madam fanya kama hujaona hiyo form "ONE"Dharau iliyoje eti watoto wa form one daah
watanzania ni wabunifu sana c dhani kati ya hao hapo kama kuna mtu kaenda hata form one,lakini wapiga separation method kama hawana akili nzuriView attachment 1012425
Africa tuna mambo mengi ya ubunifu.......sijui huu mtambo unaitwaje na unatengeneza nini? je hapa tz ni maeneo gani hasa mtambo huu unapatikana........
fractional distillation au.....Mimi sio mtoto wa form one. Naufananisha na njia mtambo niite wanayotumia wakemia kutenganisha vimiminika viwili visivyochanganyikana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani hiyo ni mtambo au ni process?fractional distillation au.....
Samahani mkuu kwa kiswahili ni nini, maana wengine tumeishia LA TATU B
Huyu anatafuta vitoto vya "FOMU WANI" ili avigegede, tumemshitukia Mkuu.Dharau iliyoje eti watoto wa form one daah