusha ndio tatizo. Sasa nyie mtaishi hivyo mpaka lini.
Sasa naomba mchukue ushauri wangu mbadilike, msijifanye nyie mnauchungu na chama kuliko watu wa Kilimanjaro.
Msipobadilika mwaka huu mtailaumu serikali maana Mzee Jakaya kawalea sana. Badilisheni siasa zenu ziwe za kijanja or else.
Mbeya mjini wanaongoza kwa kunywa viroba, wakifuatiwa na Rombo. Mimi nimewahi kuishi Mbeya miaka 3 iliyopita na vijana wengi sana kwenye mji huu ni wanywaji wazuri sana wa viroba. Kura za hawa wahuni wa Mbeya mjini hazitoshi kumpeleka mamvi Ikulu. Kura hizi zinatosha kumrudisha Sugu bungeni lakini hazitoshi kumzuia Dk Magufuli kuingia Ikulu. #HapaKaziTu CHAGUA MAGUFULI.
ID hacked.Nataka kuifananisha Mbeya na Tarime. Ikiwa mgombea anaongea pumba hakuna namna bali ni kumzomea tu.
Watu wa mji wa Mbeya wamekuwa ni watu wa ajabu sana. Wanafanya siasa za kitoto sana zisizo za kistaarabu.
Kwa sasa ukizungumzia Mbeya ni kama unazungumzia mji wa 'masela ma..' awa watu walimzomea mpaka rais wa nchi na sababu hawana.
Mji sasa unaongozwa na mawazo ya Sugu na mnamuita rais wenu.. Just imagine?
Nyie siasa za vyama vingi mnachukulia ni ugomvi na fujo kwenu huko sasa kila kitu mmechukulia siasa ata timu yenu inakufa sababu ya siasa za kipuuzi.
Sasa nimeshanga mpaka hizi kampeni kazi yenu ni kuzomea zomea wagombea msiowunga mkono. Sasa sielewi ukishazomea ndio utapata nini na fujo tangu mzianze mmepata nini.
Mbeya inasikitisha imekuwa inawaiga watu wa arusha. Watu wa arusha wanajulikana hao hatuna tatizo nao cha arusha ndio tatizo. Sasa nyie mtaishi hivyo mpaka lini.
Sasa naomba mchukue ushauri wangu mbadilike, msijifanye nyie mnauchungu na chama kuliko watu wa Kilimanjaro.
Msipobadilika mwaka huu mtailaumu serikali maana Mzee Jakaya kawalea sana. Badilisheni siasa zenu ziwe za kijanja or else.
Nakubaliana na wewe mkuu, sio wana Mbeya wote wenye matatizo . Kina mama wa Mbeya kwa mfano ni kina mama wastarabu sana ata wazee wa huko ni wema, tatizo ni hiki kizazi kilichokuja juzi na kikakosa akili kamili sijui kilitokea wapi! Watu wapo karne ya technology wao wanarudi kwenye ujima yani kwa akili zao ukiwawekea jiwe wanalichagua kweli sasa hizi akili sio za binadamu aliyekanilika hii ni jamii ya primates.
Mbeya mjini wanaongoza kwa kunywa viroba, wakifuatiwa na Rombo. Mimi nimewahi kuishi Mbeya miaka 3 iliyopita na vijana wengi sana kwenye mji huu ni wanywaji wazuri sana wa viroba. Kura za hawa wahuni wa Mbeya mjini hazitoshi kumpeleka mamvi Ikulu. Kura hizi zinatosha kumrudisha Sugu bungeni lakini hazitoshi kumzuia Dk Magufuli kuingia Ikulu. #HapaKaziTu CHAGUA MAGUFULI.
Watu wa mji wa Mbeya wamekuwa ni watu wa ajabu sana. Wanafanya siasa za kitoto sana zisizo za kistaarabu.
Kwa sasa ukizungumzia Mbeya ni kama unazungumzia mji wa 'masela ma..' awa watu walimzomea mpaka rais wa nchi na sababu hawana.
Mji sasa unaongozwa na mawazo ya Sugu na mnamuita rais wenu.. Just imagine?
Nyie siasa za vyama vingi mnachukulia ni ugomvi na fujo kwenu huko sasa kila kitu mmechukulia siasa ata timu yenu inakufa sababu ya siasa za kipuuzi.
Sasa nimeshanga mpaka hizi kampeni kazi yenu ni kuzomea zomea wagombea msiowunga mkono. Sasa sielewi ukishazomea ndio utapata nini na fujo tangu mzianze mmepata nini.
Mbeya inasikitisha imekuwa inawaiga watu wa arusha. Watu wa arusha wanajulikana hao hatuna tatizo nao cha arusha ndio tatizo. Sasa nyie mtaishi hivyo mpaka lini.
Sasa naomba mchukue ushauri wangu mbadilike, msijifanye nyie mnauchungu na chama kuliko watu wa Kilimanjaro.
Msipobadilika mwaka huu mtailaumu serikali maana Mzee Jakaya kawalea sana. Badilisheni siasa zenu ziwe za kijanja or
Ni hivi...chama chako hakiungwi mkono mbeya