Watu maarufu ambao wamegoma kuzeeka

Watu maarufu ambao wamegoma kuzeeka

Leo tuwataje watu maarufu hapa bongo ambao ni kama wamegoma kuzeeka. Yaani wapo vilevile miaka nenda miaka rudi.

Naanza na Blandina Changula maarufu kama Johari.
Huyu tangu tukiwa wadogo yupo hivyohivyo mpaka leo yupo hivyo hivyo.

Tuendelee na list…
Simba na Yanga. Tangia miaka ile nawasikia hawa na wanaendelea na majukumu yao ya kila siku
 
Basi aweke picha yake hapa Kwa faida yangu na wengine
Omba kingine....
🇨🇦.gif
 
Leo tuwataje watu maarufu hapa bongo ambao ni kama wamegoma kuzeeka. Yaani wapo vilevile miaka nenda miaka rudi.

Naanza na Blandina Changula maarufu kama Johari.
Huyu tangu tukiwa wadogo yupo hivyohivyo mpaka leo yupo hivyo hivyo.

Tuendelee na list…
KajLa Huyu bibi mpaka wajukuu watazeeka yuko vile vile ndio maana huyu mmakonde hajawahi kumsahau
 
Leo tuwataje watu maarufu hapa bongo ambao ni kama wamegoma kuzeeka. Yaani wapo vilevile miaka nenda miaka rudi.

Naanza na Blandina Changula maarufu kama Johari.
Huyu tangu tukiwa wadogo yupo hivyohivyo mpaka leo yupo hivyo hivyo.

Tuendelee na list…
Acha uongo waongepee watoto wa 2000
 
Back
Top Bottom