Wakuu
Hili swali najiuliza watoto wa dada yangu hawa nawapenda sana na zamani nilipokua naishi mjini nilikua nawapeleka beach na mara kadhaa kwenda sehemu kula hata burger sasa ajabu hii
Toka nimerudi kijijini na mambo kwenda ndivo sivyo watoto hawa wa dada wananiita mjomba hivi nataka nimweleze Dada tatizo ni nini?
Binafsi napenda waendelee kuniita uncle mambo ya mjomba sitaki kuyasikia kabisa.