Watu maarufu ambao wamegoma kuzeeka

Watu maarufu ambao wamegoma kuzeeka

Kuna Lecturer wangu Dr mmoja yupo CIVE Udom, aisee tangu kanifundisha Bachelor 2007 nimekutana nae January mwaka huu 2025 mwamba yuko vile vile sijui anakula nini, yani mi nimezeeka kuliko Lecturer wangu 🤣🤣🤣
 
Dully Sykes

Nyinyi mnawaona kwenye post za insta wakishajipiga filter? Dully hadi ana mvi mnasemaje hazeeki? Dully anapaka nywele dawa ya rangi rangi kuficha mvi ,ni kama Katelephone na super black...na kwa miaka ya dully bado hauwezi kusema mzee maana alivyoanza gemu alikuwa kama Dogo janja ,je bado yupo vile vile kama dogo janja?
 
Aisee.
Kumbe filter ndo mchawi wetu.
Ila juzi hapa Dully alikuwa anahojiwa na kituo kimoja hv, ila alionekana kama badobado hv, sio sana na akina TID au FA
 
Back
Top Bottom