Watoto wa Pwani ni Wazuri


imhotep

imhotep

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Messages
16,878
Likes
16,106
Points
280
imhotep

imhotep

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2012
16,878 16,106 280
Nimepewa habari hii Almasi iko Zanzibar...nitatembelea zanzibar angalao ninaweza kupata Kiss hata kama kaolewa hata flyin kiss.
distraught-man-praying-2400px-png.1006942
 
imhotep

imhotep

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Messages
16,878
Likes
16,106
Points
280
imhotep

imhotep

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2012
16,878 16,106 280
9fa889db3a71e52a97084406e27317e7-hijab-turban-hijab-niqab-jpg.1007241

Mtoto wa Zanzibar naaapa kwa Mwenyezimungu amaa kweli unajua kuumba hivi watu wanaoniua ili wakapate Haurul~ayn72 si bora kupanda nahazj mpaka Zanzibar.😩
Huyu mtoto haja fake pose yake ni kama anasema what you see is what you get.
 
imhotep

imhotep

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Messages
16,878
Likes
16,106
Points
280
imhotep

imhotep

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2012
16,878 16,106 280
Daima Uzuri wa Mwanamke hudumu katika fikra za Mwanaume ambaye hajamvulia nguo. Wataalam wa Uchumi wanaijua vyema Law of Diminishing return (The More you Consume, the More you loose an appetite)

Sent using Jamii Forums mobile app
Sikubaliani na wewe Kwa hiyo naibu spika wa JMT kuna Appetite au unajipa moyo King Solomon alimtoa malikia wa sheba maalfu ya kilomita kwa sababu ya uzuri wake.
Kitu kama Hichi ambacho ni matokeo ya Solomon na Sheba.
downloadfile-21-jpg.1007310

Halua
 
ministrant

ministrant

Member
Joined
Jan 17, 2014
Messages
60
Likes
38
Points
25
ministrant

ministrant

Member
Joined Jan 17, 2014
60 38 25
Sikubaliani na wewe Kwa hiyo naibu spika wa JMT kuna Appetite au unajipa moyo King Solomon alimtoa malikia wa sheba maalfu ya kilomita kwa sababu ya uzuri wake.
Sijaelewa nn una maanisha na inawezekana hata ukawa umeninukuu vibaya. Na usinivute kwenye mrengo wa kisiasa au kidini kwakuwa kauli yangu haina muktadha huo. Ila kiasili kwa Mwanaume uzuri wa Mwanamke huwa unapungua kadri anavyozidi kumtumia jambo ambalo huwa ni kinyume kwa ambaye hajawahi kukutana naye kimwili kila siku ataendelea kumuona mzuri machoni pake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mromboo

Mromboo

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Messages
1,273
Likes
1,034
Points
280
Mromboo

Mromboo

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2012
1,273 1,034 280
Toto kama hilo unapata tenda ya kulivua nguo.Unalitoa khanga moja lika baada ya nyingine hadi linabaki kama lilivyozaliwa ,halafu unalisukumiza kitandani.ni raha mazee.
Yaani JF ni mtandao pekee ambao unaweza kumuandika mamaako/babaako/dadaako/kakaako maneno kama hayo. Pia unaweza kutongozana na hao niliowataja baadaye mkakutana nyumbani mkasalimiana kwa adabu lakini huku JF mmetukanana mpaka vya nguoni.
 
imhotep

imhotep

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Messages
16,878
Likes
16,106
Points
280
imhotep

imhotep

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2012
16,878 16,106 280
la kiasili kwa Mwanaume uzuri wa Mwanamke huwa unapungua kadri anavyozidi kumtumia
Nasema hivi labda Tulia Ackson ila kuna wanawake wazuri hawachoshi hata uxhumi ukiyumba ndio anazidi kukupa mahaba moto moto.
 
imhotep

imhotep

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Messages
16,878
Likes
16,106
Points
280
imhotep

imhotep

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2012
16,878 16,106 280
Kuna wanawake wazuri wanavutia wanauchikua moyo wako,kuna wengine ni wakawaida wana mvuto wa kati na Kuna wanawake wazuri kila idara
Sasa ukweli ndio huo!
 
imhotep

imhotep

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Messages
16,878
Likes
16,106
Points
280
imhotep

imhotep

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2012
16,878 16,106 280
Mimi niliwahi Kukutana na Mwanamke mzungu alikuwa anazunguka Continent letu kwa Baiskeli mimi nilikuwa nimepakia Mzigo wa Kigali nilipomuona Ilikuwa Mbele ya kijini cha Lusahunga.
Nikapunguza nikasimama na kumuuliza Kuna shida Gani akaniambia alikuwa anajisikia kichwa kinamuuma nikampa Lifti mpaka Boda njiani nikamuona kama ana hofu na mchoko nikamwambia pumzika lala kwenye kitanda akazuga kidogo lakini akalala.

Tulipofika Kigali Kuna dawa huwa anatumia ni Anti malarial nikapaki gari tukaenda nae Hoteli tuliongea nae sana yaani tulikuwa tumeshazoeana
Unajua hawa watalii backpackers hupenda hoteli bei rahisi mimi nikamshauri tuchukue Double bed akakubali nikamuacha hotelini mimi nikaenda kwa mpenzi wangu wa kinyaruanda.nikamuelezea mkasa mzima

Akaniambia twende wote pale Hoteli nikamwambia haina shida,tukafuatana na kipenzi changu hadi kwenye ile hoteli tukamywa bia kadhaa
Yule Mzungu akatoka chumbani kuja kutupa kampani pale yeye hakunywa zaidi ya chupa ya maji yule Mkobwa wangu mdadi ukampamda tukaenda chumbani baada kama nusu saa yule mzungu nae akaingia mimi nilikuwa na hamu na mpemzi wangu nikachapa mpaka nikapata usingizi

Tukalala mpaka asubuhi yulemwanamke wa kizunngu mdie aliewahi kiamka alaoga akatangillulia lwenda kuipekua Baskeli yake sisi mao tukaoga pamoja tukapata lifumgia kinywa tukaagana na yule mzungu kuwa amaenda ubalozini kwao na mimi nikaemda kwemye shuguli zangu akarudi pale hotelini mchana akaboock Chumba simgle moja

Mimi sikuwa na mpamgo naye ila vinywaji vikaanza tukaomgea mambo mengi baadae tukajamia chumbani alikuwa najawahi kulala na mtu mweusi condom zilikiwepo boxi zima

Nikacharaza asunuhi sana akaniaga akaelekea Milima ya Ruhengeri
Lakini angalia yule Mpenzi wangu wa Kitutsi nilifaidi kuliko yule Mzungu.
 
L

lee van cliff

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Messages
1,842
Likes
1,688
Points
280
L

lee van cliff

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2013
1,842 1,688 280
View attachment 1007241
Mtoto wa Zanzibar naaapa kwa Mwenyezimungu amaa kweli unajua kuumba hivi watu wanaoniua ili wakapate Haurul~ayn72 si bora kupanda nahazj mpaka Zanzibar.😩
Huyu mtoto haja fake pose yake ni kama anasema what you see is what you get.
Lol ! umeshaniharibia siku yangu.
 
imhotep

imhotep

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Messages
16,878
Likes
16,106
Points
280
imhotep

imhotep

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2012
16,878 16,106 280
Kuna wanawake wazuri dunia hii hata kama unasterss ukimuangalia tu nafsi inajisikia raaha.
 
mtwa mkulu

mtwa mkulu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2013
Messages
2,680
Likes
723
Points
280
mtwa mkulu

mtwa mkulu

JF-Expert Member
Joined Sep 11, 2013
2,680 723 280
''Mambo ya Dunia yamejaa uchovu usio onekana sikio halichoki kusikia macho hayachoki kuona. Hakuna faida chini ya jua ni kujilisha upepo" king suleman
 

Forum statistics

Threads 1,273,978
Members 490,555
Posts 30,497,039