Watoto wa form one kwenye somo la kemia huu mtambo unaitwaje?


Mgibeon

Mgibeon

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2011
Messages
8,906
Points
2,000
Mgibeon

Mgibeon

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2011
8,906 2,000
Nishakutana na mtambo wa hivi kule masasi, wanatumia "kochoko".. Kilichokosekana kwenye huo mtambo ni maji tu for cooling..
 
Jidu La Mabambasi

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Messages
5,002
Points
2,000
Jidu La Mabambasi

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined Oct 20, 2014
5,002 2,000
Duuh,.mbona kama filtration and crystallisation hahahah...
Kweli wewe kemianilikupita.
Hapo hamna filtration wala crystallisation.
Kuna heating/ boiling/vaporisation, halafu condensation.
 
Nyoka mwenye makengeza

Nyoka mwenye makengeza

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Messages
631
Points
500
Nyoka mwenye makengeza

Nyoka mwenye makengeza

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2018
631 500
Liebig condensor


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
adriz

adriz

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2017
Messages
589
Points
1,000
adriz

adriz

JF-Expert Member
Joined Sep 2, 2017
589 1,000
Wengine bado tunasoma BASELINE hatujaanza masomo rasmi
 
K

Kweyee

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2016
Messages
210
Points
250
K

Kweyee

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2016
210 250
Thread yako hawataiona form one kwa sababu wanafunzi hawaruhusiwi kuwa na cm
 
M

Mtumishi wa Bwana89

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2018
Messages
1,059
Points
2,000
M

Mtumishi wa Bwana89

JF-Expert Member
Joined Jul 23, 2018
1,059 2,000
Natamani nijibu lakini nilishapita fom wani miaka kumi na tano iliyopita
 
Lord eyes

Lord eyes

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2018
Messages
3,899
Points
1,995
Lord eyes

Lord eyes

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2018
3,899 1,995
Hapa ndio nashanga wakemia wanaenda kutafuta knowledge darasani wakati wazee wamesha practice wanajua kinaenda kuzalishwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,286,122
Members 494,879
Posts 30,884,723
Top