Mkuu umekaririshwa na huelewi!!! Soma hapa uwafahamu vema muslim scholars Medicine in the medieval Islamic world - Wikipedia, the free encyclopedia .. Uislam unahimiza umuhimu wa elimu zote mbili...elimu Akhera kwaajili ya kumjua Mola wako na Elimu Dunia kwaajili ya kumiliki vema amali zako za duniani... Waislam wamelazimishwa kusoma!!!
Notion kuwa waislam hawajasoma eti wanasoma madrasa pekee ni upuuzi na propaganda za wenye kuwadhulumu kwa maslahi yao!!!! Elimu ya Magharibi inajulikana lengo lake ilikuwa si kuwaandaa wasomi wajitambue na kujitawala bali ilikuwa na lengo la kuwaandaa kuwatumikia Wazungu!!!! No wonder Maprof wanakuwa MAFISADI Wazungu Worshippers...
Dhulma dhidi ya Jamii ya Kiislam ni dhulama dhidi ya Jamii ya watanzania kwakuwa sisi ni wamoja na tumeoleana, tumezaliana waislam na wakristo!!! Isitokee Jamii moja wakajiona wako sahihi muda wote kwa kujaribu kulazimisha Tension ambayo kimsingi haipo... Nauliza Tena WAZAZI wa hao watoto wako wapi? Wamelalamika? au wakiwa kwa masisters poa lakini wakiwa kwa ndugu zao inakuwa Nongwa? ...
Pia mbona foleni zao ktk balozi za magharibi au makafiri ni kubwa kuliko huko kwa ndugu zao wastaarabu kwannini? ni unafiki tu gombeaneni visa za kwenda uarabuni kama mnavyogombania kwenda kwa wazungu!