Watu wa Mbeya mtabadilika lini?

Watu wa Mbeya mtabadilika lini?

Watu wa mji wa Mbeya wamekuwa ni watu wa ajabu sana. Wanafanya siasa za kitoto sana zisizo za kistaarabu.

Kwa sasa ukizungumzia Mbeya ni kama unazungumzia mji wa 'masela ma..' awa watu walimzomea mpaka rais wa nchi na sababu hawana.

Mji sasa unaongozwa na mawazo ya Sugu na mnamuita rais wenu.. Just imagine?

Nyie siasa za vyama vingi mnachukulia ni ugomvi na fujo kwenu huko sasa kila kitu mmechukulia siasa ata timu yenu inakufa sababu ya siasa za kipuuzi.

Sasa nimeshanga mpaka hizi kampeni kazi yenu ni kuzomea zomea wagombea msiowunga mkono. Sasa sielewi ukishazomea ndio utapata nini na fujo tangu mzianze mmepata nini.

Mbeya inasikitisha imekuwa inawaiga watu wa arusha. Watu wa arusha wanajulikana hao hatuna tatizo nao cha arusha ndio tatizo. Sasa nyie mtaishi hivyo mpaka lini.

Sasa naomba mchukue ushauri wangu mbadilike, msijifanye nyie mnauchungu na chama kuliko watu wa Kilimanjaro.

Msipobadilika mwaka huu mtailaumu serikali maana Mzee Jakaya kawalea sana. Badilisheni siasa zenu ziwe za kijanja or else.

Mtoa mada sikujibu ila hii itakutosha soma Mithali 26:4 ndivyo ulivyo ww mleta mada.
 
fu**k you karibu mbeya lofa ww
 
Hahahahahahaahahah Arusha wanapigwa kabisa na ndio maana wanafikaga kimya kimya utasikia tu rais alikuwa Arusha ila hakuna sifa za kijinga anajua awea juta yaani kwanza mswahili akiwaza kutuwa chuga anawaza mara mbili mbili
 
Watu wa mji wa Mbeya wamekuwa ni watu wa ajabu sana. Wanafanya siasa za kitoto sana zisizo za kistaarabu.

Kwa sasa ukizungumzia Mbeya ni kama unazungumzia mji wa 'masela ma..' awa watu walimzomea mpaka rais wa nchi na sababu hawana.

Mji sasa unaongozwa na mawazo ya Sugu na mnamuita rais wenu.. Just imagine?

Nyie siasa za vyama vingi mnachukulia ni ugomvi na fujo kwenu huko sasa kila kitu mmechukulia siasa ata timu yenu inakufa sababu ya siasa za kipuuzi.

Sasa nimeshanga mpaka hizi kampeni kazi yenu ni kuzomea zomea wagombea msiowunga mkono. Sasa sielewi ukishazomea ndio utapata nini na fujo tangu mzianze mmepata nini.

Mbeya inasikitisha imekuwa inawaiga watu wa arusha. Watu wa arusha wanajulikana hao hatuna tatizo nao cha arusha ndio tatizo. Sasa nyie mtaishi hivyo mpaka lini.

Sasa naomba mchukue ushauri wangu mbadilike, msijifanye nyie mnauchungu na chama kuliko watu wa Kilimanjaro.

Msipobadilika mwaka huu mtailaumu serikali maana Mzee Jakaya kawalea sana. Badilisheni siasa zenu ziwe za kijanja or else.
Pole sana mkuu kwa dhahama mulioipata Mbeya,ila ukaeukijua kuwa watu wa Mbeya wamechoka kuendeshwa na fikra chovu za CCM wanachohitaji ni mabadiliko kutoka kwa mtu mwenye fikra mpya ambaye amejitenga na fikra chakavu za CCM na wakifanikiwa katika hilo hutawasikia watu wa Mbeya wakizomea tena.
 
Wala sio watu wa Mbeya bali wahuni wachache, ni sawa na mtu kuzomewa kariakoo na kubdi la watu 20 alafu useme Dar es Salaam imemzomea.

John Pombe Magufuli atamshinda Lowassa kwenye uchaguzi huu kwa mkoa wa Mbeya.
subutuuuu
 
Mbeya nako anzeni kusema ni kasikazini kwa kuwa CCM wanaakili za ajabu sana watu wakianza kuwa tofauti na mtazamo wao tayari ameshakuwa ni mtu wa kasikazini.
 
Sie tushabadirika tukuurize wewe utabadirika lini? kikwete mwaka 205 alifika mbeya na kushangaliwa sana na kuzoa kura nyingi mbea ikiongoza kitaifa, lakini alipofanya vibaya akarudi mbeya akazomewa si kosa kisheria maana kuzomea ni kinyume cha kushangilia, shida ya watu wa mbeya ni waelewa sana hiyo ndio inayowapa tabu ccm wanajua wajibu na haki zao kisheria ninajivunia kuzariwa katkat ya watu hawa
 
Kazi gani? Mnalazimisha kukubalika? Acheni zenu, kila mtu anauhuru wakusupport mtu ampendae. The big problem for Tanzanians ni unafiki mkubwa, kujifanya unapenda kitu kumbe hata hukipendi. Watu wambeya wameeleza hadharani hisia zao mnawaona wabaya.

Usitake kufananisha siasa na vitu vingine,, huo ni ujinga uliopitiliza,, kama wewe huipendi CCM na unania ya kuzomea sasa kwa nini uende??? na CCM wakiamua kuzomea unafikiri nini kitatokea?? siasa sio huo umburula unaouwaza, kwa mtu aliepevuka na mwenye akili timamu hawezi kushabikia huu ujinga na upumbavu.. Binafsi nimewadharau sana kiukweli kuna msukumo na ushawishi katika hili,, siamini kama mtu na akili yake anaweza kufanya hili..
 
Hii nchi huru ndugu na kaongea sera zake za uongo wamejua wamemwambia ukweli tatizo nn na unamtisha nani!! Hao ndio wapiga kura ndugu yaani usijidanganye kuandika vitisho humu ukadhani wenye akili timamu watakuunga mkono hapana!!! Au unataka kusema wapigwe tuu?? Hizo ni kampeni waache watanzania waseme yaliyo moyoni jk aniponza ccm na km angewatendea haki vijana angesifiwa!!! Na km magufuli angesiwa ungeandika vitisho??????? Tumpende mama tz tuache ushabiki wa vyama bila kutafari au angezomewa lowasa ungeandika haya na kusema jk kavumilia sana???? Huujui ukweli kuhusu maisha yetu watanzania wa hali ya chini tunavyoumizwa na siasa za nchi hii na viongozi wenye tamaa na mafisadi wakubwa wasio na uzalendo ht chembe
 
USIWASINGIZIE WATU WA MBEYA,NI KWAMBA WAMEICHOKA CCM,huo ndio ukweli we subiri utaona ifikapo October 25.

Mbeya mjini wanaongoza kwa kunywa viroba, wakifuatiwa na Rombo. Mimi nimewahi kuishi Mbeya miaka 3 iliyopita na vijana wengi sana kwenye mji huu ni wanywaji wazuri sana wa viroba. Kura za hawa wahuni wa Mbeya mjini hazitoshi kumpeleka mamvi Ikulu. Kura hizi zinatosha kumrudisha Sugu bungeni lakini hazitoshi kumzuia Dk Magufuli kuingia Ikulu. #HapaKaziTu CHAGUA MAGUFULI.
 
Back
Top Bottom