Watoto wa Dada wameanza niita Mjomba wakati walikuwa wakiniita Uncle zamani

chotera

JF-Expert Member
May 19, 2016
6,300
15,018
Wakuu
Hili swali najiuliza watoto wa dada yangu hawa nawapenda sana na zamani nilipokua naishi mjini nilikua nawapeleka beach na mara kadhaa kwenda sehemu kula hata burger sasa ajabu hii

Toka nimerudi kijijini na mambo kwenda ndivo sivyo watoto hawa wa dada wananiita mjomba hivi nataka nimweleze Dada tatizo ni nini?

Binafsi napenda waendelee kuniita uncle mambo ya mjomba sitaki kuyasikia kabisa.
 
Hivi kuna likizo fupi ya shule?
 
Ankoo mana yake anae njeree(hela) mjomba huna hata mia.Mwambie dadako kisa huna njeree ndiyo wameamua kukuita mjombaa kweliii japo kule kwetu matema huwa tunaitwa tu mjombaaa mjombaaa uwe na njeree au ukiwa huna wewe mjombaa tu
 
Wakuu
Hili swali najiuliza watoto wa dada yangu hawa nawapenda sana na zamani nilipokua naishi mjini nilikua nawapeleka beach na mara kadhaa kwenda sehemu kula hata burger sasa ajabu hii
Toka nimerudi kijijini na mambo kwenda ndivo sivyo watoto hawa wa dada wananiita mjomba hivi nataka nimweleze Dada tatizo ni nini?
Binafsi napenda waendelee kuniita uncle mambo ya mjomba sitaki kuyasikia kabisa.
Ukiwa mnene una pesa utaitwa big, ukiwa huna utaitwa bonge.
 
21 Reactions
Reply
Back
Top Bottom