Watoto wa Dada wameanza niita Mjomba wakati walikuwa wakiniita Uncle zamani

Ankoo mana yake anae njeree(hela) mjomba huna hata mia.Mwambie dadako kisa huna njeree ndiyo wameamua kukuita mjombaa kweliii japo kule kwetu matema huwa tunaitwa tu mjombaaa mjombaaa uwe na njeree au ukiwa huna wewe mjombaa tu

Yaani bora nikapumzike ipinda tu maana hii sio kawaida
 
Au wazazi wa watoto wanakuadress wewe kama mjomba mbele za hao watoto likely mjomba Chotera leo anakuja… automatic hao watoto watasahau kukuita uncle.

Ila ni raha kuitwa uncle/ aunt
Me kuna watoto wa bro wananiita aunt.. kamoja kukwambia aunt D me I love you’ kwake ni kawaida sana

Nina fam nyingine naitwa mamdogo 😅😅
Ila mamdogo limekaa kizee sana, same to mjomba
 
Nina fam nyingine naitwa mamdogo
Ila mamdogo limekaa kizee sana, same to mjomba

Huko unapoitwa mamdogo nako kuna balaa sawa na mimi kuitwa mujomba
 
Hawa wanakoelekea naona hata mjomba wataliacha waanze kuniita muyomba hizi ni dharau kabisa
 
Wakuu
Hili swali najiuliza watoto wa dada yangu hawa nawapenda sana na zamani nilipokua naishi mjini nilikua nawapeleka beach na mara kadhaa kwenda sehemu kula hata burger sasa ajabu hii
Toka nimerudi kijijini na mambo kwenda ndivo sivyo watoto hawa wa dada wananiita mjomba hivi nataka nimweleze Dada tatizo ni nini?
Binafsi napenda waendelee kuniita uncle mambo ya mjomba sitaki kuyasikia kabisa.
Una pesa ? Maana anko lazima awe anawaachia ela kidogo, mjomba ni kama umeshuka kiwango kwenda ligi ya mchangani 🐒
 
Utumwa wa akili (mental slavery)ndio unapelekea mswahili kuchukia kuitwa mjomba badala ya 'ankal'.
 
Ankoo mana yake anae njeree(hela) mjomba huna hata mia.Mwambie dadako kisa huna njeree ndiyo wameamua kukuita mjombaa kweliii japo kule kwetu matema huwa tunaitwa tu mjombaaa mjombaaa uwe na njeree au ukiwa huna wewe mjombaa tu
Nyie watu wa matema mjomba mjomba..mwisho unamkula...🤣🤣🤣🤣
 
Wakuu
Hili swali najiuliza watoto wa dada yangu hawa nawapenda sana na zamani nilipokua naishi mjini nilikua nawapeleka beach na mara kadhaa kwenda sehemu kula hata burger sasa ajabu hii
Toka nimerudi kijijini na mambo kwenda ndivo sivyo watoto hawa wa dada wananiita mjomba hivi nataka nimweleze Dada tatizo ni nini?
Binafsi napenda waendelee kuniita uncle mambo ya mjomba sitaki kuyasikia kabisa.
 
Au wazazi wa watoto wanakuadress wewe kama mjomba mbele za hao watoto likely mjomba Chotera leo anakuja… automatic hao watoto watasahau kukuita uncle.

Ila ni raha kuitwa uncle/ aunt
Me kuna watoto wa bro wananiita aunt.. kamoja kukwambia aunt D me I love you’ kwake ni kawaida sana

Nina fam nyingine naitwa mamdogo 😅😅
Ila mamdogo limekaa kizee sana, same to mjomba
Mamdogo tafuta hela uitwe auntie kotekote😂
 
Back
Top Bottom