Watu maarufu ambao wamegoma kuzeeka

Watu maarufu ambao wamegoma kuzeeka

Leo tuwataje watu maarufu hapa bongo ambao ni kama wamegoma kuzeeka. Yaani wapo vilevile miaka nenda miaka rudi.

Naanza na Blandina Changula maarufu kama Johari.
Huyu tangu tukiwa wadogo yupo hivyohivyo mpaka leo yupo hivyo hivyo.

Tuendelee na list…
Kuna Asha Baraka na Yondo Sister. Nilishangaa alipokuja na TP Mazembe Dar alikuwa vile vile sema vipodozi
 
Japo imekaa kama kejeli lakini huu ndo ukweli miaka 20 ijayo kimuonekano uzee utaanzia miaka 30 sababu ya life style
Kabisa. Huku mjini vijana wa 1990s na 2000s alias GenZ hawataki kabisa vyakula vya asili. Wao ni machipsi, makuku ya kisasa, pombe kwa sana tena pombe kali zisizo na viwango stahiki, chini kwa sana, no ibada no discipline ya maisha na hawanywi maji kabisa. Yaani mabro tukiwa 50s mtu akija tufananisha na wao wakiwa na 35 anasema huyu wa 35 ndie mbabu.

Madogo hata kilomita 5 hawatembei, no mazoezi no what! Nawahurumiia hawaaa watakufa vibaayaa_ in Magembe's voice
 
Halafu wanataka pisi kali, walishindwa wanaishia kutukana mara katumika Sana, kumbe yeye ndiye maji yalio cha-cha
 
kuna huyu wakuitwa pharell William mwamba ni kijana kila siku
 
Back
Top Bottom