Watoto 147 wakutwa misikitini Kilimanjaro

Watoto 147 wakutwa misikitini Kilimanjaro

Status
Not open for further replies.
Wakristo mtakuja itia vitani hiyo nchi maana upeo wenu, chuki zenu na ujinga wenu ni wa kupitiliza. Hii habari ni ya kipuuzi sijapata kuona. Kuna haja ya kufanyika uchunguzi wa kina ikiwa huko makanisani na ktk seminari wanafundishwa nini hawa wakristo. Haiwezekani mkawa na chuki na ujinga wa hali ya juu zidi ya uislam. Na hili li Bakwata Mwenyezimungu aliangamize.

hivi kweli, unamchukua mtoto wa miaka 10 toka kigoma, unampeleka msikitini badala ya shuleni halafu unasema na mafunzo ya kawaida?

taarifa za watoto kutekwa na kupotea zimezagaa sana. kuna mzee mwanza huu ni mwaka wa tatu wanae wawili hajui wako wapi.
 
Hiyo idadi 147 ni sawa na waliouawa Kenya na Al Shabab uko Garissa
 
Wakristo mtakuja itia vitani hiyo nchi maana upeo wenu, chuki zenu na ujinga wenu ni wa kupitiliza. Hii habari ni ya kipuuzi sijapata kuona. Kuna haja ya kufanyika uchunguzi wa kina ikiwa huko makanisani na ktk seminari wanafundishwa nini hawa wakristo. Haiwezekani mkawa na chuki na ujinga wa hali ya juu zidi ya uislam. Na hili li Bakwata Mwenyezimungu aliangamize.

Huyo anayeongoza nchi ni muislamu mwenzio, nae anawakandamiza?
 
Wakishahitimu mafunzo ya kujilipua kuwahi bikira ahera, wasisitizwe ili wafaidi hivyo wanavyowahi ni muhimu kulijilipua kwenye kundi la watu wenye itikadi ya kidini kama yao, ili wakafaidi wote. Wasiotaka kuwahi waachwe wasiwahishwe kwenye hizo karamu zao.

imani hiyo ya bikra inapelekea uarabuni wanawake kutunza bikra kwa kugawa tigo sana. waisl hao
 
Mkuu elimu hizo ndio zinatuwezesha kuwazalisha wake zenu, kuwatibu masheikh wenu, kutengeneza karatasi, computer na printer zinazowawezesha kupiga nakala za Quran kwa urahisi na kuokoa muda. Pia ndio zinawezesha kutengeneza vyombo vya usafiri mnavyotumia kwenda na kurudi hijja kila mwaka. Hata redio na Tv mnazotumia kueneza dini yenu na kufundishana zinatoka na hiyo elimu haram. Kifupi ni kwamba bila hizo Elimu mnazoziita za magharibi hakuna kila kitu.

upo juu
 
Pia mbona foleni zao ktk balozi za magharibi au makafiri ni kubwa kuliko huko kwa ndugu zao wastaarabu kwannini? ni unafiki tu gombeaneni visa za kwenda uarabuni kama mnavyogombania kwenda kwa wazungu!

hiyo kali kweli
 
Kumbe ndo maana hata Wasabatho(SDA) wanakula kwata kila mara eti pathfinders kumbe lengo kuanzisha ugaidi!! Hivi ni nani ajuae imani ya kweli? Hii sasa imekuwa Imani maslahi!
 
yatakayo tukuta ni zaidi ya Kenya.
mlundikano wa malalamiko na manung'uniko ya waislam Tangu uhuru mpaka Leo ni zaidi sana ya Kenya.

kenya wanalipa dhulma waliyoifanya kwa muda mchache chini ya miaka 10, ya Tanzania ni ya zaidi ya miaka 50, hayalipiki kirahisi kama unavyo dhani.

Ni suala la mda tu,

dawa ni kuwalisha kitimoto tu hao wanaojidai si makafiri.
 
Ni heri hii sheria mpya ianze mapema mtandao kama huu ufungwe tu maana watu wanachuki na uislamu bila sababu. Eti karate....mbona ninyi mnafundishwa huko seminari jinisi ya kukandamiza haki za madhehebu mengine hatuwaiti magaidi wa haki? Au unafikiri hatujui siri za kanisa?

Utakua malyenge hadi kwenye ubongo!
 
Hii movie makafiri mnaiomba; subirini inakuja na mtaona moto wake.

Hao polisi hawajaweza kuwakamata wanaowapora silaha kwa panga, wataweza kupambana na ugaidi?????


Mnachokitafuta mtakipata tu enyi mliokufuru.

Makafiri mnacheza na moto; mnashindwa kujifunza yanayotokea kenya.

We jamaa capacity yako ya kufikiria iko very low,unafikir magaidi wakija kushambulia hapa waislamu watakuwa hawaathiriki na hayo mashambulizi? kuna watz kaka zao ni wakristo wao waislamu,kuna watoto mama zao n waislamu baba zao wakristo usisahau hilo.
 
Hata kanisa lina kamati ya majeshi au hujui hayo?
Karati ni maziezi ya viungo na ukakamavu wa vijana, wewe uliwahi muona mtu anapigwa karati mjini ? Karati ina discpline zake na hufundishwa kama mchezo na hata olypic ipo sawa na ndoni
Ugaidi hauji mahali hovyo hovyo unakuja na sababu.
Tusifanye uchochezi hautasaidii kama mnatumwa ili kuleta fisadi kamwe waislam wa tanzania sasa hawa hokozeki tena tumshajua njama hivyo kimyaa mnatukuta

Hata kama ni mazoezi ya viungo ndio yafundishwe kwa siri..!?
 

Kwanza ndugu yangu nakupa A, alaikum! Mwalimu unapokuwepo hapa moyo wangu huwa shwari na kupumzika!

Maana elimu unayotoa kwa hawa Galatia 3:1 pale wanapoanza kujamba kupitia mdomoni basi nilazima waelewe kutaka wasitake, na linalobakia kutoka kwa hawa Galatia 3:1 ni kashfa na matusi pale wanapoishiwa hoja.

Ni kibri tu kilichowajaa maana kwa hakika moyoni wanaelewa kile unacho waelimisha ila hili si ajabu maana unaweza ukamchukua ng'ombe hadi kwenye mto lakini kama hataki kunywa Maji basi huwezi kumlazimisha.
 
watu wanaupiga vita uislam kwa hali na mali,,,nadhani itafikia wakati mtu utaogopa ht kujitambulisha km wewe ni muislam,,, na ishafikia tayari,,,,ni hatari sana

Sidhani kama unapigwa vita ila mi nilicho jifunza ni kwamba tunatakiwa kuishi kwa kupendana si muislam ampende mkristo na mkristo ampende muislam. Halafu kama ni mafunzo ya dini si huwa yanatolewa mdrasa kwanini tena wafungiwe miskitini? Kunani huko tena? Ila naogopa chuki yenu waislamu ni kali saaana. Sasa hapo wanafundishwa tangu wadogo. Hebu niambie wakiwa wakubwa je? Tunawaacha watoto wetu kwenye wakati mgumu saaaaana jamani yaani mpaka naumia natamani kama nisingewazaaa watoto wangu. Ila tuombe Mungu ili mafunzo hayo yasiwe mabaya yawe ya dini tu. Ila ELIMU dunia vipi hamuitaki? Ila kumbuka baadae mtaanza kusema viongozi wengi wakristo nyie mnanyimwa vyeo kumbe hamjasoma. Na hapo mtaanza kuona kazi ya wale vijana mlio wafundishia misikitini. Mmmmmmmh ni mtazamo wangu tu. Sorry
 
WATOTO 140 wenye umri kati ya miaka 10 na 21 wamekamatwa wilayani Hai mkoani Kilimanjaro wakilelewa katika misikiti mitatu tofauti. Taarifa zilizopatikana wilayani hapa zinasema watoto hao wamekuwa wakifundishwa mafunzo ya dini ya kiislam kinyume cha sheria.

Kwa mujibu wa taarifa hizo, watoto hao waligundulika baada ya Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Hai kupata taarifa na kuwafuatilia kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi, kati ya Machi 25 na 27 mwaka huu.

Taarifa hizo zimeyataja maeneo waliyokutwa watoto hao kuwa ni Misikiti ya Masjid Bilal, Masjid Othiman na Msikiti wa Kwa Kiriwe.Taarifa hizo zimesema katika Msikiti wa Masjid Bilal uliopo Mtaa wa Kibaoni wilayani hapa, walikutwa watoto wa kiume 70 wanaotoka katika mikoa mbalimbali nchini.

Watoto wengine 50 wa kiume walikutwa katika Msikiti wa Masjid Othiman uliopo Mtaa wa Uzunguni ambao nao inasemekana wamekusanywa kutoka maeneo mbalimbali nchini.

Taarifa hizo zinasema watoto wengine 27 walikutwa katika Msikiti wa Kwa Kiriwe ambako pia walikuwa wakifundishwa mafunzo ya dini ya kiislam na walimu Watanzania. Mkuu wa Wilaya ya Hai, Anthoy Mtaka, alikiri kuwapo watoto hao wilayani kwake.

“Tukio hilo lipo na wanaohusika ni watu wanaotumia mwamvuli wa dini fulani kufanya mambo yasiyofaa katika jamii. “Kwa hiyo naziomba mamlaka husika likiwamo Baraza Kuu la Waisalam Tanzania (BAKWATA) kutambua miskiti na shughuli zinazoendelea katika nyumba hizo za ibada.

“Hili lazima walifanyie kazi kwa sababu hao vijana inasemekana wanafundishwa mazoezi makali ya kareti na judo katika nyumba hizo za ibada,” alisema Mtaka.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Geofrey Kamwela, alisema atazungumzia tukio hilo leo. Kupatikana kwa watoto hao ni mwendelezo wa matukio ya watoto wanaolelewa kinyume cha sheria mkoani Kilimanjaro baada ya matukio mawili ya aina hiyo kuripotiwa hivi karibuni. La kwanza lilihusisha watoto 18 na la pili lilihusisha watoto 11 waliokutwa katika maeneo ya Lyamungo wilayani Hai.

Chanzo: Mtanzania

na hapo Ndiyo mimi Napata taabu na waisilamu wote moderate, wako kimya wanangoja kutukana, au kutukuza, we have a societal problem
 
Magaidi Wote ni waislamu!ingawa waislamu wote sio magaidi! Naamini Wote wana Mbegu Ya Ugaidi Ndani Yao.

Misikiti mingi inatumika kama Ni chanzo cha ku plan Ugaidi.

Ningekuwa mimi ndio Rais ningeivunja Yote kama walivyofanya Angola.

Kwanini hadi uwe RAIS!!!?? Ivunje sasa ili upate kuungwa mkono na Galatia 3:1 labda wanaweza kukupendekeza wewe kuwa rais
 
Kwa nn ugaidi uhusishwe na dini ya kislam..hata mauaji ya albino ni ugaidi je wanaofanya hayo ni waislam?
Acheni upimbi tumieni akili
 
Aiseee kila mtu inabidi awe mpelelezi.Serikili isipo jitahidi kuimarisha intelejensia, na hivi tulivyokua waoga, mbona tutaishamo kwa kuuliwa.
 
Ndugu yangu Quran imemaliza kila kitu na kuwatanabahisha waislamu juu ya wakristo na wayahudi.

Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu. (Al-Baqara 2:120, Swahili - Ali Muhsin Al-Barwani)


Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu. (Al-Maeda 5:51, Swahili - Ali Muhsin Al-Barwani)
Ndugu yangu napata shaka na kitabu chako au Mungu wako anaesema Wayahudi na Wakristo ni ndugu wao kwa wao. Inamaana huyu Mungu wako hajui kama hakuna urafiki kati ya UYAHUDI na UKRISTO? Update kitabu chako yakhe
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom