Watoto wa Dada wameanza niita Mjomba wakati walikuwa wakiniita Uncle zamani

Waswahili wana kamsemo kao eti MJOMBA NI MAMA
Wakuu
Hili swali najiuliza watoto wa dada yangu hawa nawapenda sana na zamani nilipokua naishi mjini nilikua nawapeleka beach na mara kadhaa kwenda sehemu kula hata burger sasa ajabu hii

Toka nimerudi kijijini na mambo kwenda ndivo sivyo watoto hawa wa dada wananiita mjomba hivi nataka nimweleze Dada tatizo ni nini?

Binafsi napenda waendelee kuniita uncle mambo ya mjomba sitaki kuyasikia kabisa.
 
au wakuite ankoli tu kabisa
 
Mjomba ni kaka wa mama hahehohe
Uncle ni kaka wa mama mwenye pesa
 
Wakuu
Hili swali najiuliza watoto wa dada yangu hawa nawapenda sana na zamani nilipokua naishi mjini nilikua nawapeleka beach na mara kadhaa kwenda sehemu kula hata burger sasa ajabu hii

Toka nimerudi kijijini na mambo kwenda ndivo sivyo watoto hawa wa dada wananiita mjomba hivi nataka nimweleze Dada tatizo ni nini?

Binafsi napenda waendelee kuniita uncle mambo ya mjomba sitaki kuyasikia kabisa.
Umekaa sebleni kwa dada ako unasubiri shemeji aje uoshe gari
 
mimi nilikuwa crazy.com baada ya kuingia vijijini naitwa chizi mpaka mwendawazimu
 
Wakuu
Hili swali najiuliza watoto wa dada yangu hawa nawapenda sana na zamani nilipokua naishi mjini nilikua nawapeleka beach na mara kadhaa kwenda sehemu kula hata burger sasa ajabu hii

Toka nimerudi kijijini na mambo kwenda ndivo sivyo watoto hawa wa dada wananiita mjomba hivi nataka nimweleze Dada tatizo ni nini?

Binafsi napenda waendelee kuniita uncle mambo ya mjomba sita

Wakuu
Hili swali najiuliza watoto wa dada yangu hawa nawapenda sana na zamani nilipokua naishi mjini nilikua nawapeleka beach na mara kadhaa kwenda sehemu kula hata burger sasa ajabu hii

Toka nimerudi kijijini na mambo kwenda ndivo sivyo watoto hawa wa dada wananiita mjomba hivi nataka nimweleze Dada tatizo ni nini?

Binafsi napenda waendelee kuniita uncle mambo ya mjomba sitaki kuyasikia kabisa.
Kwani kunatofauti Gani kati ya Mjomba na Uncle? Hapo kwamimi nahisi ni Rugha gongana
 
Tafuta hela ndugu, kwa sasa wanakuita Mjomba na muda si mrefu wataanza kukuita Jombaa
 
Kwani kunatofauti Gani kati ya Mjomba na Uncle? Hapo kwamimi nahisi ni Rugha gongana
Kuna utofauti na mfanano kidogo, Uncle katika lugha ya kiingereza inaweza kutumika kwa

1. Ndugu wa kiume wa baba "baba zako wadogo au baba zako wakubwa"

2. Ndugu wa kiume wa mama "mjomba"

Kwa sisi waswahili tumezoea tukisema Uncle tunakusudia Mjomba ambaye ni ndugu wa kiume wa mama tu, kumbe kwa wenzetu wenye lugha yao yaweza kuwa ni ndugu wa kiume wa mama na wa baba pia
 
Back
Top Bottom