Watu wa Mbeya mtabadilika lini?

Watu wa Mbeya mtabadilika lini?

mkuu hao ni wakuja mbeya.. wenyeji wa mbeya ni wakarimu.. na ni wahuni wachache wasikupe shida
 
Usitake kufananisha siasa na vitu vingine,, huo ni ujinga uliopitiliza,, kama wewe huipendi CCM na unania ya kuzomea sasa kwa nini uende??? na CCM wakiamua kuzomea unafikiri nini kitatokea?? siasa sio huo umburula unaouwaza, kwa mtu aliepevuka na mwenye akili timamu hawezi kushabikia huu ujinga na upumbavu.. Binafsi nimewadharau sana kiukweli kuna msukumo na ushawishi katika hili,, siamini kama mtu na akili yake anaweza kufanya hili..

mimi niseme sijaona kosa la kuzomea zaid ya kufikisha ujumbe kwamba hatukujakubaliana na unachokifanya ni sawa na kushangilia inamaanisha tumekubaliana na kufurahishwa na unachokifanya sasa nataka nione mmeacha kushangilia kwenye mikutano yenu hapo mtakuwa na haki ya kuwanyoshea kidore wanaozomea
 
Mm sina kadi ya chama chochote cha siasa ila kwa jinsi ambavyo niamenza kufuatilia siasa za mama tz kiukweli natamani ningepewa bakora ningewatandika sana baadhi ya viongozi waliopo kwenye sererkali hii jamani kuna mabilion ya pesa yanaliwa na watu wa chache!!! Yaani hawana uzalendo ht kidogo!! Busara inatumika kwa wenye busara wakati mwingine kupigakelele ni silaha ya kumshtua mtu anaesinzia wakati wa mapambano!!!!
 
Hongera sana mbeya,mtu anayetukana afya ya mwenzake hafai kutuongoza,kama anatuka mwenzake bado anaomba kura je akiingia ikulu?anajifanya kupiga push up,eti ana afya bora!Mungu yupo!
 
Mbeya mjini wanaongoza kwa kunywa viroba, wakifuatiwa na Rombo. Mimi nimewahi kuishi Mbeya miaka 3 iliyopita na vijana wengi sana kwenye mji huu ni wanywaji wazuri sana wa viroba. Kura za hawa wahuni wa Mbeya mjini hazitoshi kumpeleka mamvi Ikulu. Kura hizi zinatosha kumrudisha Sugu bungeni lakini hazitoshi kumzuia Dk Magufuli kuingia Ikulu. #HapaKaziTu CHAGUA MAGUFULI.

Vipi na Mwakyembe kule Kyela? Atatetea kiti cha ubunge?
 
Mbeya mjini wanaongoza kwa kunywa viroba, wakifuatiwa na Rombo. Mimi nimewahi kuishi Mbeya miaka 3 iliyopita na vijana wengi sana kwenye mji huu ni wanywaji wazuri sana wa viroba. Kura za hawa wahuni wa Mbeya mjini hazitoshi kumpeleka mamvi Ikulu. Kura hizi zinatosha kumrudisha Sugu bungeni lakini hazitoshi kumzuia Dk Magufuli kuingia Ikulu. #HapaKaziTu CHAGUA MAGUFULI.

sasa kwanini msimshauri mgombea wenu shitambala aachane na kampeni kuliko kuendelea kupoteza rasilimali pesa pamoja na mda wake bure huku mkijua mbeya mjini hamtoboi? mlivyo na dhambi na milioni mbili yake mlichukua huku mkijua hamuwezi mkashinda
 
Kambarage ashawahi kukong'otwa mawe huko Mbeya, unashangaa Magufuli kuzomewa?

Aboud Jumbe alitimuliwa kutoka Kyela, Mbeya, baaada ya serikali kufunga maduka binafsi miaka ya 1970 akaahidi kutorudi tena Mbeya! Alipanda jukwaani akasema TANU oyeeee, wananchi wakajibu kwa kishindo Ziiiiiiiiiiii!!!!!! Mkutano ukafungwa hapo hapo!

Magufuli juzi imebidi awasalimie watu wa Mbeya "Chadema Oyeeeee!!! Peoples's........" Hakuna sehemu nyingine Magufuli kafanya hivyo.

Sasa nadhani unapata picha kamili ya watu wa Mbeya
 
fu**k you karibu mbeya lofa ww

Umri wako bila shaka unajieleza kwa hayo uliyoandika,, inawezekana kabisa unaishi kwa baba au shemeji ndio anakulea,,, mtu anayeyajua maisha na mpambanaji hawezi kuandika ulichokiandika au kushabikia ujinga huo uliosemwa, kama huipendi CCM nenda kapige kura uikatae,,mengineyo ni uoga wenu na dalili za kushindwa tu..inaonyesha ni jinsi gani msivyojiamini...mbona CCM haiwazomei?? ulishafikilia CCM ikiandaa vijana 100 wakaja kuzomea kwenye mkutano wa CDM nini unahisi kitatokea???
 
Nakubaliana na wewe mkuu, sio wana Mbeya wote wenye matatizo . Kina mama wa Mbeya kwa mfano ni kina mama wastarabu sana ata wazee wa huko ni wema, tatizo ni hiki kizazi kilichokuja juzi na kikakosa akili kamili sijui kilitokea wapi! Watu wapo karne ya technology wao wanarudi kwenye ujima yani kwa akili zao ukiwawekea jiwe wanalichagua kweli sasa hizi akili sio za binadamu aliyekanilika hii ni jamii ya primates.

Unatoa kibanzi kwenye jicho la mwenzio wakati wewe unaguboliti..... et kizaz cha sasa akili hujui zmeenda wap???au tukuulize wewe akili zimekupotelea wap?????
 
mtoa mada nakuunga mkono kabisa kwa mtazamo wako kuhusu siasa za Mbeya. Hata mimi ni mzaliwa wa huko lakini naishi Dar es Salaam. Kuna kipindi ninaona aibu kujitambulisha kuwa asili yangu ni Mbeya Mjini hasa nikiangalia aina ya Mbunge anayetuwakilisha. Eti Sugu ndiye Mbunge wetu !! What a shame. Halafu kuna mipumbavu iko pale maeneo ya Mwanjelwa huwezi kuwaambia kitu kuhusu Sugu wakati Sugu mwenyewe hakuna alichofanya pamoja na kuokota ubunge wa Mbeya kama embe lililoanguka chini. Watu wa Mbeya mjini wamejaa ushamba na ushabiki usio namaana na ndiyo maana hata maendeleo yanawakimbia kwenda mikoa mingine. sasa nawambia warudie makosa ya kumchagua Sugu tena ndiyo wataendelea kuwa na JIJI lenye nyumba za matope na vibarabara vya uchochoro.
 
Hawajaichoka ccm ila ni watu wanaopenda sana ushabiki wa kishamba. Yani wana akili za kushikiwa.

Una sababu gani ya kutoa maneno kama hayo? Mbeya ni mkoa na una watu wengi kiasi kwamba haileti akili kuona sentensi zako zinazowataja na kuwatukana wote kama vile hakuna mwenye akili. Na hapo ndio unaomba wawapigie kura wagombea wenu. Kuna ubaya gani watu wakijitambua?
 
Tangu mmeanza kuzomea mmepata nini zaidi ya kuongozwa na mliyemzomea? siku mkiacha utoto na kubadilika mtafurahia matunda. Mwaka huu subirini kichapo tena.
 
Watu wa mji wa Mbeya wamekuwa ni watu wa ajabu sana. Wanafanya siasa za kitoto sana zisizo za kistaarabu.

Kwa sasa ukizungumzia Mbeya ni kama unazungumzia mji wa 'masela ma..' awa watu walimzomea mpaka rais wa nchi na sababu hawana.

Mji sasa unaongozwa na mawazo ya Sugu na mnamuita rais wenu.. Just imagine?

Nyie siasa za vyama vingi mnachukulia ni ugomvi na fujo kwenu huko sasa kila kitu mmechukulia siasa ata timu yenu inakufa sababu ya siasa za kipuuzi.

Sasa nimeshanga mpaka hizi kampeni kazi yenu ni kuzomea zomea wagombea msiowunga mkono. Sasa sielewi ukishazomea ndio utapata nini na fujo tangu mzianze mmepata nini.

Mbeya inasikitisha imekuwa inawaiga watu wa arusha. Watu wa arusha wanajulikana hao hatuna tatizo nao cha arusha ndio tatizo. Sasa nyie mtaishi hivyo mpaka lini.

Sasa naomba mchukue ushauri wangu mbadilike, msijifanye nyie mnauchungu na chama kuliko watu wa Kilimanjaro.

Msipobadilika mwaka huu mtailaumu serikali maana Mzee Jakaya kawalea sana. Badilisheni siasa zenu ziwe za kijanja or else.

Chukua na hiyo mkuu shinda nayo lala nayo...

https://www.facebook.com/andy.alladia/videos/536927193124477/.
 
Tatizo la hawa watu (japo si wote) wana nunulika kwa bei nafuu sana, wana nunulika hadi kufikia hatua ya kununuliwa ili kuwaua ndugu zao kwa nondo na hata kuwa chuna ngozi kama mbuzi, sembuse kununuliwa ili wazomee? kwa malipo ya bwenzi tu
 
"Actions and reactions are equal and opposite" ...mlifanya actions tuwe wavumilivu kuipata reactions.
 
Aboud Jumbe alitimuliwa kutoka Kyela, Mbeya, baaada ya serikali kufunga maduka binafsi miaka ya 1970 akaahidi kutorudi tena Mbeya! Alipanda jukwaani akasema TANU oyeeee, wananchi wakajibu kwa kishindo Ziiiiiiiiiiii!!!!!! Mkutano ukafungwa hapo hapo!

Magufuli juzi imebidi awasalimie watu wa Mbeya "Chadema Oyeeeee!!! Peoples's........" Hakuna sehemu nyingine Magufuli kafanya hivyo.

Sasa nadhani unapata picha kamili ya watu wa Mbeya

Wewe unaona hiyo ni akili?
 
Umri wako bila shaka unajieleza kwa hayo uliyoandika,, inawezekana kabisa unaishi kwa baba au shemeji ndio anakulea,,, mtu anayeyajua maisha na mpambanaji hawezi kuandika ulichokiandika au kushabikia ujinga huo uliosemwa, kama huipendi CCM nenda kapige kura uikatae,,mengineyo ni uoga wenu na dalili za kushindwa tu..inaonyesha ni jinsi gani msivyojiamini...mbona CCM haiwazomei?? ulishafikilia CCM ikiandaa vijana 100 wakaja kuzomea kwenye mkutano wa CDM nini unahisi kitatokea???

waandaeni waje alafu muone nini kitatokea
 
Back
Top Bottom