Watu wa Mbeya mtabadilika lini?

Watu wa Mbeya mtabadilika lini?

.....mabadilikooooo Lowassaaaaaaa... lowassaaaa mabadilikooooo unataka nini tena hiyo ndo newz ya town.....!!!
 
Wala sio watu wa Mbeya bali wahuni wachache, ni sawa na mtu kuzomewa kariakoo na kubdi la watu 20 alafu useme Dar es Salaam imemzomea.

John Pombe Magufuli atamshinda Lowassa kwenye uchaguzi huu kwa mkoa wa Mbeya.
 
Nakubaliana na wewe mkuu, sio wana Mbeya wote wenye matatizo . Kina mama wa Mbeya kwa mfano ni kina mama wastarabu sana ata wazee wa huko ni wema, tatizo ni hiki kizazi kilichokuja juzi na kikakosa akili kamili sijui kilitokea wapi! Watu wapo karne ya technology wao wanarudi kwenye ujima yani kwa akili zao ukiwawekea jiwe wanalichagua kweli sasa hizi akili sio za binadamu aliyekanilika hii ni jamii ya primates.
 
Wala sio kizazi mkuu, hao waliofanya hivyo ni makonda na wamachinga wachache sana.Utashangaa utakapoyaona matokeo ya uchaguzi mkoa wa Mbeya, keep my words, Magufuli will carry the day in this region.
 
matumbo
Hata maendeleo ya Mbeya yanakuja kwa kasi sababu ya sisi watu wake tunafikiria vyema,aibu aliyoipata leo hata Mbalali kuhutubia watoto tu huyu Magufuli ni kielelezo kuwa MBEYA siyo mkoa wa kuchekelea ahadi za kijinga kama anazotoa Magufuli!

Zaidi ya Jimbo la Busokelo kwa heshima ya Prof Mwandosya SIJAONA Jimbo ambalo CCM watatetea Mbeya!!
 
Last edited by a moderator:
Hahaaaa naona msumari umekuingia!!! naona povu linakutoka uliza level ya usomi Mbeya ikoje!!

Hata tukishindia parachichi tumeshasema CCM No!!!c

Rais wamwisho kuheshimika Mbeya alikuwa Mwinyi tu wengine wote full kuzomewa!!

2010 JK aliachwa uwanjani na ze comedy wake!!!

na safari hii hata wala miguu ya kuku wa DSM nao wameamka!!!

Sio Mbeya tu ni kote kwa waliosoma na wenye afya ya akili hawaipendi CCM!!

Rejea ripoti ya TWAWEZA!!!

Uzuri ni kwamba hao ambao sio wasomi ndio wapiga kura kama sikoseini zaidi ya asilimia 80 ya waliojiandikisha
 
Kikawaida huwezi ukaenda kutamba kwenye nyumba ya mwenzako hata kama pale kuna warembo unaweza kuwachumbia. Magufuriiiiiii wewe piga misele na wasanii sisi tunae rais wetu ENL
 
Mbeya kweli cc wastarabu sana ila kwa ccm mbona hata wazee wetu wakiona vurugu wanatokaga na nyengo mabibi na mipini oooooh
 
Watu wa mji wa Mbeya wamekuwa ni watu wa ajabu sana. Wanafanya siasa za kitoto sana zisizo za kistaarabu.

Kwa sasa ukizungumzia Mbeya ni kama unazungumzia mji wa 'masela ma..' awa watu walimzomea mpaka rais wa nchi na sababu hawana.

Mji sasa unaongozwa na mawazo ya Sugu na mnamuita rais wenu.. Just imagine?

Nyie siasa za vyama vingi mnachukulia ni ugomvi na fujo kwenu huko sasa kila kitu mmechukulia siasa ata timu yenu inakufa sababu ya siasa za kipuuzi.

Sasa nimeshanga mpaka hizi kampeni kazi yenu ni kuzomea zomea wagombea msiowunga mkono. Sasa sielewi ukishazomea ndio utapata nini na fujo tangu mzianze mmepata nini.

Mbeya inasikitisha imekuwa inawaiga watu wa arusha. Watu wa arusha wanajulikana hao hatuna tatizo nao cha arusha ndio tatizo. Sasa nyie mtaishi hivyo mpaka lini.

Sasa naomba mchukue ushauri wangu mbadilike, msijifanye nyie mnauchungu na chama kuliko watu wa Kilimanjaro.

Msipobadilika mwaka huu mtailaumu serikali maana Mzee Jakaya kawalea sana. Badilisheni siasa zenu ziwe za kijanja or else.

Hiyo inakuja pale ambapo chama kimewadanganya miaka nenda rudi afu bado wanakuja kuleta ahadi kana kwamba watu ni misukule yao
 
Watu wa mji wa Mbeya wamekuwa ni watu wa ajabu sana. Wanafanya siasa za kitoto sana zisizo za kistaarabu.

Kwa sasa ukizungumzia Mbeya ni kama unazungumzia mji wa 'masela ma..' awa watu walimzomea mpaka rais wa nchi na sababu hawana.

Mji sasa unaongozwa na mawazo ya Sugu na mnamuita rais wenu.. Just imagine?

Nyie siasa za vyama vingi mnachukulia ni ugomvi na fujo kwenu huko sasa kila kitu mmechukulia siasa ata timu yenu inakufa sababu ya siasa za kipuuzi.

Sasa nimeshanga mpaka hizi kampeni kazi yenu ni kuzomea zomea wagombea msiowunga mkono. Sasa sielewi ukishazomea ndio utapata nini na fujo tangu mzianze mmepata nini.

Mbeya inasikitisha imekuwa inawaiga watu wa arusha. Watu wa arusha wanajulikana hao hatuna tatizo nao cha arusha ndio tatizo. Sasa nyie mtaishi hivyo mpaka lini.

Sasa naomba mchukue ushauri wangu mbadilike, msijifanye nyie mnauchungu na chama kuliko watu wa Kilimanjaro.

Msipobadilika mwaka huu mtailaumu serikali maana Mzee Jakaya kawalea sana. Badilisheni siasa zenu ziwe za kijanja or else.

Mbeya walishabadilika wewe ndyo ubadilike acha uonga wa kuiongopa ccm,
 
Back
Top Bottom