mdetichia
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 5,292
- 2,172
Hawajaichoka ccm ila ni watu wanaopenda sana ushabiki wa kishamba. Yani wana akili za kushikiwa.
Tatizo la jamaa wengi wa hii nchi ni wanafiki sasa kutokana na kuzoeya unafiki wakikumbana na ukweli huwa hawautaki Mbeya ukweli kwao daima , unafiki mwiko.