WATCH: Oil explorations & projects in Tanzania

Are we going to prevent oil curse? Sijui. We have to strengthen accountability mechanisms hasa Bunge.

Uko sahihii zitto

Kuna balozi wa Norway Miaka ya nyuma kwenye interview ya gazeti moja alioneana kuwa wasi wasi kuwa ukugundiuzi na exploration za madini na mafuta unaoendea kama usipoenda sambamba na utawala bora na sheria na uwajibikaji basi Tanzania itakuwa kwenye vita...........

Na kweli Bunge inabidi lijipange maana hata integrity ya bunge inaidi kutiliwa shaka. kashfa ya Jairo iliyoibuliwa na shelukindo inaonyesha bunge na wabunge pia linahitaji kujitazama na kujisafisha. Kinachochangia wananchi kuwa na imani kidogo na bunge ni uwepo wa wa pinzani.

Lakini kusema hivyo bado kuna tatizo kama bunge lina tatizo mana aake hawa wabunge wauziri wa upinzani wanakuwa compromised na mfumo na uendeshaji wa bunge

Our total natural gas potential is around 150tr cf.

Ophir alone in blocks 1,3,4 and 5 has a potential of up to 70tr cf. Offshore is mostly gas and Lake Tanganyika North and South is potentially Oil.

Dominion use the information to bring up their share prices as this information isn't new, I once tweeted their ECR report. They haven't done much since 2010.

We will have Oil from Lake Tanganyika and Malagarasi basin in the near future, may be in ten years.

Natural gas we will have an LNG plant within three years by BG in Mtwara. Year one production will be 40% of current GDP. Plus Mchuchuma-Liganga project, by 2015 Tanzania will be the largest economy in EAC.

Are we going to prevent oil curse? Sijui. We have to strengthen accountability mechanisms hasa Bunge.

Zitto, potential is not proven. Shell has been sitting on their blocks for many years before even these Canadian and Australian companies started popping their noses offshore East Africa. Yes, it looks like offshore Tanzania is gas prone (taking into account the finds in Mozambique). Small companies are involved offshore Tanzania, but they dont have the clout to develop the fields (ndio Maana BG wamefarm in, ingawa wao hawawafikii supermajors). Once they strike something, they then pull bigger players to help them (case in point Tullow Oil in Uganda, letting the Chinese and Total farm in). Offcourse BG wanaweza kuendeleza wenyewe.
The fact that Total has been given blocks in Lake Tanganyika, makes me believe that the propspects are better there for oil, and makes sense that Dominion wame-leak info kama unavyosema (kwasababu in Oil and Gas terms, Dominion ni nobodies). Cha muhimu, nyie kuweni makini, historia ya mienendo ya Total ni chafu. Hawana open skendo kama Shell walivyochemsha Nigeria, ila hawa wanajua kucheza na politics za kiaafrika. Mnaweza kuwa mnapigana vita, wenyewe business as usual pande zote.
Zaidi ya hapo, tuwe makini na mipango yetu kujiendeleza katika hii sekta. Sasa hivi Nigeria wanasumbuana na makampuni ya kimataifa na ishu inaitwa "local content" (you can google about it). WaGhana wamejaribu kujifunza kutoka kwa Nigeria for months before first oil came out, lakini wanafanya vituko.
BP, Chevron, XOM, Shell, Total labda Statoil na ConoccoPhilips...........hawa wakianza kuingia, ujue Tanzania pameiva!

Our total natural gas potential is around 150tr cf.

We will have Oil from Lake Tanganyika and Malagarasi basin in the near future, may be in ten years.

Natural gas we will have an LNG plant within three years by BG in Mtwara. Year one production will be 40% of current GDP. Plus Mchuchuma-Liganga project, by 2015 Tanzania will be the largest economy in EAC.

Thank you Zitto for the inside information. However, for obvious reasons some posters here interpret the term 'potential' differently.

BTW: Is a Chinese company (Hongda) still a partner in the Mchuchuma project?

Tunawategemea ninyi huko mjengoni kuweka mambo sawa.

Mkubwa, usipotoshe watu; Nigeria ina karibia 200 trillion cf. Qatar over 900 trillion cf! Tanzania ni moja ya nchi zilizo mkiani!! Kuna nchi zaidi ya hamsini zinaifunika Tanzania. Tanzania so far kiwango chao ni chini ya hata 0.01% of proven world reserves, wakati Qatar wana 25% hivi.

Mkubwa tizama statistics hizi zimekuwa compiled by CIA halafu utaza mwenyewe nani mwongo. Mie nazungumza kitu nikiwa na uhakika mkuu.

Rank
country
(cu m)​
Date of Information
1Russia
47,570,000,000,000​
1 January 2010 est.​
2Iran
29,610,000,000,000​
1 January 2010 est.​
3Qatar
25,470,000,000,000
1 January 2010 est.​
4Turkmenistan
7,504,000,000,000​
1 January 2010 est.​
5Saudi Arabia
7,461,000,000,000​
1 January 2010 est.​
6United States
6,928,000,000,000​
1 January 2010 est.​
7United Arab Emirates
6,071,000,000,000​
1 January 2010 est.​
8Nigeria
5,246,000,000,000
1 January 2010 est.​
9Venezuela
4,983,000,000,000​
1 January 2010 est.​
10Algeria
4,502,000,000,000​
1 January 2010 est.​
11Iraq
3,170,000,000,000​
1 January 2010 est.​
12Australia
3,115,000,000,000​
1 January 2010 est.​

Source: CIA

Qatar reserves za natural gas ni 25 trillion nchi inayoongoza duniani ni Russia. Nigeria wana Trillion 5. Tanzania kama Zitto alivyosema na pia nafahamu hivyo tuna almost 200 Trillion reserves of natural gas. Qatar ni matajiri sio kwasababu ya mafuta bali gas wanayouza nchi za ulaya na mashariki ya kati. Tanzania tukitumia rasilimali zetu vizuri tutakuwa nyuma ya Nigeria na South Africa kwa utajiri wa kiuchumi god bless Tanzania.

Our total natural gas potential is around 150tr cf.

Ophir alone in blocks 1,3,4 and 5 has a potential of up to 70tr cf. Offshore is mostly gas and Lake Tanganyika North and South is potentially Oil.

Dominion use the information to bring up their share prices as this information isn't new, I once tweeted their ECR report. They haven't done much since 2010.

We will have Oil from Lake Tanganyika and Malagarasi basin in the near future, may be in ten years.

Natural gas we will have an LNG plant within three years by BG in Mtwara. Year one production will be 40% of current GDP. Plus Mchuchuma-Liganga project, by 2015 Tanzania will be the largest economy in EAC.

Are we going to prevent oil curse? Sijui. We have to strengthen accountability mechanisms hasa Bunge.

Mkuu,

You are absolutely right na ndio maana nikasema Oil ni blessing or a curse. Kwa uzoefu wangu katika commodity market na biashara ya mafuta nchi nyingi za Africa zinamess up once yakishagundulika mafuta kwasababu zifuatazo:-
a. Kukosekana kwa accountability serikalini kunakopelekea kuwepo empire serikalini inayojiona haina haja ya kuwajibika kwa wananchi.

b. Ufisadi unaofanywa na viongozi serikalini na watu wao wa karibu inayopelekea kujenga chuki katika jamii hasa kule yanakopatikana mafuta kwani wao ndio waathirika wakuu wa uchimbaji wa mafuta haya (mfano Rais Omar Bongo na familia yake against wanagabon (inasemekana alikutwa katika account yake moja at Citibank alikuwa na karibia US$130 million from just one bank account)).

c. Kukosekana kwa policy imara inayoweza kusimamia upatikanaji na usimamiaji wa mafuta ili watanzania wafaidike hasa mafuta yanakopatikana (kuepuka mgogoro kama Niger Delta).

Bila ya hayo sijui but nachelea kusema kuna hatari tukaelekea huko if we are not careful. Ninachoomba tuwe kama Waarabu wa Middle East ambao hawako kamilifu ila wamefanya maendeleo kiasi kwamba wananchi wanalalamika kwa mambo madogo na sio makubwa kama kukosekana kabisa kwa huduma basic za mwanadamu.

Nasikia huko Mtwara kuna MIMELI inatia nanga baharini na kunyonya matank kwa matank ya mafuta na kukimbia nayo kwenda ughaibuni kutest!! Wanatest mwaka mzima tena mamilioni ya lita?

Nasikia huko Mtwara kuna MIMELI inatia nanga baharini na kunyonya matank kwa matank ya mafuta na kukimbia nayo kwenda ughaibuni kutest!! Wanatest mwaka mzima tena mamilioni ya lita?

Hii inanikumbusha mchanga wa dhahabu kupelekwa japan eti kuuprocess! Hii nchi viongozi wote ni maharamia.

Mkubwa tizama statistics hizi zimekuwa compiled by CIA halafu utaza mwenyewe nani mwongo. Mie nazungumza kitu nikiwa na uhakika mkuu.

Rank
country
(cu m)​
Date of Information
1Russia
47,570,000,000,000​
1 January 2010 est.​
2Iran
29,610,000,000,000​
1 January 2010 est.​
3Qatar
25,470,000,000,000
1 January 2010 est.​
4Turkmenistan
7,504,000,000,000​
1 January 2010 est.​
5Saudi Arabia
7,461,000,000,000​
1 January 2010 est.​
6United States
6,928,000,000,000​
1 January 2010 est.​
7United Arab Emirates
6,071,000,000,000​
1 January 2010 est.​
8Nigeria
5,246,000,000,000
1 January 2010 est.​
9Venezuela
4,983,000,000,000​
1 January 2010 est.​
10Algeria
4,502,000,000,000​
1 January 2010 est.​
11Iraq
3,170,000,000,000​
1 January 2010 est.​
12Australia
3,115,000,000,000​
1 January 2010 est.​

Source: CIA

Qatar reserves za natural gas ni 25 trillion nchi inayoongoza duniani ni Russia. Nigeria wana Trillion 5. Tanzania kama Zitto alivyosema na pia nafahamu hivyo tuna almost 200 Trillion reserves of natural gas. Qatar ni matajiri sio kwasababu ya mafuta bali gas wanayouza nchi za ulaya na mashariki ya kati. Tanzania tukitumia rasilimali zetu vizuri tutakuwa nyuma ya Nigeria na South Africa kwa utajiri wa kiuchumi god bless Tanzania.

Haya, we kua na uhakika tu. While you are at it, please learn to convert "cubic meters" to "cubic feet" and vice versa!

probable resources + possible resources + speculative resources = potential

Recoverable? Depends, typically can be 20% to 60%. South Pars/North Dome Gas-Condensate field (Iran/Irak) is the world's larget gas field with a recovery of 70%. Recovery depends on type of rock and how the gas field (or oil field for that matter) is protected (in this case Salt Domes, the best protection you can get, case in point Brazil and Iran) and technology. Off the coast of Tanzania, as far as I know, there are no salt domes, and cap-rock is disjointed.

Unaposema potential, usifikirie gas/mafuta yako kwenye kishimo (mfano kama yai), yaani ukichomeka mrija unatoa kila kitu. Mafuta/gesi yanakuwa yako kama kwenye sponji lililojaa maji. Using that analogy, you can never recover 100% of your reserves, let alone "potential"....ni katika kuelemishana tu, sio lazima kila kitu kung'ang'aniza.

Haya, we kua na uhakika tu. While you are at it, please learn to convert "cubic meters" to "cubic feet" and vice versa!... you can never recover 100% of your reserves, let alone "potential"....ni katika kuelemishana tu, sio lazima kila kitu kung'ang'aniza.
Conversion...is that an issue? are you deliberately underestimating people in here? worse still 25 tril cf /= 900 mnl cf!

Nzokanhyilu said:
Mkubwa, usipotoshe watu; Nigeria ina karibia 200 trillion cf. Qatar over 900 trillion cf! Tanzania ni moja ya nchi zilizo mkiani!! Kuna nchi zaidi ya hamsini zinaifunika Tanzania. Tanzania so far kiwango chao ni chini ya hata 0.01% of proven world reserves, wakati Qatar wana 25% hivi.

Where did you obtain Tanzania & Qatar figures?

Mkuu,

You are absolutely right na ndio maana nikasema Oil ni blessing or a curse. Kwa uzoefu wangu katika commodity market na biashara ya mafuta nchi nyingi za Africa zinamess up once yakishagundulika mafuta kwasababu zifuatazo:-
a. Kukosekana kwa accountability serikalini kunakopelekea kuwepo empire serikalini inayojiona haina haja ya kuwajibika kwa wananchi.

b. Ufisadi unaofanywa na viongozi serikalini na watu wao wa karibu inayopelekea kujenga chuki katika jamii hasa kule yanakopatikana mafuta kwani wao ndio waathirika wakuu wa uchimbaji wa mafuta haya (mfano Rais Omar Bongo na familia yake against wanagabon (inasemekana alikutwa katika account yake moja at Citibank alikuwa na karibia US$130 million from just one bank account)).

c. Kukosekana kwa policy imara inayoweza kusimamia upatikanaji na usimamiaji wa mafuta ili watanzania wafaidike hasa mafuta yanakopatikana (kuepuka mgogoro kama Niger Delta).

Bila ya hayo sijui but nachelea kusema kuna hatari tukaelekea huko if we are not careful. Ninachoomba tuwe kama Waarabu wa Middle East ambao hawako kamilifu ila wamefanya maendeleo kiasi kwamba wananchi wanalalamika kwa mambo madogo na sio makubwa kama kukosekana kabisa kwa huduma basic za mwanadamu.

Oil au Gas sio curse. Curse ni binaadam wenyewe.

Kila kilichomo duniani humu ni wewe unaeamuwa vipi kikutumikie. Kuna Watanzania wanakupiga tofali la kichwa, ukisha dondoka kama mzima kama umekufa shauri lako, wao ndio wanakupekua na kukusanya walichokuta hata wakikuta una mia tano tuu mfukoni inakwenda. Na kuna Watanzania wanaokota pochi ya mtu wanaipekua wanakuta ina fedha, tena nyingi tu, na anuani yako, wanakupigia simu kuwa wameokota pochi lako. Hizo ni scenario mbili ambazo zinawapekea watu kuwa wako walio "cursed" na wapo walioongoka na si pochi au mia tano yako.

Chukulia mfano huo kuwa mia tano au pochi ndio "Oil na Gas" na Watanzania ndio haohao. Nani cursed hapo?

Kwa Afrika (Hususan Tanzania), utajiri kama huo tutaweza kuulinda tukiwa na viongozi Madikteta wa kibepari tu, bila hivyo hakuna cha maana tutakachofanya na huo utajiri wote, kwani mpaka sasa utajiri tuliokuwa nao ni mdogo? tumefanya nini? tumejidai oohh udikteta wa ujamaa, haukutusaidia. Halafu oohhh demokrasia, demokrasia za maandamano na kutafuta mchawi? zikiwepo hizo na utajiri, inakuwa kuuwana tu.

Dikteta la uhakika la kibepari, hakuna cha nini wala nini. Martial law kama miaka 30 hivi, kila mtu awe na nidham za kijeshi. Ukiiba Serikalini, kifo, ukipokea rushwa hata ya kuomba soda tu, kifo. ukipewa sijui tenda kwa kuhonga na si kwa vigezo vinavyokubalika, kifo. Hapo ndio tutajuwa kuulinda utajiri na kuugawa inavyostahili, bila hivyo bure tu.

FF nadhani nimeupenda sana mchango wako tatizo ni kwamba siasa zimekuwa nyingi kila mahali na kila mtu ana tamaa zilizopitiliza za kuvuna hata sichopanda wala kufanyia kazi na kwa hali ilivyo sasa sitegemei ccm, Chadema au Cuf kama kitaweza kuleta mabadiliko ya kweli na tukapata speed tunayoitaka na bado kwa demokrasia tuliyonayo ina mushkeli kidogo mwizi anaiba anataka akishikwa ifuatwe demokrasia wakati ameshafaidika yeye na jamaa yake na ameshanunua vitu kibao lakini wale waathirika wanakuwa wahanga wa hiyo demokrasia kwa kifupi ni hivi hizi mali tulizo nazo zinatutosha kama tukiwa na akili safi za kuweza kuzitumia mbali na hapo HATUNA SABABU YA KUTAFUTA MAFUTA NA GESI WAKATI MADINI NA MBUGA NA KILIMO KIMETUSHINDA. Nakupenda FF.

Conversion...is that an issue? are you deliberately underestimating people in here? worse still 25 tril cf /= 900 mnl cf!

Where did you obtain Tanzania & Qatar figures?

Tatizo wewe ni kilaza tu, ili hujajishitukia lol. Are you comparing apple and pears? LOL. Note, nowhere in my posts have I written about any other units other than cubic feet!! Soma tena.
Zitto is talking trillion cubic feet. I am talking trillion cubic feet. The figures given above by Mdondoaji are in cubic meters....if you read his post, he says Qatar has 25 trillion (sijui apples?) and Nigeria 5 trillion (sijui machungwa?) and in the same post he says Tanzania has 200 trillion (probably maperas)...and he says Tanzania is behind Nigeria and South Africa....well, it does not take a brain surgeon to look at his numbers and say, wow...Tanzania has more gas than Qatar plus Nigeria if he is comparing the same apple units...so why is Tanzania behind those countries!

Now, since you are in the know, if Qatar has proven reserves of about 900 Trillion Cubic Feet, and Tanzania has 7 to 12 trillion cubic feet of proven reserves, and if you know what percentage Qatar's has in relation to world reserves, then I think you can calculate backwards to get the 0.01% of Tanzanian proven reserves.

And I repeat, differentiate between proven and potential!!
If you cant figure this out, then sorry, I really cant discuss with you. Go and look at your sources of data. If you still keep on arguing, I will embarrass you with numbers. And since maths and signing contracts is a country curse, I somehow understand why you would struggle to convert apples and pears, I mean cubic metres to cubic feet and vice versa.

You know what, let me just help you!! LOL...bwahahahaaa

To help you;
i) Copy the number for Qatar 25,470,000,000,000 (remove the commas)
ii) paste it into the cubic meter section
iii) look at the right hand column
iv) copy that number and paste it here, share with us. It should be about 900 trillion cubic feet. If it is not exactly that, then I would have to explain to you why...it has to do with temperature and pressure and standard conditions converting (I dont wanna confuse you)

Repeat the same exercise for Nigeria, and report the value in cubic feet. Once you have done this exercise, please slap yourself for wasting my time.

Ooh, and just to estimate Qatar's % in relation to world reserves, take those numbers given by Mdondoaji (take the first 2 or 3 figures i.e for Russia 47.6, Nigeria 5.2), add all of those numbers..then take Qatar's number 25.5 and divide by the sum of the list of 12 countries given above. You should get about 16%, but then you are smart enough to know that is a rough estimate....if other countries (with smaller resources) are added then you can see how Qatar would have 25% I quoted. If you dont believe me google, maana naona nazidi kukuchanganya.

I just lost 30 minutes trying to explain to you something you should have picked up when I said "learn to convert...." before attacking me.

namuombea msamaha ila kwa mujibu wa maelezo yako ni dhahiri Qatar bado wana reserve kubwa ya gas ukilinganisha na yetu (kwani wao wana 889 Trillion CF) wakati sisi until proven ni around 150 - 200 Trillion cf. Nafahamu fika this is a probability na kuna chances zisiwepo pia lakini halimaanishi kuwa tusiweke mazingira thabiti ya kushughulikia rasilimali hii. Nilishangaa nilipohudhuria mkutano mmoja nchini waziri wetu alipoulizwa kuhusu policy ya mafuta akakosa jibu la maana kudhihirisha suala la mafuta halijaandaliwa policy imara ya kulishughulikia. Labda nikuulize tuachane na hizi geological survey zenye kusema Tanzania ina hizo blocks za natural gas au mafuta, kuna tetesi kuna vile vile reserve kubwa ya gas na mafuta katika bonde la ufa la East Africa je unasemaje kuhusu hilo? Nauliza tu nipate kujua.

Mkuu, you guys need to slow your roll. We ukiambiwa Nigeria wana proven 187 trillion cubic feet of reserves, na unavyoshupalia "potential" ya Tanzania ya 200 trillion cubic feet, je ukiambiwa...."potential" ya unproven gas reserves (only) ya Nigeria ni 600 trillion cubic feet, utajisikiaje na hiyo ya Tanzania?
Nakubaliana na pointi muhimu unayosema ya kuwa na mazingira yanayofaa. Ndio maana nikasema hapo juu, kina Zitto wawe makini na vitu kama "local content", pia hiyo link nimeweka hapo wamegusia kidogo ishu ya "Petroleum Industry Bill". Ishu hizi zinasumbua makampuni ya nje, kwasababu waNigeria wanataka kuwawezesha watu wao (wameshituka a bit late, but not too late). Tatizo hawajajitayarisha, kuna mivutano mingi inaendelea kuhusu oil and gas industry huko Nigeria. Ndio maana nikasema, waGhana wamekuwa na muda wa kujifunza kutoka kwa WaNigeria, lakini wameshaanza kufanya vituko. Mkuu, I know about these issues maana mimi nadeal na hawa watu kila siku. Nchi inayojitahidi ku-regulate vizuri, ni Angola. National oil company yao, wana sheria nzuri ya kuwezesha nchi. Sasa ishu zingine siwezi kudiscuss, ila kuna watu wachache wanawapiga bao WaAngola!!
Kuhusu bonde la East Africa, logic ni kwamba mikondo inafuatana. Kama kuna mafuta Uganda,basi Tanganyika chance kubwa yawepo (na ndio maana Total wameingia pale). Na lazima Total wameamua kungia, kutokana na walivyojifunza na kusoma data walizopata kwa ubia wao na Tullow huko Uganda. We jiulize, mpaka sasa hivi, kampuni gani kubwa limejishughulisha offshore Tanzania? Zaidi ya BG? Pia, bonde limeifanya hadi Zambia itoe blocks mwaka huu. Upo hapo? Congo na Uganda wanbeef ya kichinichini.....maana Congo, kama kawaida yao, walivyo na madini, basi imani ni kwamba, mafuta watafunika pia (sehemu inayopakana na Uganda).
Kitu kingine, kampuni inapoleak information, ni kwaajili ya kuvuta interest na investors. We jiulize, kwanini mpaka sasa hivi Tullow wanasua sua kutoa plan ya jinsi gani na miaka mingapi watayachimba hayo mafuta Uganda?

Nigeria is a good example of utajiri wa mafuta ambao umeishia mikononi mwa watu wachache na wengineo wakiachwa wanatanga tanga. Binafsi sina ufahamu wa geological survey ila jinsi ya biashara inavyofanyika katika masoko ya uuzwaji haya mafuta naijua nje ndani ndani nje kwani nadeal na masoko haya kila siku. Nasisitiza bila ya policy nzuri hata tukiwa na reserve ya Trillion 1000 cm bado hatutafaidika na kitu kama hatukuwa tumejiandaa vizuri. Umezungumzia Angola nitaitafuta dosier yao niisome vizuri ila mfano nchi za uarabuni policy yao ya mafuta iko kwa misingi ya kujenga nchi. Ndio maana wanachokipata husaidia kujenga nchi. Mfano Qatar gesi inayochimbwa huuzwa Europe na pesa inayopatikana hutumika kujenga nchi. Ijapokuwa kuna tatizo la ubaguzi baina ya Sunni na Shia ila pesa zinazopatika katika mafuta na gesi zinatumika kuleta maendeleo.

Africa sijui mungu tumemkosea nini but nitaitafuta bill ya Angola niisome I hope itanipa matumaini. Tanzania nao pia wanatakiwa kuwa policy yenye tija ya kujenga Taifa na usimamizi mzuri. Obviously kuna wajanja watakuwa wanapiga bao sehemu lakini kuwepo na mechanism of monitoring and auditing by the Parliamentary committees. Hilo litasaidia wananchi to hold into account mps on our national treasure.

Kuhusu mafuta bonde la ufa nakubaliana na wewe kwani mfano ulioutoa wa Total mtu aliyenipa tetesi pia alinambia sijiulizi kwanini Total waliomba license kutafuta mafuta kwenye bonde la ufa (Ziwa Tanganyika) badala ya kwenda baharini (offshore blocks za baharini). Mungu ibariki nchi hii na watu wake.

Tatizo wewe ni kilaza tu, ili hujajishitukia lol. Are you comparing apple and pears? LOL. Note, nowhere in my posts have I written about any other units other than cubic feet!! Soma tena.
Zitto is talking trillion cubic feet. I am talking trillion cubic feet. The figures given above by Mdondoaji are in cubic meters....
I just lost 30 minutes trying to explain to you something you should have picked up when I said "learn to convert...." before attacking me.

The question was plain n simple 'Conversion...is that an issue?...' I thought you were smart.
Learn how to behave yourself especially when you know that you don't know what you think you know....
Btw, no one will attack you if you come clean with your conventional wisdom!

Battle for $1bn deal
BY FLORIAN KAIJAGE
18th September 2011

Why Minister Ngeleja ditched Songas
Alarmed by the recent cartel by fuel dealers and a monopoly in gas business, the government has finally decided to construct the $1.01 billion gas pipeline from Mtwara to Dar es Salaam, causing panic in the boardrooms of Pan African Energy and Songas companies.
The lucrative deal that involves the construction of processing plants at a cost of $300 million at Mnazi Bay, will be financed by a loan from the Chinese government, The Guardian on Sunday has learnt.
Completion of the project is expected to lower the gas delivery price by up to 200 percent as it would enable more suppliers including Ndovu Resources to compete with Songas, which is currently dominating the market.

The proposed gas pipeline has the capacity to supply gas that is enough to produce up to 2,000 megawatts of electricity including the 300 megawatts plant at Manzi Bay, according to details gathered by The Guardian on Sunday.

The move would reduce the cost of producing thermo electricity from the current $0.34 cents to $0.12 cents per megawatts according to cost analysts from power generating companies.

However as two cabinet ministers, Finance Minister Mustafa Mkullo and Energy and Minerals minister William Ngeleja prepare to sign the loan agreement in Beijing next week, Songas and Pan African Energy have been struggling with lobbying in Dar es Salaam to block the project.

Currently the key players in the gas business are Songas, a subsidiary company of UK's Globeleq (exploration and infrastructure development) and Pan African Energy, a subsidiary firm of a British Virgin Island based company, Orca Exploration, which operated all Songas-owned gas infrastructure on agreed business terms.

In partnership with the government, it controls business on the gas distribution network to industries, commercial institutions and for domestic use.

The duo have dominated the lucrative gas business in the country, enjoying monopoly for years, since the existing pipeline became operational in July 2004.

The pipeline, built by a Sh440 billion ($265 million) loan obtained by the government from the World Bank, was in substance loaned to Songas under specific terms.

With the government deciding to ditch the duo after it was irked by the dilly-dallying by Songas and Pan African Energy, the two key players are lobbying to regain the lucrative deal but their efforts have hit a snag after the government decided to go ahead with its Chinese financing option.

The proposed gas pipeline would constitute a 24-30-inches pipe compared to the 12-16-inch existing one, with intent to increase the quantity of gas transported, which eventually would contribute to easing the power crisis, costly to the national economy.

According to the details gathered by The Guardian on Sunday, project implementation would be effected under the Chinese assistance in terms of financing and technical aspects after the government agreed in principle with the Chinese authorities to acquire a substantial amount of money on a soft loan basis.

Contacted for clarification this week, minister Ngeleja said, "This is a must project for the future of this country…we have secured financing from the Chinese and the agreement will be signed next week."

"Some people have been misleading the public by saying the Chinese own this project, but the truth is that it's government owned…The Chinese are financiers and the project will boost gas supply as well as reducing or ending the power supply problem in the country," the minister told The Guardian on Sunday this week.

Defending the government decision, the Minister added, "Neither do we intend to operate nor control gas business...what we are doing as building the modern and capable infrastructure to enable both players including Songas to transport more gas to Dar es Salaam ."

"So far we are forced to depend on expensive fuel based electricity because the existing infrastructure can't allow the pumping of more gas as required by independent power producers" Said the Minister.

The Guardian on Sunday has established that a team of Tanzanian government officials involving key technical financial and legal experts flew to China last Wednesday to finalise the project document, before the deal is sealed next week.
Mr Mkulo flew to Beijing last Monday while Mr Ngeleja was expected to join the joint ministerial delegation mid next week.
‘This visit follows the one by Chinese teams in the country in two phases towards the end of July and twice last month, the first of which involved engineers for the processing plant.

The second team of experts was made of pipeline engineers and the third comprised of experts on material procurement and market surveys, Energy ministry sources indicated.

The Guardian on Sunday has further been informed that the project which would be implemented by Chinese National Petroleum Corporation (CNPC) through its subsidiary, the China Petroleum and Technology Development Company (CPTDC), in partnership with the Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC) would cost $1.058 billion (Sh1.6 trillion) to be acquired as a loan and repaid in 10 years at a reasonable rate of less than 5 percent interest liability per annum.

The source unveiled further that the project would be implemented under arrangement known as Engineering design, Procurement and Construction (EPC) where all key components of the project are handled by a single company. The project's operational date is set for December 2012.

Pan African Energy and Songas have been irked by the government's move to construct the billion dollar project, which is bigger than theirs, seeing it as a threat to their lucrative business as it would enable competitors to invest in gas the business.

Previously potential investors in gas business failed to invest because they couldn't use the existing pipeline dominated and controlled by Songas.

Now with the Sh1.6 trillion pipeline to be built from Mnazi Bay, Mtwara to Dar es Salaam, also expected to be connected to the Songosongo fields at Somanga Fungu, the sector is set to attract more investors.

The Guardian on Sunday understands that top officials from the two companies (Songas and Pan African Energy) have been consistently working against the government's project, illustrating how far their business worries have risen.

It is reported that mid last week a top executive from the gas companies met President Jakaya Kikwete at the State House in Dar es Salaam to express their displeasure with the government's new gas pipeline project but the President referred them to the minister.

Minister Ngeleja confirmed to this paper this week about the meeting with officials from Songas and Pan African Energy, where he told them that there was no way the government would halt its project.

‘It is a fact. I met them and said expressly no one can stop us (government) from implementing the project under the Chinese technical and financial assistance, whose initial cost is $778 million. We queried them (Songas) over their source of finance, they said they could borrow from world financial institutions such as the World Bank, an answer which was not possible for the government to rely on,' the minister intoned.

The Guardian on Sunday is aware that whereas Songas and Pan African Energy could transport a maximum of 172 million cubic feet of gas a day by expanding its processing plant at Songosongo, the project under the Chinese technical and financial assistance could process and transmit 420 million cubic feet of gas every day.

According to an engineer at TPDC, 420 million cubic feet could generate more than 2,000 megawatts of power, but since a small portion of the said amount of gas was projected for increased industrial and domestic use.

About 1,700 megawatts of power are projected to be generated through different power projects including private firms and the Tanzania Electric Supply Company (TANESCO).

National power requirements during high demand hours stand at 833 megawatts as per statistics provided by Tanesco in March 2011.

Currently the power produced from gas stands at 328 megawatts, from the 102 million cubic feet transported a day under Songas infrastructure. This remains a major reason for several power generating plants to use costly diesel, Heavy Fuel Oil (HFO) and Jet A1 oil.

Natural gas is by far cheaper compared to imported fuel, whose prices keep fluctuating.
Reliable sources close to Pan African Energy and Songas told this paper that although the companies were different entities, they operated cooperatively in virtually all aspects on gas business and remain dependent on one another.
‘Songas owns the gas infrastructure including the processing plant and the pipeline but all infrastructures are operated by Pan African on behalf of Songas.

This implies that any adverse effect on either of the company's operations would definitely extend to the other as they are inter-dependent, thus they view their business as affected by the major Chinese-TPDC pipeline project,' the sources noted.
The well placed sources added: ‘Take a case of Pan Africa Energy which under the existing agreement with TPDC enjoys a monopoly of gas business by selling it to production industries, commercial and other government institutions at a rate $8 per Giga Joule (GJ). Thus it is worried if potential competitors push down prices by increasing the supply,' noting further that there is a foreseeable possibility of prices to go down to $3 for the same unit.

About 35 major industries in Dar es Salaam including the cement factory, Portland (Twiga Cement), food processing industries belonged to S.S Bakhresa group and Murza Mills are among those which frequently use gas powered machinery.

And the companies' efforts which seem to be going nowhere emerged three months after Songas obtained government approval to expand its gas processing plant at Songosongo.

The expansion proposal, which was approved last May was twice rejected by the Energy and Water Utilities Regulatory Authority (EWURA) in 2008 and 2009 as the regulator was convinced that the project costs were not realistic and could have negative effects on the power produced and eventually sold to Tanesco.

While the Songas proposal indicated that the project would cost about $68 million Ewura argued the total genuine cost would not exceed $45 million.

Pan African Energy's country general manager Andrew Brown said during an interview that he could not comment on the expansion project as the equipment belonged to Songas. He said that in the gas business there was plenty of misrepresentation, but he did not clarify.

‘Our key objective is to ensure the production of natural gas goes high as much as possible so as to enhance increased power generation. We expect the amount of gas produced and transported to increase up to 200 million cubic feet a day by the end of 2012,' the manager projected.

Songas managing director Christopher Ford said: ‘We are not worried at all. We are concentrating on our expansion project, of which we have already floated the tender and now we are arranging the financial aspect under EPC (Engineering design, Procurement and Construction),' adding in a timely manner that ‘we have strong government support.'
‘The government project will be additional, resulting in increased gas production and not a threat to our project and business,' he emphasised.

Quizzed over alleged Songas' request to be commissioned the work to construct the new gas pipeline, Ford said: ‘At no point have we ever requested for that construction work. We entirely focus on our project, but what we have repeatedly told the government is that we are ready to develop gas infrastructure for tapping gas resources wherever they are found.'

The new development comes at a time when the Parliamentary select sub-committee for Energy and Minerals last week begun to probe the dealings of Pan African Energy, which among other shortfalls has denied TPDC a chunk of money amounting to $28 million, according to Parliamentary committee chairman January Makamba (Bumbuli-CCM).

The said money, which was supposed to be paid to TPDC resulted from profit/production sharing agreement between TPDC and Pan African Energy, penned in November 2004 in regard to the distribution of gases for manufacturing industries and domestic use and thus was accumulated for five years between 2004 and 2009.

The investors are further accused of deceitful practices by dubiously including all expenses accrued from the project at downstream level, in Dar es Salaam, and deducting the money at profit sharing with TPDC.

The sub-committee, formed of legislators Charles Mwijage (Muleba North-CCM), Diana Kilolo (Special Seats-CCM), Selemani Zedi (Bukene-CCM), David Silinde (Mbozi West-Chadema) Yusuph Nassir (Korogwe Urban-CCM) and Christopher ole Sendeka (Simanjiro-CCM) is tasked with scrutinising documents of Pan African dealings to establish due diligence.

On August 13 minister Ngeleja announced in Parliament that the government had decided to inject a 1.3 trillion shillings package to arrest the power crisis up to December 2012.

However, about 523 billion shillings was budgeted for the same purpose for the period between August and December 2011.

The country has suffered continuous load shedding for nine consecutive months since late last year.

Source:
:: IPPMEDIA

Petrobras teams with Shell in oil and gas exploration in Tanzania

Wednesday, 19 October 2011 21:15
By The Citizen Reporter and Agencies

Dar es Salaam. Petrobras recently entered into a Farm-Out Agreement with Shell Deepwater Tanzania BV in which the later has acquired granted 50 per cent of its interest in offshore Blocks 5 and 6 in Tanzania.Shell Deepwater Tanzania BV is an affiliate of Royal Dutch Shell. However, the financial terms of the deal were not disclosed. Located in the Indian Ocean, the depths of the wells range from 600 to 3,000 meters.

According to reports, the Brazilian state-controlled company’s local unit, Petrobras Tanzania, which held 100 per cent interest in each of the blocks prior to the transaction, will continue to act as the operator of the field. The Tanzanian Petroleum Development Corporation, the state controlled oil company is the concessionaire of both the blocks. Petrobras ventured into the Tanzania oil sector with the signing of the agreement
gas explotion.jpg

for Block 5 with TPDC in 2004.

Two years later, Petrobras inked the deal for Block 6.Currently, the Zeta-1 well is being drilled in Block 5, which is expected to be completed by the end of the year, while 3D seismics interpretation work is currently being carried out for Block 6.

Headquartered in Rio de Janeiro, Petrobras primarily engages in exploration, exploitation and production of oil from reservoir wells, shale and other rocks, in refining, processing, trade and transport of oil and oil products, natural gas and other fluid hydrocarbons as well as in other energy-related activities.

According to analysts Petrobras has a very positive medium- to long-term outlook based on its encouraging portfolio of investments. The company has been able to successfully leverage its Brazilian deepwater expertise into exploring upstream opportunities overseas.However, Petrobras’ huge investment requirements, operational risks typical to an exploration and production company and tough competition from peers keep our optimism clouded.Unpredictable energy prices and government regulations also add to the negative sentiment.

Source:
www.thecitizen.co.tz

Back
Top Bottom