ibra87
R I P
- Jul 22, 2015
- 5,614
- 5,360
Wahuni Wachache Hawawezi Kuharibu Taswira Nzima Ya Wanambeya.. Kulichukulia Tukio la Kuzomewa kwa Magufuli Kuwa Limetendwa na Wanambeya Wote ni Uonevu Mkubwa.. Ukweli ni Kwamba Waliofanya lile Tukio ni Watu Wasiozidi Hata Robo Ya Wakazi Wa Mbeya. Na hata Waliofanya Lile Tukio ni Watu Ambao Hawana Uhakika wa Kesho. Kuamini Sehemu flani ni Bora kwa Kuwapa nafasi Watu nafasi ya Kuharibu Taswira Ya Wanambeya Wote ni Upuuzi.. Kama Alivyoipuuza Magufuli na Nasisi tuipuuze Hivyo Hivyo... Kuchokwa kwa Ccm Tuonyeshe kwenye Sanduku la kura, Sio Kupandikiza Wachache waharibu Taswira ya Wengine.... Jitambueni