Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,437
......
Are we going to prevent oil curse? Sijui. We have to strengthen accountability mechanisms hasa Bunge.
Uko sahihii zitto
Kuna balozi wa Norway Miaka ya nyuma kwenye interview ya gazeti moja alioneana kuwa wasi wasi kuwa ukugundiuzi na exploration za madini na mafuta unaoendea kama usipoenda sambamba na utawala bora na sheria na uwajibikaji basi Tanzania itakuwa kwenye vita...........
Na kweli Bunge inabidi lijipange maana hata integrity ya bunge inaidi kutiliwa shaka. kashfa ya Jairo iliyoibuliwa na shelukindo inaonyesha bunge na wabunge pia linahitaji kujitazama na kujisafisha. Kinachochangia wananchi kuwa na imani kidogo na bunge ni uwepo wa wa pinzani.
Lakini kusema hivyo bado kuna tatizo kama bunge lina tatizo mana aake hawa wabunge wauziri wa upinzani wanakuwa compromised na mfumo na uendeshaji wa bunge