Watu maarufu ambao wamegoma kuzeeka

Watu maarufu ambao wamegoma kuzeeka

Screenshot_20250325_232200_Instagram.jpg

😆😆😆 hiki chuma, acheni tu sijui ni robot
 
Wakwanza Will Smith aisee yule mwamba anaelekea 60 ila bado mbichii..Jada Mke wake kazeeka vibaya mno ila mwamba bado yank tu..Toto Lake Jaden limekua kubwa sana ila mwamba bado kijana ndo kwanzaa anaigiza action Movies yule Mzee anadamu nzuri aise
 
Leo tuwataje watu maarufu hapa bongo ambao ni kama wamegoma kuzeeka. Yaani wapo vilevile miaka nenda miaka rudi.

Naanza na Blandina Changula maarufu kama Johari.
Huyu tangu tukiwa wadogo yupo hivyohivyo mpaka leo yupo hivyo hivyo.

Tuendelee na list…
Bila picture ni urongooo...
 
Wakwanza Will Smith aisee yule mwamba anaelekea 60 ila bado mbichii..Jada Mke wake kazeeka vibaya mno ila mwamba bado yank tu..Toto Lake Jaden limekua kubwa sana ila mwamba bado kijana ndo kwanzaa anaigiza action Movies yule Mzee anadamu nzuri aise
Kweli we Kenge, mleta thread kasema celebrities wa hapa Bongo sio huko USA
 
Back
Top Bottom