Watoto na Familia za Freeman Mbowe na washtakiwa wenzake Mwenyezi Mungu awatie nguvu sana!

Usiwahusishe watoto wema na ugaidi. Hata hao watoto wanachukia ugaidi.
 
Kila siku huwa nianatafakari hali mnayoipitia. Hakika Mwenyezi Mungu awalinde, awaongoze na awatie nguvu sana ili msije jaa roho mbaya na zisizo na hofu ya Mungu kama za watesi wenu! Yote hii kwa sababu tu ya madaraka! Khaaaa!
Mungu ni mwema atasimama nao kwa kila jambo.
Amina
 
Huyo Mbowe siasa si aache tu kwani lazima kuwa mwanasiasa na mtaji tayari anao? Si alime hata maparachichi tu
Mku kila mtu ana wito wake hapa duniani.
Kama anafanya mazuri ktk medani aliyoko kwa nini aiache.
Kwa ujumla Mbowe ni mwanasiasa wa mfano kwa Tanzania ya leo pamoja na uanaccm wangu ukweli utabaki ulivyo
 
Sasa ana tofauti gani na mlevi ambaye pombe haimtaki! Anakunywa analewa na kujikojolea na kulala mitaroni ila ukimshauri aache anakuona bwege tu?
 
Mku sijakuelewa.
Japokuwa kila mmoja ana namna ya kuelewa jambo. Kwani nimemanisha Mbowe ni kiongozi mahiri kwa Tanzania ya leo.
Tukumbuke ametengeza team ya kisiasa ndani chama chake na nchi kwa ujumla. Ni kiongozi wa kuigwa na kila mwanasiasa mwenye malengo ya kwenda mbali kiuongozi
 
Kila siku huwa nianatafakari hali mnayoipitia. Hakika Mwenyezi Mungu awalinde, awaongoze na awatie nguvu sana ili msije jaa roho mbaya na zisizo na hofu ya Mungu kama za watesi wenu! Yote hii kwa sababu tu ya madaraka! Khaaaa!
Amina Bwana wa Majeshi atawashindia
 
Mku sijakuelewa.
Japokuwa kila mmoja ana namna ya kuelewa jambo. Kwani nimemanisha Mbowe ni kiongozi mahiri kwa Tanzania ya leo.
Tukumbuke ametengeza team ya kisiasa ndani chama chake na nchi kwa ujumla. Ni kiongozi wa kuigwa na kila mwanasiasa mwenye malengo ya kwenda mbali kiuongozi
Ila ifikie wakati akae kando! Mbona slaa ameweza kujiengua
 
Mimi sio hater namuonea huruma anavyodhalilishwa! Mbowe ni mtu mzima sana kwa sasa sio kama sisi vijana
Mkuu Mbowe ni Bilionea. Angekuwa Mtu wa Ku-Give up asingekuwa level hiyo ya kushambuliwa na vyombo vyote vya dola. Ni Mtu wa thamani kubwa.

Sisi maskini tujifunze kwa waliofanikiwa badala ya kutaka wawe kama sisi. Did you learn anything kutoka kwa Mzee Rugemalila ambaye ni Multibilionea na Mzee wa over 60+yrs kaka jela 4yrs.
Kwa idea yako Mzee Ruge angehonga ili aachiwe. Kijana unalala mahabusu siku moja unalialia mwaka mzima. That is not life. Ushauri wako ni wale wale wasiompenda Mbowe kwa hisia zao wanazoIjua
 
Mzee Rugemalila aligoma kutoa mzigo hata mie kwa umri wake ningekubali kufia jela!
Uingizwe ndani on your mid 50’s halafu ukubali kufilisiwa ina make sense? How you gonna get that money again?
 
Sasa unapomshauri Mbowe kuacha siasa una maana gani? Humuonei huruma Ruge ila unamhonea huruma Mbowe? Huruma yako ya mashaka.
 
Back
Top Bottom