jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 22,538
- 43,562
Hoja yake ya msingi serikali bado haijawekeza vya kutosha eneo hilo.Mkuu unataka ufanyiwe kila kitu wewe kazi yako ni nini katika jamii.
Au kazi yako kula, kulala, kuchafua mazingira na kusubiri viongozi waje wakuwekee mkazo kwenye usafi?
Miaka zaidi ya 60 ya uhuru hakuna hata wastebin mitaani.Imagine taifa lako lina ajenda ya usafi kama ajenda kuu ya maendeleo Tanzania inachekesha kama sio nchi yako
Jamii ya Tanzania ndiyo serikali yenyewe hapo juu yameelezwa mambo mengi sana katika upande wa jamii(raia) na serikali ambayo ndiyo jamii yenyewe.Hakuna miundombinu sahihi ya ukusanyaji uchafu.
Leo hii unaweza ukatembea zaidi ya mita 100 au kilomita 1 na usikute dustbin hata Moja.
Wamepewa tenda vikampuni vya ukusanyaji uchafu lakini havina uwezo huo, vinaingia mtaani mara Moja kwa mwezi, tupo serious?
Haya matatizo yalianza na sera mbovu, utekelezaji mbovu halafu lawama zinakwenda kwa jamii yote
Of course viongozi wanapwaya lakini viongozi hao ni watanzania kama wewe ni raia kama wewe. Kukwama kwao hiyo ni nembo kwamba jamii ya kitanzania ni wachafu na wajinga.Usafishaji wa miji na majiji ilitakiwa iwe kazi ya manispaa husika.
Kwa sababu kodi zinalipwa na Halmashauri zinakusanya ushauri kwa namna zao.
Halafu bila aibu zinaletwa tozo za taka ambazo hizo taka hazizolewi kwa wakati.
Hii nchi Kuna vitu vingi haviko sawa.
Manispaa ya Moshi wakati ule walijitahidi kuweka dustbin za uchafu nadhani Kila baada ya mita 15 au 20.
Unanunua kitu, sehemu ya kutupa unaiona na usipo fanya hivyo wanakukamata ukalipie huko 50,000.
Sasa dar ina hiyo miundombinu iliyowekwa mahususi ili iweze kukidhi, kabla ya kuanza kukamata na kutoa adhabu?
Wanaweza kubandika hovyo tu kuja kutoa na kusafisha hapana. Hapo ndipo utagundua jamii ya kitanzania ni wachafu wakutupwa.Kweli mabango ya Samia yamechafua nchi nzima, hadi sasa baada ya uchaguzi haramu bila haya au aibu bado wanayabakiza bila kujua raia roho zao wakiyaona wanatamani kuyachoma moto
Kunatia kinyaa sana mkuu. Majitu yanajua kutita na kupandisha nguo zao safari.Jiji lina watu wengi ila huduma ya vyoo safi hakuna wanatangaza usafi kutoka wapi public toilet ni za kulipia harafu vyoo vichafu kama wanatumia Wanyama aisee..
Yaani inasikitisha angesema pako sawa wote ingekuwa mapambio .. hoja ya usaf ni nyepesi tena ya ngaz za halmashauriMiaka zaidi ya 60 ya uhuru hakuna hata wastebin mitaani.
Vyoo vya Airport tu unakuta kuna sehemu ya haja ndogo haifanyi kazi miezi kadhaa au hata mwaka huwa nawashangaa sana aisee kitu cha kufanyia kazi hata saa nzima kubwa wao wanafunika kama kawaida yao..Kunatia kinyaa sana mkuu. Majitu yanajua kutita na kupandisha nguo zao safari.
Ndio maana hata kuoga mpaka uwapigeπ point mtoto ukimwambia kasafishe toilet ananuna ile mbaya.
Maisha yenyewe wanayosema usiwafuatile ni kinyaa tupu kuelimishwa wao wanaona kama ni-kufuatiliwa.Kila siku naongelea hilo swala lakini watu wananitukana nisifatile maisha yao
Sahihi mkuu hili nalo ni tatizo kubwa sana.Sheria zipo shida ni wana siasa wa ccm,kubembeleza raia kisa ni wapiga kura.
Hii nchi siasa mbovu ndio ina haribu vitu vingi.
Hizi kelele za kupanga miji,usafi faini huwezi zisikia tukikaribia uchaguzi.
Hizi Nchi za kiafrika ni za kipumbavu sana yaani majukumu ya watu ya kil siku eti Hadi Rais aseme ,imagine hapo Kuna Waziri wa Afya, mazingira na ustawi wajamii,Kuna watuwanaitwa maafisa mazingira huko wikayani,Kuna watu wanaitwa mabibi Afya Hadi kwenye kata yaani inashangaza sana.Hellow wana JF.
Saizi mitandaoni, maredioni na viongozi wa jiji la Dar es salaam kuanzia mkuu wa mkoa, wabunge mpaka balozi wa nyumba kumi wanajifanya kukomalia usafi kwasababu Mh Rais alisema Dar es salaam ni chafu sana.
Inamaana Mh Rais asinge sema jiji lingeendelea kuwa chafu na kunuka mwanzo mwisho. Mpaka mtu mwenye akili timamu unakaa unajiuliza hawa watu ni watu wa design gani au ni maiti zinazo tembea? Au ni mambumbu yanayo jua kula na kulala tu.
Jitu linatupa taka hovyo.
Jitu linatembea linavuta sigara hovyo.
Jitu linaenda toilet linatumia choo halisafishi linaacha uchafu wake pale(mkojo au kinyesi chake).
Jitu halipigi mswaki linatembea domo linanuka hovyo(alafu mijitu ya hivi inakuwa miongeaji sana wakati domo linanuka kama choo).
Jitu mvua ikinyesha tu linazibua chemba za uchafu.
Jitu linakula chakula au kitu ndani ya usafiri alafu linatupa uchafu nje.
Majitu yanakuja kuchukua pesa za taka alafu taka hayaji kubeba.
Yani majitu ya Tanzania ni machafu sana na ndiyo maana hata ndoa nyingi hazidumu kwasababu majitu ni machafu hayaoni kinyaa kuzini/kulala na mume/wake za watu bila hata yakupima. Matokeo yake magonjwa ya zinaa yanawatesa kila siku takataka nyie.
Majitu ya Tanzania ni machafu/majinga hayajali afya zao wala afya za wengine.
Ni sahihi serikali inapwaya lakini raia nao ni wachafu tu hakuna kutetea hilo .Hoja yake ya msingi serikali bado haijawekeza vya kutosha eneo hilo.
Sio kweli,CCM haitekelezi Wala Kusimamia sheria Bali Kuna wahusika wanasemaga eti inategemea upepo wa Juu.Sheria zipo shida ni wana siasa wa ccm,kubembeleza raia kisa ni wapiga kura.
Hii nchi siasa mbovu ndio ina haribu vitu vingi.
Hizi kelele za kupanga miji,usafi faini huwezi zisikia tukikaribia uchaguzi.
Hilo pa sigala sijawahi ona yeyote akilisimamia zaidi ya Matamko tuuNi sahihi serikali inapwaya lakini raia nao ni wachafu tu hakuna kutetea hilo .
Au unataka na haya ππ serikali ikufanyie.
Jitu linatupa taka hovyo.
Jitu linatembea linavuta sigara hovyo.
Jitu linaenda toilet linatumia choo halisafishi linaacha uchafu wake pale(mkojo au kinyesi chake).
Jitu halipigi mswaki linatembea domo linanuka hovyo(alafu mijitu ya hivi inakuwa miongeaji sana wakati domo linanuka kama choo).
Jitu mvua ikinyesha tu linazibua chemba za uchafu.
Jitu linakula chakula au kitu ndani ya usafiri alafu linatupa uchafu nje.
Na mauchafu mengine mengi.
Tanzania walio soma na ambao hawaja soma wote ukija kwenye uchafu wanakaa kapu moja. Vijana wanasoma kuja kupokea mishahara tu sio kutatua changamoto katika jamii zao.Vyoo vya Airport tu unakuta kuna sehemu ya haja ndogo haifanyi kazi miezi kadhaa au hata mwaka huwa nawashangaa sana aisee kitu cha kufanyia kazi hata saa nzima kubwa wao wanafunika kama kawaida yao..