Watu wa Mbeya mtabadilika lini?

Watu wa Mbeya mtabadilika lini?

Kwani Wewe ulitakaje? Magufuli Mwenyewe ni Kimbele mbele Chake, Wewe unaona Kijiwe Cha Chadema Alafu unataka kuhutubia. Umponde Lowassa? Hiyo Ndio Peoplez power Bana. Hapana chezea kabisa.

Ukiangalia video yote ya Mbeya utahaibika wewe rais wetu ana hekima, kama uko insta nenda kwenye account ya ccm au mange utapata video yote na sio hicho kipande mnachozungusha.
 
Kubwa zima Linashabikia HAPA KAZITU! Kazi zipi hambazo kwa miaka 50 Hakuna?

yaani kubwa zima linadanganywa nalo linadanganyika? Bora ya wanywa viroba waliojitambua na kutokubali kudanganywa.

Kuliko wewe unaejidai mstaarabu. Kumbe ni 0 kabisa. Hapa kazitu labada kazi za kupiga Tembo na kusafirisha Twiga.

Mliaidiwa MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA yapo wapi? Alafu unakuja kushabikia ujinga? Amakweli Malofa na Wapumbavu ninyie Msiojitambua.

Lofa na Mpumbavu ni wewe ambaye uliaminishwa na akina Mbowe kuwa huyu unayemshabikia ni Fisadi na leo hii unaambiwa ni msafi bado unashabikia. Huoni kama unahitaji kupimwa akili zako kama ziko sawa??? Sio Mbowe aliyesema Lowassa ni bubu na makapi na wao hawawezi kuchukua makapi na bubu?? Sio Msigwa aliyesema wanaomshabikia Lowassa wanahitajika kupimwa akili zao?? Sio Lema aliyesema wanaomzomea mtu fisadi kama Lowassa wanapata baraka kutoka kwa Mungu?? Hebu nikuulize swali dogo na rahisi; hivi kati ya mimi na wewe ni nani amedanganyika??? Kati ya mimi na wewe ni nani anashangilia ujinga??? Wewe ndio akili zako ziko kama "sponge". Ukiliweka sponge kwenye maji safi litanyonya, ukilichukua sponge hilo hilo na ukiliweka kwenye maji machafu bado litanyonya. Tumieni akili zenu kufikiri ninyi wapumbavu wakubwa. CCM imetawala hii nchi miaka 50??? Wewe unafahamu CCM ilizaliwa lini??? Au Mbowe akisema aaaaaaa na wewe unaitikia aaaaaaa akisema baaaaaaaaa na wewe unaitikia baaaaaaa! CCM inachangamoto zake lakini sio kigezo cha kusema eti CCM haijafanya kitu chochote. Mimi naelewa changamoto zinazoikabili CCM na nitipigia kura CCM na wagombea wake na nina imani kabisa CCM itashinda kiti cha Urais na itachukua viti vingi sana vya Ubunge na Udiwani. Penda, usipende, Magufuli ndio rais wako mpya. Mimi siwezi kushabikia UKAWA, mimi sio bendera fuata upepo. UKAWA inaongozwa na wahuni tu na kamwe hatuwezi kuiachia nchi nzuri ya kupendeza Tanzania ikaenda kwenye mikono ya Wahuni! WE CAN'T LET THIS BEAUTIFUL COUNTRY GO TO THE DOGS! NEVER! #HapaKaziTu CHAGUA MAGUFULI
 
Soweto mko juu ya mlima kilimanjaro,nawakubali wazee wa kazi mmetuwakilisha wote tulio waacha hapo jijini,
mbeya saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaafiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Heshma ya juu anayostahili JPM ni kuzomewa maana waTZ wameichoka CCM. Hili ni nchi nzima ha halina ubishi, akiendelea na kujidanganya na push up hata hizo zomea zitabadilika na kuanza kumtoa baru.

Halafu eti licha ya zomea yote ile ITV usiku wanaonyesha umati mkuuuuubwa! wa wananchi wanamsikiliza JPM kwa staha na kumshangalia. Jamani,WATZ hatudanganyiki tena. Fanyeni mfanyalo CCM NO this time.
 
Ukiangalia video yote ya Mbeya utahaibika wewe rais wetu ana hekima, kama uko insta nenda kwenye account ya ccm au mange utapata video yote na sio hicho kipande mnachozungusha.

Haya ni matokeo ya ccm kuwatelekeza wananchi wake na kuwasababishia machungu katika Maisha.

Haya Mambo ndio Mwalimu Nyerere Aliangaika nayo, Mpaka kuja na Azimio la Arusha, lililo zaa Ujamaa.

Kwamba Pengo kati ya walionacho na wasio nacho likizidi sana. Mambo kama haya yatatokea.

Wakubwa hawajui Huku mtaani hali ni Mbaya Sana, Watu wamebamizwa sana na chama cha mapinduzi. Ni shiida kila maali.

Mpaka inafikia watu kupeleka ujumbe kwa Magufuli ujue tunakoelekea ni kubaya sana.

hapa ccm isitafute mchawi, ijitafakari kwa kina sana, isilete siasa nyepesi katika Mambo magumu,

unawambia watu HAPA KAZITU. kazi zenyewe hawazioni, unawambia watu utakemea mafisadi. Wakati miaka yote upo serikalini hatukuwahi hata kusikia ukichangia mada Bungeni au majukwaani Kupinga uchafu uo.

Alafu leo unakuja unajidai majukwaani kulaghai watu ili wakuchague? Ulaghai Mtupu.

Mwaka Huu Mabadiliko haya hepukiki Mkuu. Ccm wamekuwepo kwa miaka 50 tunawashukuru sana na tunawatakia kila na kheri katika siasa za upinzani.
 
Watu wa mji wa Mbeya wamekuwa ni watu wa ajabu sana. Wanafanya siasa za kitoto sana zisizo za kistaarabu.

Kwa sasa ukizungumzia Mbeya ni kama unazungumzia mji wa 'masela ma..' awa watu walimzomea mpaka rais wa nchi na sababu hawana.

Mji sasa unaongozwa na mawazo ya Sugu na mnamuita rais wenu.. Just imagine?

Nyie siasa za vyama vingi mnachukulia ni ugomvi na fujo kwenu huko sasa kila kitu mmechukulia siasa ata timu yenu inakufa sababu ya siasa za kipuuzi.

Sasa nimeshanga mpaka hizi kampeni kazi yenu ni kuzomea zomea wagombea msiowunga mkono. Sasa sielewi ukishazomea ndio utapata nini na fujo tangu mzianze mmepata nini.

Mbeya inasikitisha imekuwa inawaiga watu wa arusha. Watu wa arusha wanajulikana hao hatuna tatizo nao cha arusha ndio tatizo. Sasa nyie mtaishi hivyo mpaka lini.

Sasa naomba mchukue ushauri wangu mbadilike, msijifanye nyie mnauchungu na chama kuliko watu wa Kilimanjaro.

Msipobadilika mwaka huu mtailaumu serikali maana Mzee Jakaya kawalea sana. Badilisheni siasa zenu ziwe za kijanja or else.

Kamushauri Msukuma bwana Mbeya hatuhitaji Ushauri wako.
Ukiweza mpelekee Nape.
 
Kuzomewa azomewe magufuli we inakuhusu��
 
Kumbe Magufuri alikuwa yupo sahihi kuongelea masuala kama ya Libya kama tutaendeleza ushabiki wa kihuni kama huo wa kuzomea wagombea!!
 
mimi niseme sijaona kosa la kuzomea zaid ya kufikisha ujumbe kwamba hatukujakubaliana na unachokifanya ni sawa na kushangilia inamaanisha tumekubaliana na kufurahishwa na unachokifanya sasa nataka nione mmeacha kushangilia kwenye mikutano yenu hapo mtakuwa na haki ya kuwanyoshea kidore wanaozomea

Kushangilia hakumzuii mtu kufikisha ujumbe mahala fulani, maana mtu hushangiliwa tu pale anapoongea suala la maana au lenye kufurahisha,, kuzomea kunakoonekana kwenye video hakukumpa hata nafasi magufuri yakuongea neno,, inamaana walionauhitaji wa kumsikiliza magufuri hawakupata huo wasaa, zomea hii iliwanyima wengine haki yao ya msingi kumsikiliza magufuri,,
 
Nyie huko ndio bado mnaishi 90s.. Mkishazomea uwa mnapata nini? Mji umeharibika sana siku hizi huo, mnaaibisha wazee wenu.

dar kila mahali maji ya mavi yanatieirika nduo maana kipindupindu hakiishi
 
Watu wa mji wa Mbeya wamekuwa ni watu wa ajabu sana. Wanafanya siasa za kitoto sana zisizo za kistaarabu.

Kwa sasa ukizungumzia Mbeya ni kama unazungumzia mji wa 'masela ma..' awa watu walimzomea mpaka rais wa nchi na sababu hawana.

Mji sasa unaongozwa na mawazo ya Sugu na mnamuita rais wenu.. Just imagine?

Nyie siasa za vyama vingi mnachukulia ni ugomvi na fujo kwenu huko sasa kila kitu mmechukulia siasa ata timu yenu inakufa sababu ya siasa za kipuuzi.

Sasa nimeshanga mpaka hizi kampeni kazi yenu ni kuzomea zomea wagombea msiowunga mkono. Sasa sielewi ukishazomea ndio utapata nini na fujo tangu mzianze mmepata nini.

Mbeya inasikitisha imekuwa inawaiga watu wa arusha. Watu wa arusha wanajulikana hao hatuna tatizo nao cha arusha ndio tatizo. Sasa nyie mtaishi hivyo mpaka lini.

Sasa naomba mchukue ushauri wangu mbadilike, msijifanye nyie mnauchungu na chama kuliko watu wa Kilimanjaro.

Msipobadilika mwaka huu mtailaumu serikali maana Mzee Jakaya kawalea sana. Badilisheni siasa zenu ziwe za kijanja or else.

Unapigwa mawe unalalamika? Shukuru Mungu mabomu ni kitu adimu, mgonjwa kweli wewe.
 
Kushangilia hakumzuii mtu kufikisha ujumbe mahala fulani, maana mtu hushangiliwa tu pale anapoongea suala la maana au lenye kufurahisha,, kuzomea kunakoonekana kwenye video hakukumpa hata nafasi magufuri yakuongea neno,, inamaana walionauhitaji wa kumsikiliza magufuri hawakupata huo wasaa, zomea hii iliwanyima wengine haki yao ya msingi kumsikiliza magufuri,,
Ha ha haa, nasikia hakupata hata nafasi ya kupiga push up jukwaani...watu wa Mbeya kiboko. Wastaarabu hupiga push up kwenye gym au nyumbani na si majukwaani.
 
Back
Top Bottom