Watoto na Familia za Freeman Mbowe na washtakiwa wenzake Mwenyezi Mungu awatie nguvu sana!

Sasa unapomshauri Mbowe kuacha siasa una maana gani? Humuonei huruma Ruge ila unamhonea huruma Mbowe? Huruma yako ya mashaka.
Sasa tofautisha kufa na kuacha siasa! Mbowe kwa hela alizonazo sioni sababu ya kung’ang’ania siasa zinazomtesa!


Ruge alikuwa convict kweli. He played his cards well!
 
Ila ifikie wakati akae kando! Mbona slaa ameweza kujiengua
Mku Slaa amekaa kando kivipi kwani kumbuka mara ya mwisho alipitishiwa hotelini kwa njia uani.
Kwani inawezeka mtazamo wa mbowe ni tofauti kabisa yaani hakubali kudhalilika kwa hiyo njia ya kupitishiwa uani mwa Hotel.
 
Mkuu Mbowe ni Bilionea. Angekuwa Mtu wa Ku-Give up asingekuwa level hiyo ya kushambuliwa na vyombo vyote vya dola. Ni Mtu wa thamani kubwa.

Sisi maskini tujifunze kwa waliofanikiwa badala ya kutaka wawe kama sisi. Did you learn anything kutoka kwa Mzee Rugemalila ambaye ni Multibilionea na Mzee wa over 60+yrs kaka jela 4yrs.
Kwa idea yako Mzee Ruge angehonga ili aachiwe. Kijana unalala mahabusu siku moja unalialia mwaka mzima. That is not life. Ushauri wako ni wale wale wasiompenda Mbowe kwa hisia zao wanazoIjua
Mku Mimi mwanaccm ambaye ninainngia ktk vikao vyote kata yangu.
Hongera kwa hoja kwani majibu wazi Mbowe ni Mwanasiasa mahiri kwani wote waliotoka chadema na kuja kwetu ni viongozi wakubwa na hawa wote wamepitia katika mikono ya mwenyekiti wao Mbowe.
Kwa kizazi hiki Mbowe ni kiongozi tofauti sana.
Ila Mwenyenzi Mungu atamsimamia kwa yote anayoyapitia.
Aminaa
 
Slaa hakuwa na cha kupoteza. Chadema imejengwa na Mbowe. Ni Legacy yake.
Kwanza huyo Dr. Slaa ni nani kwa sasa na alisajiliwa na nani kujiunga Chadema.

Mbowe apewe heshima yake ya kumjenga Dr. Slaa mpaka ss ccm tukamwona kwani akiwa chadema tullimmwita sana Kibabu leo hii Slaa sio kibabu tena
 
Sasa tofautisha kufa na kuacha siasa! Mbowe kwa hela alizonazo sioni sababu ya kung’ang’ania siasa zinazomtesa!


Ruge alikuwa convict kweli. He played his cards well!
Siasa ndo maisha yake kwani Itikadi inaishi Rohoni sio kwenye mikono.
Anaishi yale anayoyaamini Mku
 
Back
Top Bottom