Watu wa Gaza wala nyama ya punda na kunywa maji ya chumvi kwa njaa. Misri ikipeleka misaada bila ruhusa ya Israel itapata hasara gani

Kweli, Hamas washikilie mpaka mtu wa mwisho na Wananchi wa hizo nchi za wanafik wawageukwe serikali zao na wananchi.
Najua hakuna Hamas hata mmoja anayejisalimisha kama anavyotaka Netanyahu tuamini.Wanajua kujisalimisha hakutawasaidia chochote.
Wapigane tu na msaada wa Mwenyezi Mungu kwao uko karibu.
 
Wa kulaumiwa Ni misri na UN, kwenye mpaka wa Rafar hakuna askari wa Israel, upande mmoja Ni misri, na upande mwingime ni serikali ya Hamas, ambao baada ya kuvua magwanda UN ndio wanaoratibu
 
Gaza ipo under surveillance ya Israel na Marekani ardhini, majini na angani 24/7. So Misri akipitisha malori ya msaada Israel na US watayalipua kabla hayajafikia walegwa.
Hio misaada inayotolewa na UN sehemu kubwa ni marekani wanaotoa, watailipuaje? Tatizo la mpakani UN wameweka mlolongo mrefu wa usalama, magari yanaingia polepole, hayalipuliwi na Israel, ni chuki tu
 
Hio misaada inayotolewa na UN sehemu kubwa ni marekani wanaotoa, watailipuaje? Tatizo la mpakani UN wameweka mlolongo mrefu wa usalama, magari yanaingia polepole, hayalipuliwi na Israel, ni chuki tu
Hakuna asiejua UN ni Marekani na Marekani ni Israel.

So pamoja na UN kuwa mbwa koko kwa kuwepo kijina tu. Tunajua UN ambayo ndio Marekani na ndio Israel haiwezi kufanya lolote.

Hivyo hata juhudi za ceasefire ni danganya toto tu maana UN huyo huyo ndio Mmarekani anae support kwa 100% mauaji ya Gaza.

Ni kujitekenya na kucheka wenyewe.
 
Hujanizidi mie nnavyotamani
Ila sidhanii kwakweli ila hem acha tuone lolote laweza tokea
Ghaza kinachoendelea mtego kwa mataifa mengi ya hapo mashariki ya kati hasa wanaopakana na ghaza
Hata wewe una nafasi ya kuandika historia ya kuwa shujaa

Uoga unaopata wewe kujitosa ndio uoga huo huo ambao hao mnaowaita mashujaa nao wanaupata.
 
Nchi za Kiarabu zilisha wahi kuisaidia Palestine kivita na zikashindwa
Saa hii watu wapo busy kuangalia maendeleo yao badala ya kukomaa na wapalestina wanaong’ang’ana na from River to the sea
 
Israhell inapatikana bara gan mkuu? me najua kuna israel 2. Ila hyo ISRAHELL yako hata kwenye raman siioni.
 
zama zimebadilika na Hamas,Hizbollah na Houth wameonesha njia kuwa chochote kinawezekana.
Endelea kujidanganya.
Israel imezungukwa na nchi maadui pande zote, lakini majirani zake wote wanajua kwamba hawawezi kujiingiza moja kwa moja ktk kupigana vita nayo kwa sababu wanajua uwezo wa Israel ktk kupigana vita. Karibu nchi zote majirani na Israel zilishajaribu kupigana vita na Israel lakini zimeshindwa kwani zilipigwa, hivyo wamelazimika kukaa kimya kwenye huo mgogoro.
 
Wamisri, Wasaudi. UAE, Kuwait, Qatar na Iraq ya sasa wote ni mapandikizi ya Kiyahudi.

Nchi za kutegemea kidogo ni Syria, na Yemen wenyewe wapo mashakani.

Waturuki nao wanafik tu.
Kama myahudi ameweza kupandikiza top leadership ya Misri, UAE, Kuwait,Qatar na Saudi basi ni wazi kuwa Myahudi amewazidi waarabu akili sana.

Wayahudi walimzidi mpaka Mudi akili ndio maana kwenye Quran ameishia tu kulalamika na kuwatupia laana...ambazo hazijafanya kazi mpaka leo.

Toka miaka 1400 wakati wa Mudi mpaka leo Wayahudi wamewazidi akili na watawazidi akili mpaka mwisho wa dunia.
 
Endelea kujidanganya.
Israel imezungukwa na nchi maadui pande zote, lakini majirani zake wote wanajua kwamba hawawezi kujiingiza moja kwa moja ktk kupigana vita nayo kwa sababu wanajua uwezo wa Israel ktk kupigana vita. Karibu nchi zote majirani na Israel zilishajaribu kupigana vita na Israel lakini zimeshindwa kwani zilipigwa, hivyo wamelazimika kukaa kimya kwenye huo mgogoro.
Ni ukibaraka na ujinga uliojaa vichwani mwao.Si suala la ukali wa Israel.Mabadiliko ya teknolojia yanaifanya Israel iwe dhaifu sana mbele ya majirani zake.Hamas wameonesha mfano.
Kundi lililozingirwa na kuwekewa vikwazo miaka 20 ndani ya eneo dogo sana limeshapigana na Israel kwa muda mrefu kuliko wote katika vita vyake na hawajawashinda hata kidogo.
Fikiria aingie Misri na wenzake na droni zao na mizinga na ndege za vita atabaki Israel gani pale.
Elewa kuwa kwa sasa Israel watu wamejikushanya katikati peke yake.Kusini wamehamishwa na kaskazini nako pia.kama anaingia Jordan na Syria watakwenda wapi.Mizinga waliyonayo Jordan na wenzake inapiga eneo lolote la Israel huku ikijulikana iron dome kwisha habari yake.Makombora ya Hizbollahj na Hamas yanapenya kila siku itakuwa ya Misri .Jordan na Syria.
 
Israhell inapatikana bara gan mkuu? me najua kuna israel 2. Ila hyo ISRAHELL yako hata kwenye raman siioni.
Sio lazima kila kinachoona nawengine nawewe ukione kijana
Jitahidi kuona nakuridhika na hvyo ambavyo vinaonwa na majicho yake utafaidi sana
Israhell taifa la hovyo sana
 
Kama myahudi ameweza kupandikiza top leadership ya Misri, UAE, Kuwait,Qatar na Saudi basi ni wazi kuwa Myahudi amewazidi waarabu akili sana.

Wayahudi walimzidi mpaka Mudi akili ndio maana kwenye Quran ameishia tu kulalamika na kuwatupia laana...ambazo hazijafanya kazi mpaka leo.

Toka miaka 1400 wakati wa Mudi mpaka leo Wayahudi wamewazidi akili na watawazidi akili mpaka mwisho wa dunia.
Ukisema Mudi najua unakusudia mtume Muhammad rehma na amani zimshukie. Habari ya wayahudi na Mtume swalaLlaahu alayhi wa sallam huna ubavu wa kuzijadili.Kama huna taarifa mayahudi hawana chao katika akili mbele ya waislamu.Kilichobaki ni ujinga wa waislamu na kupenda dunia tu.
Elimu unayodhani wanayo mayahudi wamesomeshwa na waislamu na wamekopi vya kutosha kutoka maktaba za waislamu zilizokuwa Baghdad na Spain.
 
Tajiri mmoja wa Gaza ya kaskazini amesema wameishiwa na chakula na maji kiasi kwamba kuna baadhi ya familia zimelazimika kuchinja punda na kula nyama yake ili wabaki hai.

Mbali na ushahidi huo picha nyingi za moja kwa moja zinawaonesha wananchi hao wakipanga foleni ndefu na kugombea mikate kitu ambacho hakikuwepo Gaza kabla ya vita.

Vyakula kwa ajili ya wapalestina hao vimejaa kwenye magari ndani ya nchi ya Misri lakini ni lazima vipate ruhusa ya Israel kuingia eneo ijapokuwa Gaza haijapaka na Israel.

Kuna athari gani iwapo Misri itaanza kuchukua maamuzi ya kupeleka misaada Gaza bila kuomba ruhusa ya Israel na kwa upande mwengine nani anayesimamia kutekelezwa kwa matakwa ya Israel ndani ya Misri.
"......... wameishiwa na chakula na maji kiasi kwamba kuna baadhi ya familia zimelazimika kuchinja punda na kula nyama yake ili wabaki hai."
Mkuu; mbona nyama ya punda ni chakula kama nyama zingine?
 
Back
Top Bottom