Watu maarufu ambao wamegoma kuzeeka

Watu maarufu ambao wamegoma kuzeeka

1743097614345.png
 
Hapo kwenye kuzeeka hakuna fundi ni muda tu ukifika, kuanzia miaka 70 na kuendelea kila kitu kinakuwa wazi.
miaka 70 ndio uzeea unaanza mkuu wangu, sio huu umri wa miaka 30 hadi 50 tunaitana wazee. Sasa ukigonga 60 sijui utaitwa nani kama tu 40 mtu unaitwa mzee inakera sana. Tuliitana wazee tukiwa primary na secondary, unasikia naitwa mzee LOTH HEMA leta story za Animals farm, halafu sina huo uzee ilikuwa sawa tu
 
Nyinyi mnawaona kwenye post za insta wakishajipiga filter? Dully hadi ana mvi mnasemaje hazeeki? Dully anapaka nywele dawa ya rangi rangi kuficha mvi ,ni kama Katelephone na super black...na kwa miaka ya dully bado hauwezi kusema mzee maana alivyoanza gemu alikuwa kama Dogo janja ,je bado yupo vile vile kama dogo janja?
Nafikiri wengi wanaangalia umbo
 
Unamuongelea mtu mwenye bima ya afya ya milele!
Checkups za kila saa hata akikohoa kwa kupaliwa!
Hao watu ni another stage mazee.
Umetoka nje ya mada, hapa inaongelewa muonekano wa mtu Kwa nje na sio bima ya afya,
Kwani Michael Jackson yeye si alikuwa na madaktar chungu nzima Kwa ajili yake, achia mbali bima ya afya
 
Nafikiri wengi wanaangalia umbo

Dully ana umbo kubwa tofauti na alivyoanza ,mbona Peter mesechu hawasemi mzee ingawa ana umbo kubwa mara mbili ya dully? Akifikia kipindi sura itakunjamana tu ,kwa age ya dully sura kukunjamana bado ila Kwa mvi muache aendelee kujidanganya kwa kupaka rangi.
 
Back
Top Bottom