Je, hawa watoto wa mjomba wangu waliwezaje kuwa wanajeshi wa Nchi ya Rwanda?

Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
17,895
25,944
Amani iwe nanyi wakuu

Unajua unaweza ukawa na ndugu lakini wakakuumiza kichwa sana aisee.

Iko hivi mimi nina mjomba wangu yaani kaka yake na mama yangu mzazi wa tumbo moja ni hakimu kwa kazi yake

Ana watoto wake watano wawili ni wanasheria na mmoja ni mpiga mishe lakini pia ana vijana wake wawili ambao toka zamani sana tuliambiwagwa wanasoma nje yaani toka shule ya msingi wao walikuwa wanasoma nje ila mimi kwa kua nilikuwaga mdogo sana sikujuaga huko nje ni wapi na ni nini maana ya nje.

Hadi pale nilipokuja kukua ndo nikajua kuwa kumbe nje ni out of Tanzania land.

Lakini sasa miaka kama mitatu hivi iliyopita sister akanambia wakina fulani na fulani ni wanajeshi, mimi nikamuuliza vizuri hakunambia ilikuwa kama siri fulani ambayo hata ndugu hatukutakiwa kujua.

Lakini si unajua hakuna siri duniani ndio sister mwingine akanambia ni wanajeshi wa Rwanda.

Na hata juzi juzi walipokuwa wamekuja walikuja wakiwa wametoka Rwanda.

Kwa kifupi mimi na hawa ndugu zangu sinaga sana mazoea nao, sana wamezoeana na dada zangu hivyo mimi na wao ni kushoto sana.

Afu kitu kingine ni watu wa siri siri sana hawanaga story nyingi sasa mimi huwaga sinaga mambo ya kihivyo aisee.

Ila tu swali la kujiuliza je? Hawa kaka zangu waliwezaje kuwa wanajeshi wa nchi jirani tena kwa sasa wana vinyota viwili kabisa.

LONDON BOY
 
Na wewe ni mnyarwanda mwenzao maana kwa system ya rwanda na majina yao kuajiri mtu wa nje sector nyeti ni vigumu wew sema yoote kwamba nyie ni wanyarwanda mnaishi tanzania shambani kwa bibi ova.
 
Amani iwe nanyi wakuu

Unajua unaweza ukawa na ndugu lakini wakakuumiza kichwa sana aisee.

Iko hivi mimi nina mjomba wangu yaani kaka yake na mama yangu mzazi wa tumbo moja ni hakimu kwa kazi yake

Ana watoto wake watano wawili ni wanasheria na mmoja ni mpiga mishe lakini pia ana vijana wake wawili ambao toka zamani sana tuliambiwagwa wanasoma nje yaani toka shule ya msingi wao walikuwa wanasoma nje ila mimi kwa kua nilikuwaga mdogo sana sikujuaga huko nje ni wapi na ni nini maana ya nje.

Hadi pale nilipokuja kukua ndo nikajua kuwa kumbe nje ni out of Tanzania land.

Lakini sasa miaka kama mitatu hivi iliyopita sister akanambia wakina fulani na fulani ni wanajeshi, mimi nikamuuliza vizuri hakunambia ilikuwa kama siri fulani ambayo hata ndugu hatukutakiwa kujua.

Lakini si unajua hakuna siri duniani ndio sister mwingine akanambia ni wanajeshi wa Rwanda.

Na hata juzi juzi walipokuwa wamekuja walikuja wakiwa wametoka Rwanda.

Kwa kifupi mimi na hawa ndugu zangu sinaga sana mazoea nao, sana wamezoeana na dada zangu hivyo mimi na wao ni kushoto sana.

Afu kitu kingine ni watu wa siri siri sana hawanaga story nyingi sasa mimi huwaga sinaga mambo ya kihivyo aisee.

Ila tu swali la kujiuliza je? Hawa kaka zangu waliwezaje kuwa wanajeshi wa nchi jirani tena kwa sasa wana vinyota viwili kabisa.

LONDON BOY
Hizi mipaka zimewekwa na watu wabaya, hazipaswi kututenga mkuu.
Kijijini kwetu jirani yetu ni professor nchi jirani
 
Mimi ni mtanzania wa geita, mdogo wangu Eliud mwanariadha yupo kenya. Mpaka leo sijui imekuaje amekuwa mkenya. Nimsiri sana dogo
 
Na unadhani hao ndugu zako hawataona huu uzi na wakakujua wewe ni nani?Umeshawahi kujiuliza ulichoandika wakikiona wao au ndugu wengine waliokua wanaficha watajisikiaje?Inawezekana pia umehatarisha maisha yao unless kama unahisi wanahatarisha Usalama wetu umeamua kuwalipua
 
Amani iwe nanyi wakuu

Unajua unaweza ukawa na ndugu lakini wakakuumiza kichwa sana aisee.

Iko hivi mimi nina mjomba wangu yaani kaka yake na mama yangu mzazi wa tumbo moja ni hakimu kwa kazi yake

Ana watoto wake watano wawili ni wanasheria na mmoja ni mpiga mishe lakini pia ana vijana wake wawili ambao toka zamani sana tuliambiwagwa wanasoma nje yaani toka shule ya msingi wao walikuwa wanasoma nje ila mimi kwa kua nilikuwaga mdogo sana sikujuaga huko nje ni wapi na ni nini maana ya nje.

Hadi pale nilipokuja kukua ndo nikajua kuwa kumbe nje ni out of Tanzania land.

Lakini sasa miaka kama mitatu hivi iliyopita sister akanambia wakina fulani na fulani ni wanajeshi, mimi nikamuuliza vizuri hakunambia ilikuwa kama siri fulani ambayo hata ndugu hatukutakiwa kujua.

Lakini si unajua hakuna siri duniani ndio sister mwingine akanambia ni wanajeshi wa Rwanda.

Na hata juzi juzi walipokuwa wamekuja walikuja wakiwa wametoka Rwanda.

Kwa kifupi mimi na hawa ndugu zangu sinaga sana mazoea nao, sana wamezoeana na dada zangu hivyo mimi na wao ni kushoto sana.

Afu kitu kingine ni watu wa siri siri sana hawanaga story nyingi sasa mimi huwaga sinaga mambo ya kihivyo aisee.

Ila tu swali la kujiuliza je? Hawa kaka zangu waliwezaje kuwa wanajeshi wa nchi jirani tena kwa sasa wana vinyota viwili kabisa.

LONDON BOY
Mkuu kuna tukio lolote lakifamilia au wamekuja kutembea tu?
 
Back
Top Bottom