Watu maarufu ambao wamegoma kuzeeka

Watu maarufu ambao wamegoma kuzeeka

Wanaobisha kuwa dully hazeeki kwa kuleta visababu uchwara ni watu flani ambao wanamzidi umri dully au wapo rika moja nae ila kimuonekano ni wazee kweli kweli,

Mvi sii kigezo cha mtu kuitwa mzee wapo watu wengi wana 40 na kichwa ni cheupeeee

Muonekano wa dully ni mfano hai wa hii mada jamaa hazeeki jamani
 
Wa bongo siwajui ila Europe yuko Jesse Lingard nimeanza kumuona anaichezea manutd tangu mi mdogo nasoma, kwa sasa hii ndo picha yake ukiambiwa ana miaka 23 hukatai ila mwamba ana 30+
View attachment 3283199
Eti umemuona Lingard tangu ukiwa mdogo na sasa ana miaka 30+???...🤣🤣...sasa uzee na miaka hiyo wapi na wapi???kama ulimwona Lingard ukiwa bado mdogo basi wewe ni below twenti.
 
Eti umemuona Lingard tangu ukiwa mdogo na sasa ana miaka 30+???...🤣🤣...sasa uzee na miaka hiyo wapi na wapi???kama ulimwona Lingard ukiwa bado mdogo basi wewe ni below twenti.
Uzee umekufikia vibaya we mzee
 
Bila kumtaja Zembwela mtakuwa hamuoni vizuri.
 
Leo tuwataje watu maarufu hapa bongo ambao ni kama wamegoma kuzeeka. Yaani wapo vilevile miaka nenda miaka rudi.

Naanza na Blandina Changula maarufu kama Johari.
Huyu tangu tukiwa wadogo yupo hivyohivyo mpaka leo yupo hivyo hivyo.

Tuendelee na list…
MKE WANGU HAZEEKI.
 
Back
Top Bottom