Watoto wa form one kwenye somo la kemia huu mtambo unaitwaje?

Kwetu kusini huku mitambo hiyo ipo mingi sana yaani karibia kila nyumba kumi mtambo huo upo, hii ni kutokana na utengenezaji wa pombe inayotokana na mabibo yaliyokauka ambayo wanayaita "kochoko". Sasa kochoko hicho ndo zinapikwa kwa stail hiyo ambayo inatoa pombe inayoitwa nipa nyie mjin mnaita gongo ila huku imehalishwa mana watu wanakunywa bila kificho kutokana ni pombe ya matunda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…