Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,854
- 183,107
Kizuri hakichoshi..mziki wa king si big G kama wa yule
Hivi unaanzaje kuchoka mziki mzuri kutoka kwa Le King? Yaaani huo unacheketua hata miaka mia na hauchoshi, ila lazima washangae haya ni mashikolo mageni kwao maana taarabu zao huwa hazilast hata wiki, so jaka moyo linawakaanga hatari