WATCH: Oil explorations & projects in Tanzania

A recently concluded geological assessment in Tanzania's Southern offshore deep oil exploration project has shown prospective resource potentials of over a billion barrels of oil and gas.

An independent assessment of the first prospect of Dominion Petroleum Limited's block 7 in Tanzania shows a resource of
one billion barrels of oil, or seven trillion cubic feet of natural gas.

According to Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC), Block 7 which is in Kilwa District, Lindi Region looks promising.

Kama kuna 7 trillion gas reserves basi Tanzania itakuwa imeizidi Qatar kwa upatikanaji wa gesi na kuifanya Tanzania iwe nchi tajiri duniani (ikiwa viongozi wetu wako makini). Kama ni 1 billion barrell Tanzania itakuwa nyuma ya Nigeria kama mafuta yatapatikana only Block 7, sijajua block zengine mafuta yako kwa kiwango gani, na Ziwa Tanganyika na Nyasa, Vile vile mto Ruvuma na Zanzibar na Pemba.

Angalizo kwa viongozi wetu mafuta is a blessing or curse na tofauti yake na dhahabu na uranium ni kwamba demand for oil is instantly kama hawakuwa makini na wenye tamaa Tanzania itapoteza amani yake kama Libya na Nigeria. Hivyo ni kuomba mungu atupe hekima na uadilifu.
 
Balaaaa linakuja. Mafuta yaishie huko huko Libya hapa mimi siyataki. Kutokana na utajiri wa mafuta ya Libya jana wakubwa walikaa katika mkutano wa Paris 2011 kugawana mafuta ya Libya baada ya kumtoa Kinjeketile wa Libya. (Berlin Conference ya Pili).

Dhahabu, almasi, urani, nickel, chuma, makaa ya mawe, gas, tanzanite, rubi na sasa mafuta haki anani tumekwisha. Najiaandaa kwenda Rwanda.

Kwani hii ni news inajulikana mafuta yapo tanzania mda mrefu sana ni politikings tu ndio zinafanya kazi na huyu Fisadi papa ndio wanamtumia.
 
Hapa utasikia Mengi, Mnakumbuka ile ya Zanzibar jamaa wakaanza kusema yaondolewe kwenye Muungano.
 
Wanatuletea siasa za kiscience apa mara 2d mara 3d usikute washaanza kuchimba ili warudishe gharama za utafiti!
Na ilo Tz ya sasa inawezekana as ni suala la kuwaweka sawa viongozi wachache na watatetea ilo mpaka mapovu yanawatoka mdomoni!
 
Gadafi ndiyo alikuwa na mkataba mzuri Africa Libya ilikuwa inapata zaidi ya 50% ya uzalishaji. Tusikokuwa makini tutaishia kwenye 3% kama ya Gold!
 
Mafuta mbona yashagunduliwa siku nyingi na kampuni ya STAT OIL ya norway na vyanzo vipya vya gesi pia na kampuni hiyo imeshaanza kusomesha watu pale COET watakaosoma mambo ya mafuta na wengine wapo chuo cha NTNU NORWAY KWA AJILI ya kuja kufanya kazi hiyo ya uchimbaji, norway nako kuna mafuta na hii kampuni ni ya taifa la norway na sii wezi sana kama makampuni mengine ya ulaya au marekani.

Ni nchi pekee iliojitoa ktk kuishambulia Libya.

Nasikia watajenga kiwanda cha kuyasafisha kabisa na sii kusafirisha mafuta ghafi kama nigeria kwa hivo tutanufaika nayo kama ni kweli.,, ndo hivo tukipata katiba mpya na uongozi mpya tutayafaidi lkn sio wakiwemo hawa mafisadi wasio na uchungu na hiii injiiiiiiii yetu.
 
Kama kuna 7 trillion gas reserves basi Tanzania itakuwa imeizidi Qatar kwa upatikanaji wa gesi na kuifanya Tanzania iwe nchi tajiri duniani (ikiwa viongozi wetu wako makini). Kama ni 1 billion barrell Tanzania itakuwa nyuma ya Nigeria kama mafuta yatapatikana only Block 7, sijajua block zengine mafuta yako kwa kiwango gani, na Ziwa Tanganyika na Nyasa, Vile vile mto Ruvuma na Zanzibar na Pemba.

Angalizo kwa viongozi wetu mafuta is a blessing or curse na tofauti yake na dhahabu na uranium ni kwamba demand for oil is instantly kama hawakuwa makini na wenye tamaa Tanzania itapoteza amani yake kama Libya na Nigeria. Hivyo ni kuomba mungu atupe hekima na uadilifu.
Mdondoaji ni mapema sana kulinganisha gas reserves za Tz na Qatar. Zao proven na zetu bado probable. Ila kwa kuwa bock 1, 3 na 4 BG na OPHIR ENERGY wamegundua gesi, very likely
 
Crap! No oil discovery in Tz yet. Only natural gas discoveries so far. Anyway, if u r a Zanzibari, we can understand
 
Mdondoaji ni mapema sana kulinganisha gas reserves za Tz na Qatar. Zao proven na zetu bado probable. Ila kwa kuwa bock 1, 3 na 4 BG na OPHIR ENERGY wamegundua gesi, very likely

Nafahamu fika ni probability ila kama zikiwa confirmed hizo figures ni vema viongozi wawe wamejiandaa vyenginevyo kwa utajiri huo amani yetu itaelekea ukingoni kwani kuna watu watakuwa mabilionea kimataifa at the expense of our motherland na kuwaacha wengi maskini.

Ni vema wananchi wakawa wakali na rasilimali hii kwa natural gas and oil demand yake ni instantly na sio derived from other products kama gold and uranium.

Sijui umenipata hapo!!!?
 
Sasa utwasikia Wa Zanzibar tunataka muungano sisi ni wamoja, wapi tulisema tunataka tuondoke ha ha ha, sisi tulisema tunataka tuheshimike tu kuwa ni taifa
 
Kama kuna 7 trillion gas reserves basi Tanzania itakuwa imeizidi Qatar kwa upatikanaji wa gesi na kuifanya Tanzania iwe nchi tajiri duniani (ikiwa viongozi wetu wako makini). Kama ni 1 billion barrell Tanzania itakuwa nyuma ya Nigeria kama mafuta yatapatikana only Block 7, sijajua block zengine mafuta yako kwa kiwango gani, na Ziwa Tanganyika na Nyasa, Vile vile mto Ruvuma na Zanzibar na Pemba.

Angalizo kwa viongozi wetu mafuta is a blessing or curse na tofauti yake na dhahabu na uranium ni kwamba demand for oil is instantly kama hawakuwa makini na wenye tamaa Tanzania itapoteza amani yake kama Libya na Nigeria. Hivyo ni kuomba mungu atupe hekima na uadilifu.

Viongozi hawahawa?
 
ALL Tanzanians should share in the benefits of this resource. Not just a few&mighty. ALL contracts signed by the corporations with TZ gvt. should be transparent. OR only a few&mighty and their children will get rich&richer, similar to Richmond, Dowans, etc.
 
That my hope also otherwise tutatengeneza akina Aliko Dangote wengine au akina Prince Alwaleed ambao ni mabilionea wa kimataifa ila utajiri mwingi umetokea kwenye lucrative deals in oil. Hapo ndio namkubali Gadaffi yeye alikuwa akipata pesa za mafuta anajenga nchi . Tuombe mungu viongozi wetu wawe wachamungu vyenginevyo tegemea maumivu tu.
 
Tanzania awards oil and gas exploration rights to Total

It is reported that Tanzania, Africa's leading gold producer, awarded oil and gas exploration rights for the northern side of Lake Tanganyika to a subsidiary of French energy company Total SA as the country increased budget for its emergency power output.

The state run petroleum agency, Tanzania Petroleum Development Corporation said Total E&P Activites Petrolieres beat eight other bids from Australian, Canadian, British and American companies for the Lake Tanganyika North Area block.

TPDC said that "Total E&P Activites Petrolieres has shown itself to be able to comply with the minimum work commitment and has superior technical as well as a financial capability over the other bidders to undertake exploration in the Lake Tanganyika north area."

Interest in East Africa as a new hydrocarbon region has been heating up in recent years after major discoveries of oil in Uganda and natural gas in Tanzania and Mozambique. Lake Tanganyika is shared between Tanzania, Democratic Republic of Congo, Burundi and Zambia. TPDC has divided the Tanzanian side of Lake Tanganyika into two blocks, with the southern portion having been awarded to Australia's Beach Energy in 2008.

Beach Energy was among the unsuccessful bidders for the northern block. Oil majors Aminex plc, Ophir Energy and US independent ERHC Energy had also submitted bids for the oil and gas exploration rights in the Lake Tanganyika north area. Despite having natural gas deposits, Tanzania is yet to strike oil. Brazilian petroleum company Petrobras expects to start exploration in September for oil and gas off the coast of Tanzania, which is known to have significant gas deposits.

Tanzania postponed its fourth deep offshore bidding round to next year to allow it to offer new blocks discovered by its latest seismic survey. The bidding round, which was initially scheduled for April, is expected to invite bids for 13 deep offshore blocks located between 1,200 and 3,000 meters below sea level.

Among the 17 companies that hold exploration blocks in Tanzania are France's Maurel & Prom, Norway's Statoil, Royal Dutch Shell and Ras al Khaimah Gas Commission of the United Arab Emirates. A newly released report indicates that the global hydropower market this year newly released is worth USD 56.51 billion. And the government of Tanzania may spend USD 740 million by the end of 2912 for emergency power projects aimed at ending chronic energy shortages in east Africa's second largest economy.

Energy and minerals minister Mr William Ngeleja said in a presentation to parliament seen by Reuters today that the government was seeking loans from China to finance construction of a natural gas pipeline from Mtwara in southern Tanzania to Dar es Salaam, the country's commercial capital.

Mr Ngeleja said the state run Tanzania Electric Supply Company would spend USD 325.4 million between now and the end of 2011 on emergency power, but would earn just USD 71.5 million in revenue from electricity sales during the period due to low power tariffs.

He added that "Comparative surveys done in east Africa have revealed that Tanzania has the lowest electricity tariffs compared to Kenya and Uganda. TANESCO has been operating like a charity buying power at very high costs and selling it to its customers at low prices, we cannot continue on this path. We are requesting TANESCO to send an application to the energy regulator, EWURA, for tariff hikes. We will make the tariff adjustments when we are satisfied that power supply has become reliable."

Mr Ngeleja said that the planned tariff hikes would target mining companies and other large power users in the country. He added that "Domestic power consumers will not be affected by proposed tariff increases tariffs will not be adjusted until we are satisfied that citizens receive electricity services and there is no power rationing."

He added that the government would invest in thermal plants powered by natural gas, oil, jet fuel and coal in attempts at weaning itself off weather dependent hydropower, which accounts for 55% of the country's energy sources.

(Filed by Mr Kapembwa Sinkamba SteelGuru Correspondent Zambia)
Source:
Steel Guru : Tanzania awards oil and gas exploration rights to Total - 223141 - 2011-09-01
 
Mungu wangu!!! sitaki tupate mafuta Tanzania mpaka tutakapopata tume huru ya uchaguzi itakayotupatia viongozi watakaochaguliwa na wananchi kwa maslahi ya wananchi na siyo maslahi YA Rostam, Chenge wala Ridhiwani. Na kibaya zaidi NATO watakuja kutusaidia kuwaondoa mafisadi madarakani ili wabebe mafuta yetu.

Ezan you are right!
If we failed to manangement Gold and Diamond, what about petrolium?!!
 
Kama kuna 7 trillion gas reserves basi Tanzania itakuwa imeizidi Qatar kwa upatikanaji wa gesi na kuifanya Tanzania iwe nchi tajiri duniani (ikiwa viongozi wetu wako makini). Kama ni 1 billion barrell Tanzania itakuwa nyuma ya Nigeria kama mafuta yatapatikana only Block 7, sijajua block zengine mafuta yako kwa kiwango gani, na Ziwa Tanganyika na Nyasa, Vile vile mto Ruvuma na Zanzibar na Pemba.

Angalizo kwa viongozi wetu mafuta is a blessing or curse na tofauti yake na dhahabu na uranium ni kwamba demand for oil is instantly kama hawakuwa makini na wenye tamaa Tanzania itapoteza amani yake kama Libya na Nigeria. Hivyo ni kuomba mungu atupe hekima na uadilifu.

Mkubwa, usipotoshe watu; Nigeria ina karibia 200 trillion cf. Qatar over 900 trillion cf! Tanzania ni moja ya nchi zilizo mkiani!! Kuna nchi zaidi ya hamsini zinaifunika Tanzania. Tanzania so far kiwango chao ni chini ya hata 0.01% of proven world reserves, wakati Qatar wana 25% hivi.
 
Our total natural gas potential is around 150tr cf.

Ophir alone in blocks 1,3,4 and 5 has a potential of up to 70tr cf. Offshore is mostly gas and Lake Tanganyika North and South is potentially Oil.

Dominion use the information to bring up their share prices as this information isn't new, I once tweeted their ECR report. They haven't done much since 2010.

We will have Oil from Lake Tanganyika and Malagarasi basin in the near future, may be in ten years.

Natural gas we will have an LNG plant within three years by BG in Mtwara. Year one production will be 40% of current GDP. Plus Mchuchuma-Liganga project, by 2015 Tanzania will be the largest economy in EAC.

Are we going to prevent oil curse? Sijui. We have to strengthen accountability mechanisms hasa Bunge.
 
Mafuta mbona yashagunduliwa siku nyingi na kampuni ya STAT OIL ya norway na vyanzo vipya vya gesi pia na kampuni hiyo imeshaanza kusomesha watu pale COET watakaosoma mambo ya mafuta na wengine wapo chuo cha NTNU NORWAY KWA AJILI ya kuja kufanya kazi hiyo ya uchimbaji, norway nako kuna mafuta na hii kampuni ni ya taifa la norway na sii wezi sana kama makampuni mengine ya ulaya au marekani.

Ni nchi pekee iliojitoa ktk kuishambulia Libya.

Nasikia watajenga kiwanda cha kuyasafisha kabisa na sii kusafirisha mafuta ghafi kama nigeria kwa hivo tutanufaika nayo kama ni kweli.,, ndo hivo tukipata katiba mpya na uongozi mpya tutayafaidi lkn sio wakiwemo hawa mafisadi wasio na uchungu na hiii injiiiiiiii yetu.

Kweli kama model ya ya uwekezaji na mamboya uchumi Tananzania ilitakiwa kupata somo kutoka nchi za scandnavia hasa norway, sweeden , denmark.
 
Kuweka US $ 8 billion kwa kutafuta mafuta kwa nchi ambayo mapaka sasa haina mafuta
Sijawahi kusikia kitu kama hiki - ni pesa nyingi sana. Ama gazeti hili halikuandika sawa au kampuni hiyo haikusema ukweli

Huwezi invest dola billion 8 alafu useme hauna uhakika
Apa ni kupata viongozi wazalendo tuu hawa watu wabanwe kwenye mikataba.
Na iyo gas ikipatikana cement na fertilizwer vyaweza patikana cheaply
Inafikirisha sana....
 
Back
Top Bottom