Watu wa Mbeya mtabadilika lini?

Watu wa Mbeya mtabadilika lini?

10 said:
Mgombea ubunge wa Jimbo la Mbeya Mjini kupitia Chama cha Ustawi,Haki na Ustawi wa Tanzania(Chausta),Mary Komba amesema miongoni mwa mambo atakayoyasimamia iwapo atachaguliwa kuwa mbunge wa jimbo hilo ni "Kupiga vita dawa za kulevya hususani bangi ambayo imeharibu vijana wengi Mbeya",alisema.Alisema Mbeya ni moja ya maeneo yenye watumiaji wengi wa dawa za kulevya na kwamba mpaka sasa hakuna mbunge wala viongozi wanaopiga vita tatizo hilo.
Source:Mwananchi
 
watu wa mji wa mbeya wamekuwa ni watu wa ajabu sana. Wanafanya siasa za kitoto sana zisizo za kistaarabu.

Kwa sasa ukizungumzia mbeya ni kama unazungumzia mji wa 'masela ma..' awa watu walimzomea mpaka rais wa nchi na sababu hawana.

Mji sasa unaongozwa na mawazo ya sugu na mnamuita rais wenu.. Just imagine?

Nyie siasa za vyama vingi mnachukulia ni ugomvi na fujo kwenu huko sasa kila kitu mmechukulia siasa ata timu yenu inakufa sababu ya siasa za kipuuzi.

Sasa nimeshanga mpaka hizi kampeni kazi yenu ni kuzomea zomea wagombea msiowaunga mkono. Sasa sielewi ukishazomea ndio utapata nini na fujo tangu mzianze mmepata nini.

Mbeya inasikitisha imekuwa inawaiga watu wa arusha. Watu wa arusha wanajulikana hao, hatuna tatizo nao cha arusha ndio tatizo. Sasa nyie mtaishi hivyo mpaka lini.

Sasa naomba mchukue ushauri wangu mbadilike, msijifanye nyie mnauchungu na chama kuliko watu wa kilimanjaro.

Msipobadilika mwaka huu mtailaumu serikali maana mzee jakaya kawalea sana. Badilisheni siasa zenu ziwe za kijanja or else.
mseng ww
 
yanayofanyika Mbeya yalitakiwa yafanyika Mtwara na Kigoma maana wameachwa nyuma sana na serikali ya ccm

Umesahau mtiti wa gesi Mtwara? Ndo kumeanza hivyo Mtwara. Kigoma walishawahi kulmaki JK na madumu matupu ya maji na vibatari, wakimdai umeme na maji aliyoahidi kule 'DUBAI' ya Tanzania
 
Back
Top Bottom